walimu

  1. JamiiForums Tanzania Itachukua muda mrefu sana kwa walimu kuweza kujisimamia na huenda isitokee kabisa!

    Ni jambo la kusikitisha sana kuona baadhi ya walimu wanaunga mkono kitendo cha Mwalimu Maganga kukataliwa ombi lake. Wanadhani wao watakuwa salama? Hata kama ana makosa, bado kuna kila sababu ya kulinda nguvu ya chama cha walimu. Ama sivyo tukubaliane wazi kwamba chama hiki hakiko huru na...
  2. JamiiForums Tanzania Mtikisiko wa kutisha unaendelea Chama cha Walimu Tanzania

    Kama tulivyowahabarisha hapo awali juma hili hili kwenye jukwaa hili hili, Chama Cha Walimu Tanzania kimeendelea kupigwa vita na waliokuwa viongozi wa awali huku wakiendelea kupata msaada mkubwa kutoka kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa Serikali ambao kwa sasa wamekwishaungana kwa ajili ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu Wakuu Watano wasimamishwa kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amewasimamisha kazi watumishi nane katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiwepo walimu wakuu watano, wahandisi wawili na ofisa manunuzi na kuagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi. Homera amefikia uamuzi huo jana...
  4. JamiiForums Tanzania Walimu mbaroni wakidaiwa kufanyisha wanafunzi wa Sekondari Mitihani ya Darasa la 7

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia walimu wanne kwa tuhuma za kuwafanyisha mitihani ya darasa la saba wanafunzi watatu wa sekondari katika Shule ya Msingi Igulumuki Wilaya ya Sengerema mkoani humo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Ijumaa Septemba 22, 2023; Kamanda wa Polisi...
  5. JamiiForums Tanzania Nawapenda sana walimu wangu ila CWT kinawasaidia Nini?

    Binafsi nawakubali na kuwapenda sana walimu wangu mlionifundisha mambo anuwai ya Dunia nikaweza kuelimika.Ila nina swali moja hiki chama chenu cha walimu(CWT) kina mchango upi katika changamoto za mwalimu?Kubuni rangi za t-shirt? Binafsi sitapenda mtoto wangu awe mwalimu. Bora tu awe hata dreva boda
  6. JamiiForums Tanzania Kilio cha walimu na CWT imekuwa kilio cha samaki machozi kwenda na maji

    Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana. Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT. Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia...
  7. JamiiForums Tanzania Kilio cha walimu na CWT kimekuwa kilio cha samaki machozi kwenda na maji.

    Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana. Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT. Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri-DKMs ubadilishwe toka kwenye uongozi wa Dr. Munga kwenda kwa Ask. Dr Mbilu Msafiri, na...
  9. JamiiForums Tanzania Bachelor of science in chemistry and physics

    Habarini wapendwa,kuna dogo langu kapangiwa hii kozi hapo UDSM,naomba kujua ipoje na hawa watu wanaajiriwa kama walimu au vipi?
  10. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Unyanyasaji kwa Walimu wanaofundisha shule ya St. Matthew

    Natumaini mu-wenye afya njema. Poleni na mapambano ya kila siku. Ni mara yangu ya kwanza kuandika katika jukwaa hili hasa baada ya kuwa nasoma maandiko mengi tu ya wadau mbalimbali yanayohusu mambo mengi katika jamii zetu. Ni jukwaa pendwa pia kuwazungumzia watanzania wenzetu ambao wanashindwa...
  11. JamiiForums Tanzania Pigo kubwa na lenye madhara kwa Chama cha Walimu Tanzania

    Chama cha Walimu Tanzania kimepitia misukosuko kadhaa ambayo isivyo bahati imekiyumbisha chama hadi kukiuka Katiba, kanuni zake na maamuzi mbalimbali ya vikao vya chama. Hali hii imejitokeza baada ya kufariki kwa aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Bakari Kilo Msulwa ambapo nafasi yake kwa mujibu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Walimu na wanafunzi wa Fizikia - Tamkeni vema jina Albert Einstein

    Najua si watu wengi hapa kwetu wamejifunza lugha ya Kijerumani na wala siwalaumu walimu wetu wa Fizikia kwa kutolitamka vema jina la nguli wa hisabati na newtonian mechanics - Albert Einstein. Tafadhalini walimu na wanafunzi tamkeni jina lake hivi: ALBART AINSHTAIN. Kwenye sarufi ( grammar) ya...
  13. JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Watahiniwa 1,397,370 kuanza mitihani ya kuhitimu msingi

    https://www.youtube.com/watch?v=S09urvRNEIg JUMLA ya watahiniwa 1, 397, 370 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kesho Septemba 13 na 14 nchini kote. Kati ya watahiniwa hao, 654,652 ni wavulana sawa na asilimia 46.85 na wasichana ni 742,718 sawa na asilimia...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walimu wasisimamie uchaguzi

    Amesema walimu wote niwaoga wanatishwa na kuperekeshwa na wakurugenzi kuiba kura za wananchi . ====== MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kabla ya Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ujao, kuna haja kufanya kila linalowezekana...
  15. JamiiForums Tanzania Walimu nawaita tafadhali

    Habarini Walimu, heshima yangu kwenu haitokani na kuwajua kama Walimu kwa sababu nilifundishwa nanyi, au kama Mwananchi kusema naishi nanyi humu mtaani. Hapana, heshima hii inatokana na mimi mwenyewe Kuwa Mwalimu. Nimekuwa Mwalimu, si kwa kufundisha darasani tu bali kwa kusomea fani husika...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Chuo Kikuu Huria: Malalamiko dhidi ya utendaji wa Wakufunzi wetu

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kwenda kwa: Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO Husika na kichwa cha habari Sisi ni Wanafunzi wa Department of Mathematics, Information and Communication Technology kwa ngazi mbalimbali...
  17. JamiiForums Tanzania Ukufunzi wa Vyuo vya Walimu vya Diploma na Certificate

    Mtaala mpya unapendekeza Walimu wa vyuo vya Kati vya ualimu wawe na shahada ya Pili (master degree) ya Elimu je utekelezaji wake umeshaanza? Je wale ambao wapo mpaka Sasa vyuoni na hawana sifa hzo utaratibu wake upoje? Je mwl akiwa na sifa hzo tajwa ili ajiunge kwenye vyuo hivyo utaratibu...
  18. JamiiForums Tanzania Walimu washauriwa kuepuka mikopo ya 'Kausha Damu' kwa kuwekeza fedha zao benki

    Ushauri umetolewa kwa Walimu nchini kuondokana na mikopo ya kausha damu na badala yake waitumie Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) kwa ajili ya kuikuza na kujinufaisha wao wenyewe. Wito huo umetolewa na Wanahisa wa MCB wakati wa mkutano wa saba wa wanahisa mwaka 2023 uliofanyika Jijini Dodoma...
  19. JamiiForums Tanzania Hongera serikali kwa kutofautisha mishahara ya walimu wa sayansi na Sanaa (Arts)

    Nianze Kwa kuipongeza serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kwa kuliona hili. Hapo awali mishahara ya walimu ilikuwa flat rate(sawa), haikujalisha mwalimu amesoma masomo gani, kwa kifupi walimu wa sayansi na sanaa (arts) walilipwa mishahara sawa. Yaani kama ni cheti wanalipwa sawa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Walimu tunawatendea haki Wanafunzi?

    Habari wadau wa elimu ,naomba kuuliza: hivi Ni kwanini walimu tunatakiwa ku identify mwanafunzi Kama delicate entity ,na wakati unaandaliwa kuja kwenye ulimwengu ambao Ni hursh sana?. Kwasababu ukifuatilia hapa kila mtu ,Awe mfanyakazi serikalini au private ,au amejiajiri au raia wakawaida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…