walimu

  1. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Bodaboda na Walimu wote ni madaraja ya wanasiasa kufikia malengo yao

    Kipindi cha kampeni bodaboda hufanya amsha amsha ya mitaa na kuhadaiwa na wanasiasa kuwachagua kwa ahadi fulani. Baada tu ya uchaguzi kuisha hudharauriwa na wanasiasa kama walivyodharauriwa na Lema. Walimu hawa kazi yao haitofautini sana na bodaboda katika kuwafikisha wanasiasa pale...
  2. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Nagafirika kwa kejeli, dhihaka na matusi ya member mpwayungu dhidi ya walimu wetu

    Peace be upon you all, Jamii yetu imekua na vijana wa ajabu sana case study ni kijana humu jf kwa id ya mpwayungu village na kama huyu member ni mzee basi ni mzee mpumbavu. Kumekua na desturi ya kudharauliana hadharani na kwa baadhi ya watu huona fahari kudharau na kudhihaki wengine mfano ni...
  3. Four-Star General

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Meru DC watakiwa kujitokeza Jumapili saa 1:00 asubuhi Usa-river wakati Rais Samia atakapokuwa anapita eneo hilo

    Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono. Cha kushangaza hakuna nauli wala...
  4. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Walimu waghushi Vyeti vya Ndoa kupata Bima ya Afya

    Tume ya Utumishi wa Walimu Nchini (TSC), imekabidhiwa majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi na matumizi mabaya ya kadi za bima za afya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Serikalini cha TSC iliyotolewa jana Jumatano, Machi Mosi...
  5. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Walimu msipojirekebisha tutawatenga

    Ifike pahala mjitambue vinginevyo maisha yangu yote sitaki kuwaona mnakuja nyumban kwangu kuomba niwakopeshe, nimewaonya vyakutosha sasa nyie naona hamskii mpaka mambo yenu yanaongelewa vibaya na wananchi Achana na mambo yakuchapa hovyo wanafunzi Kwa stress zenu, acha kukopa kopa ovyo madeni...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda, hivi Rais Samia anajua hizi shule zinazofunguliwa hazina walimu na wanagawana walewale wachache?

    Kabla ya kuongezwa madarasa, yale ya covid 19 n.k, tayari kulikuwa na upungufu mkubwa. Wastani wa hadi walimu 8 kwa shule (wastani wa chini). LEO, kuna wimbi kubwa la ujenzi wa mashule. Kuna halmashauri zina jumla ya shule hadi nane (primary na sekondari) zikiwa zimeshapata usajili na...
  7. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Je, aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Deus Seif na Mweka Hazina Abubakari Alawi walifanya ajira za Kilaghai?

    Novemba 2017 Aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Alhaji Yahya Bakari Kilo Msulwa alifariki dunia. Kwa Mujibu wa Katiba ya CWT toleo la sita 2014, nafasi ya katibu mkuu ilipaswa kujazwa na Baraza la taifa la chama hicho. Julai 2018 katika ukumbi wa LAPF Dodoma, Deus Seif kwa msaada...
  8. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

    Sisi sote ni binadamu tuwe na utu, walimu sio mbwa ni binadamu kama sisi. Wanaishi Kwa mateso kama wapo kuzimu ninaomba wanachama wote wa jamiiforums tuandae siku maalum ya kuandaa thread juu ya matatizo na changamoto zinazowakumba walimu, haki zao wanazonyimwa na maslahi Yao. Hiyo siku ijae...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  10. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya ufisadi wa Deus Seif na Abubakari Alawi kutolewa 10 machi, 2023. Walimu na wanachama CWT wasubiri kwa hamu

    Kama inavyofahamika, watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa chama cha walimu Tanzania, Deus Seif akiwa katibu mkuu na Abubakari Alawi akiwa mweka hazina wa Taifa. Walishtakiwa na Jamhuri (TAKUKURU) Mei 2021 kwa kesi ya uhujumu uchumi, wizi wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka...
  11. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Walimu na Chama cha Walimu wasubiri kwa hamu hukumu ya Deus Seif na Abubakari Alawi kesho tar. 17 Februari 2023

    Kama inavyofahamika, watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa chama cha walimu Tanzania, Deus Seif akiwa katibu mkuu na Abubakari Alawi akiwa mweka hazina wa Taifa. Walishtakiwa na Jamhuri (TAKUKURU) Mei 2021 kwa kesi ya uhujumu uchumi, wizi wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mbeya: Mwanafunzi alazwa baada ya kupata kipigo kutoka kwa Walimu wa Shule ya Sekondari Rohila, inadaiwa alidokoa maandazi manne

    Kijana Laurence Nicholaus Mwangake mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Rohila iliyopo Mbalizi Mkoani Mbeya amelazwa Hospitali ya Ifisi ikidaiwa amejeruhiwa vibaya na Walimu wanne pamoja na Walinzi wawili wa shuleni hapo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shule ya Rohila...
  13. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Tunapitia mengi katika kutafuta. Tusikate tamaa (Kutoka kuwa walimu wa nursery hadi mkufunzi wa elimu ya juu)

    Aisee maisha yana kila aina ya furaha na karaha, tunapitia mengi lakini mwisho wa watu wengi ni mzuri, amini hivyo. Nakumbuka namaliza chuo ile sina hili wala lile, naingia mtaani na mabaki ya boom (kiinua mgongo), with hope nitakuja kutoboa tu. But kitaa ndio hichoo kikaniita mzee. Daah mdogo...
  14. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kinaendelea ndani ya CWT (iwafikie walimu wote na jamii ya Watanzania)

    NINI HASA KINAENDELEA NDANI YA CWT (IWAFIKIE WALIMU WOTE NA JAMII YA WATANZANIA) Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii huenda umekutana na taarifa za uteuzi wa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama cha walimu Tanzania (CWT) kuwa wakuu wa wilaya mnamo tarehe 25 Januari 2023...
  15. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Serikali iwapandishe madaraja Walimu wenye Shahada ya Pili (Masters Degree) mara tu baada ya kumaliza masomo yao

    Ni miaka mingi Sasa walimu Hawa wenye Shahada ya Pili ya ualimu na wale wenye PhD ya ualimu, wamekuwa hawapati ongezeko lolote la mshahara mara baada ya kumaliza elimu zao za juu, tofauti na ilivyo kwenye idara zingine Kama afya nk. Ambapo Shahada ya Pili huwa inatambuliwa. Ombi: TUNAOMBA...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CWT na dhambi ya Walimu walioajiriwa 2013, dhidi ya Serikari ya Magufuli na Mama Samia

    Evil does not pay, leo imebainika wazi CWT ni agent wa CCM, hata kama mlioteuliwa mmegoma kuapa ila mmeumiza watu sana na walimu wanaodhalilishwa kwa kufungishwa mikataba ya hovyo. • Mh Rais huyu mama alisifiwa sana na JPM, hata kumteua tu umempa neshima sana, lakini ni miongoni mwa watu ambao...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Unyama wa Walimu, Serikali imulike ukatili wa walimu dhidi ya wanafunzi mashuleni

    Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza. Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi utadhani wako kwenye tamasha la Karate. Wanawazaba watoto vibao vya uso, ukatili mbalimbali...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Taifa Secondary watanyanyaswa sana na wakubwa wao wa kazi

    Kwa matokeo waliyoyapata katika mtihani wa taifa wa kidato cha nne yaliyotangazwa leo, natabiri walimu wa shule hiyo watanyanyaswa mno na wakubwa wao wa kazi. Yaani watafokewa kuanzia na wazazi,diwani wa kata yao, mbunge, afisa elimu kata, afisa elimu wa wilaya, afisa elimu wa mkoa, wizara za...
  19. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Sera mpya ya Elimu inayoandaliwa haishiriki Wadau Muhimu (Walimu, Wazazi, wanafunzi)

    Tunataarifiwa kwa sasa SERA mpya ya Elimu inaandaliwa lakini inafanyika kisiri siri huko Dodoma, 1. Wataalamu wachache wamejifungia sehemu wanapata Per diem zao safi (zaidi ya miezi sasa) huku wadau muhimu (wazazi, walimu na Wanafunzi) katika sekta wakiachwa nje. Mfano, Mwaka jana 2022...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa nyie walimu mnaodhani mna wito. Tusije laumiana baadaye

    Mmeajiriwa kufundisha. Nendeni mkafundishe. Hilo ndilo jambo linalowapa mshahara. Acheni kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu. Huo ni wendawazimu. Nyie fundisheni tu masomo. Tabia si kazi yenu ku deal nazo. Kama mtoto ameamua kutokuja shule mwachieni hilo jukumu mzazi wake kuhangaika...
Back
Top Bottom