walimu

  1. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Tshirt za walimu zina label ya keep away from fire!

    Kwenye kipindi kama hiki ndio namkumbuka sana @mpwayunguvillage hasa kuhusu walimu. 😃 mwenyw aina nyingine ya tshirt za watu wazima zenye label ya keep away from fire atume ili tulinganishhe ubora
  2. John Sin

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa walimu wezangu watarajiwa

    Kwa walimu watarajiwa Tanzania, ninapenda kutoa ushauri huu: Jitume kufuzu kielimu: Kama unataka kuwa mwalimu bora, ni muhimu kufuzu kielimu kwa ngazi ya cheti, stashahada au shahada. Hii itakusaidia kuwa na ujuzi wa kutosha wa kufundisha na kuwasaidia wanafunzi wako kufikia malengo yao...
  3. Chief Wingia

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania (CWT) waweke paper ya mchujo kama ya Law School ili mtu awe certified na kupata usajili

    Habari zenu wakuu, Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Serikali kuhusu Walimu

    Waraka kwa serikali kuhusu waalimu, serikali iwajali walimu. Ni muda sasa umepita kukiwa na manung'uniko kwa walimu katika nyanja nyingi zinazohusu maslahi yao ikiwemo mishahara yao, stahiki zao na kunyima haki na kuonewa na kuchukuliwa kama watu wa shida na kila kiongozi. Kuna haja serikali...
  5. TutorMe Group

    JamiiForums Tanzania Walimu wa masomo ya ziada nyumbani (private home tutors)

  6. TutorMe Group

    JamiiForums Tanzania Walimu wa masomo ya ziada nyumbani

  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

    Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu. kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui. Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza...
  8. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wenye degree wasiwe walimu tu shule za msingi au Sekondari?

    Tuna vijana wengi wako wanasubiri viti vya kuzunguka na wako na Elimu zao ila ajira hakuna. Na waliomaliza 4 wakaenda chuo 2 years wako na kazi wanazidi kula shavu. Mwenye degree anaona upuuzi kuwa Mwalimu, vijana elimu zenu ziko na maana gani sasa - ni wazo lakini.
  9. Madame S

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule za awali na shule za msingi pamoja na wazazi kwa ujumla

    Nawasalimia Kuna jambo leo limeniumiza mno moyo na kichwa changu kwa mawazo Kisa kipo hivi Leo kwetu huku ni mvua tangu jana usiku, kulipokucha nilimwandaa mwanangu kwenda shule, sio mbali na eneo tunaloishi. Baada ya kuona muda unaenda mtoto harudi ndio nikakumbuka mvua imesababisha...
  10. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Walimu/ lecturer wa kiume ndo chazo cha kuharibika kwa mtoto wa kike shuleni/chuo

    Hope ni wazima Wana Jf Katika kila kundi la wanawake 10,lazima ukute wanawake 5 au 6 washawahi kufanyiwa sexual abuse na walimu wa kiume,Kuna shule sitaitaja nilisoma o level Kuna teacher wa English na alikuwa second master alikuwa na michezo michafu anakuita ofisini kwake Mara akushike shike...
  11. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za Deus Seif na Abubakari Alawi kukisambaratisha Chama cha Walimu Tanzania

    Watajwa hapo juu, Deus Seif aliyekuwa Katibu Mkuu wa CWT na Abubakari Alawi aliyekuwa mwekahazina wa taifa wa CWT mnamo tarehe 28 Juni 2022 walitiwa hatiani na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi, Uchepushaji wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka. Katika hali...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Moshi: Afisa Elimu wa Manispaa kumuweka LOCKUP mwalimu, walimu kuanza mgomo baridi tar 11.4.2023 kutokufundisha hadi Ngonyani ahamishwe

    Shule Za msingi Tanzania zinafunguliwa Kesho Tar 11.4.2023 kwa kilio baada ya walimu wasio pungua 760 Moshi Manispaa kutangaza mgomo baridi wa kutokufundisha . Hii ni KUTOKANA na mwezao kuwekwa Lockup na manyanyaso walimu wanayoyapata kutoka kwa afisaelimu (Ngonyani) hadi hapo atakapohamishwa...
  13. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

    HABARI Polisi mkoani Geita wamelazimika kufukua ndani ya nyumba ya mwalimu Francis Elizeus wa shule ya msingi Lubanga baada ya ndugu wa mke wake kumtuhumu kuwa amemuua mke wake Jenifer Mashimo na kumfukia ndani hali iliyopelekea ndugu hao kumtishia maisha mwalimu huyo. Mke wa Mwalimu huyo...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana vipi walimu watatu wakafundisha wanafunzi 700 katika shule moja.

    Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kaliba ya Ualimu lazima iheshimiwe

    Maslahi yangu: Mimi ni mwalimu kwa kusomea. Nimefarijika na hatua zilizochukuliwa na uongozi wa JamiiForums kwa kuondoa/kufuta mada zote zinazowadhalilisha walimu na kada nzima ya ualimu na kuwapa adhabu stahiki wale wote waliokuwa vinara kwenye hilo. Kuna mahali tuliyumba na tukakosea sana...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Watukaneni, wakashfuni, wadharauni, wazushieni, wadogosheni mnavyoweza lakini walimu wanaishi kwa furaha zaidi kuliko kundi lolote

    Hiyo ni kwa mujibu wa uchunguzi wangu, nawe unaweza kufanya hapo ulipo. Walimu wengi ni watu fulani wasio na stress zilizopitiliza nazungumzia wengi, sijakataa wapo wachache. Utawakuta wakiwa na furaha muda mwingi sana. Sijui kuna uhusiano na ukaribu wa watoto? Wanadumu mnoooo baada ya kustaafu...
  17. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

    Time is too short, siku si nyingi sikukuu ya wafanyakazi inakuja. Je wewe kama mwalimu umejiandaaje? Umejiiandaa kuwa Chawa wa mama ili umsaidie ushindi 2025 kwenye box la kura au umejipanga kufanya harakati zenye Nia ya kumkomboa mwalimu kutoka kwenye ufukara wa kutia aibu. Naomba tuende Sawa...
  18. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mutahabwa uko sahihi, lakini ujue tu hata Walimu nao wanafanyiwa ukatili

    Ni kweli ukatili upo mashuleni, wanafunzi wanapewa adhabu zisioendana na umri wao. Nilichokuona ni kwamba walimu wengi wana psychological disoder ambayo inatokana na changamoto za kiutumishi. Matokeo yake anashusha hasira zake kwa mwanafunzi. Utakuta mwalimu anakrupiwa na mkuu wa shule mbele...
  19. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Walimu na Askari Polisi mnajidharirisha sana

    Zamani nilikuwa najua kuwa walimu ni kioo Cha jamii,kumbe nilikuwa najidanganya huenda ni kwasababu nilikuwa mtoto kipindi hicho au kwasababu walikuwa watu wa karibu yangu kwasababu nilikuwa mwanafunzi na niliwachukulia kama watu waliofanikiwa zaidi katika jamii. Leo nashuhudia mengi kutoka...
  20. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Walimu acheni tamaa za ovyo

    Siku hizi shule nyingi za Serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi. Hivi kila baada ya siku tatu kipi kipya wanakuwa wamefundisha watoto mpaka wawafanyishe mitihani? Hivi kufanya mitihani kila mara ni...
Back
Top Bottom