Walimu nawaita tafadhali

Diwani

JF-Expert Member
Oct 25, 2014
2,672
2,697
Habarini Walimu, heshima yangu kwenu haitokani na kuwajua kama Walimu kwa sababu nilifundishwa nanyi, au kama Mwananchi kusema naishi nanyi humu mtaani. Hapana, heshima hii inatokana na mimi mwenyewe Kuwa Mwalimu. Nimekuwa Mwalimu, si kwa kufundisha darasani tu bali kwa kusomea fani husika.

Ukweli usemwe. Walimu wengi hatujivunii Taaluma yetu adhiim. Kwanini?
Vuta kiti twende Sawa.

Licha ya kuwa kundi kubwa lenye ushawishi na mchango katika jamii, ila ndio kada ambayo ina kundi kubwa la wanaojutia na kusikitikia kazi yao. Suala lilianza hapa. Baada ya Serikali kutoa kipaumbele katika mikopo ya Elimu ya Juu Kwa kada ya Ualimu; kundi kubwa la watoto wa kabwela, ambao hapo zamani wakiwa wadogo kwa umri, walitamani na kulilia kada kama Urubani, Udaktari, Uanasheria na hata Uanajeshi walijiunga na kada hiyo ambayo licha ya kuwa na Uhakika na mikopo elimu ya juu, pia ilikuwa na uhakika wa juu wa kupata ajira.

Wangefanyaje kama hawakuweza kumudu gharama za kusomea kozi nyingine?

Isingewezekana, licha ya kushindwa kulipia gharama za kozi nyingine, pia hakuna mtoto wa kabwela ambaye ingekuwa rahisi kwake kusoma na kukaa nyumbani, hivyo Ualimu ulikuwa ni garantii ya ajira ili uwe mwanzo wa kuikomboa familia yake kutoka katika lindi la umasikini.

Ikumbukwe kwamba, Mabadiliko ya Sera za Elimu zilikusudia kuongeza idadi ya Walimu na sio Ubora hivyo Mwalimu mwenzangu, elimu uliyoipata bila shaka ni elimu yenye thamani ya chini zaidi, ambayo mchango wake maishani ni wa kiwango cha chini pia, HII inatokana na kupatikana kwa gharama ndogo na kurundika wasomaji wengi.

KUMBUKA 'The higher the quantity, the lower the quality' tupo wengi, hatuna ubora tena kwenye hitaji la soko la ajira. Kwenye Ulimwengu huu wa Kibepari, tupo kwenye hatari ya kudumu katika Umasikini zaidi.

NINI KISIFANYIKE?
Nina hakika umeshangaa, kwa sababu ulitegemea kusikia kutoka kwangu nini kifanyike. Mwalimu, mpaka sasa umesikia mengi, umeshauriwa mengi na mpaka sasa umepanga mengi; mengine ukiyatimiza ila kwa hakika mengi yakisalia kama mawazo tu, hii ni kwa sababu uliambiwa nini cha kufanya tu, bila kuambiwa nini usifanye, mimi nakushauri mambo matano (5) ambayo unapaswa usifanye kama Mwalimu.
  1. Usisubiri ongezeko au mabadiliko ya Mshahara ili uukimbie Umasikini: Mshahara haujawahi kuwa silaha dhidi ya umasikini. Hii ni Falsafa ya Ulimwengu wa Kibepari kwa karne ya 21. Ukizingatia idadi kubwa ya Walimu katika nchi mathalani Tanzania ambao kwa jicho lingine ni "Mtaji wa Kisiasa" namna nzuri ya kutawala ni kutotimiza haja zote za kundi la mfano huu, kwa sababu ndani ya mfumo wa Demokrasia, namna pekee ya kupata mamlaka ni kuonekana masiha mbele ya watu, kuwa mtatuzi wa matatizo ya watu, na ufinyu wa mishahara ni tatizo moja wapo. Ingawa, kutokubali kuwa uchumi wa nchi yetu hauwezi kulipa mishahara inayokidhi mahitaji ya uchumi husika ni kujirudisha nyuma.
  2. Usighairishe mikakati uliyonuwia muda mrefu: inawezekana umefikiria kufanya mengi licha ya kuwa na mshahara mdogo, lakini hakuna ulilotimiza mpaka leo hii. Kwanini? Usomi ulikuondoa uthubutu wa kufanya uwekezaji/biashara ndogo kwa kudhani si kwa ajili ya msomi. Nina imani ya kuwa, katika mipango mitano ya uwekezaji, mmoja ungekuweka katika nafasi nzuri ya uchumi mpaka sasa.
  3. Usifuate kila sheria/maadili ya kazi yako: katika safari ya kutokomeza Umasikini, utii wa kila sheria ni kikwazo namba moja. Ikiwa unaona kuna fursa au wakati wa kufanya maendeleo mengine na sheria fulani kazi yako (Kama Umeajiriwa) ikawa kizuizi, IVUNJE.
  4. Usiache kujifunza: huku mtaani Walimu ni kama Wageni wa kila kitu. Tunapaswa kuwa wa kwanza kujifunza, Taaluma yetu ipo nyuma katika kukaribisha fikra na maarifa mapya.
  5. Usijutie/Usiwalaumu wengine kwa sababu ya Umasikini/changamoto yako: Kwa kufanya hivyo unajipa sababu ya kuendelea kuwa hivyo ulivyo. Kwa sababu unadhani ni makosa ya mtu mwingine na huwezi kuyarekebisha.
Yote kwa yote, heshima yetu kwenye Ulimwengu wa Kibepari imefifishwa na nguvu ya Fedha. Tuondoe Uoga na Aibu tunapotafuta na kujifunza. Ikiwa tutabaki nyuma kama kundi kubwa, tutaaibika na kuendelea kutumika.

Mwl. Diwani
 
Endeleeni kuwaibia CCM kura, thawabu yenu mtakutana nayo siku ya kiama....
 
Niliombaga kusomea kozi ya ualimu nikakosa,nikapangiwa course ingine,ajira zikatoka walim wakaajiriwa kipindi hicho wanaajili Moja Kwa Moja,nilisota miaka km mitano kitaa,nikajua kupata kazi sector nyeeeti walim nawachora TU,nagumdua kumbe Mungu alikuwa na sababu ya Mimi kukosa ualim
 
Kwa kweli umeandika jambo adhimu sana!!!
Kati ya watu ambao siwezi kuwasema ama kuwadharau kwa lolote ni waalimu!!
Waalimu ni watu ambao wanastahili kuheshimika na kusifika popote walipo na haipaswi kamwe kuwa-underestimate!
Wapo wanaowadharau waalimu kwa maslahi wanayoyapata, ila hao binafsi nawaona watu wa hovyo sana!
Wapo wanaosema waalimu kwa kuwa wanasimamia uchaguzi kuwa ni wapuuzi ila binafsi niseme hao hawajui kwenye usimamizi wa chaguzi kuna nini nyuma ya pazia, wanaamini waalimu ni ccm kumbe %95 ya waaalimu hawasupport ccm!
Niseme tu waalimu mna nafasi yenu peponi!
Natamani siku moja niwe namimi mwalimu niisadie jamii, hasa kwenye somo la hesabu!!!
 
Unadhani zaidi ya hapa, akili yako inaweza kuvuka mpaka kufikiria mbali zaidi. No, hell no!
 
Ualimu kazi ya malofa tena wenye ufinyu wa akili. Ni malofa yasiopenda kuambiwa ukweli.
Nakubaliana na wewe. Ndio mana umekuwa lofa pia, ni masikitiko kwa kweli. Ila ni mapenzi ya Mungu.
 
Napokea mshahara unaozidi wa mwalimu mara nne na rushwa za hapa na pale kila mara, bado naona hazitoshi.

Hivi walimu mnawezaje na huo mshahara wenu wa chini ya milioni moja.
Yule bwana aliyewaita Walimu malofa ameshindwa kuishi na Mshahara zaidi ya M1. Hatimaye, Malofa wameweza ku set hesabu yao vizuri kufanya maisha kwa kima cha chini ya M1. Hakika Walimu ni Malofa.
 
Niliombaga kusomea kozi ya ualimu nikakosa,nikapangiwa course ingine,ajira zikatoka walim wakaajiriwa kipindi hicho wanaajili Moja Kwa Moja,nilisota miaka km mitano kitaa,nikajua kupata kazi sector nyeeeti walim nawachora TU,nagumdua kumbe Mungu alikuwa na sababu ya Mimi kukosa ualim
Kwanini Uliomba?
 
Kwa kweli umeandika jambo adhimu sana!!!
Kati ya watu ambao siwezi kuwasema ama kuwadharau kwa lolote ni waalimu!!
Waalimu ni watu ambao wanastahili kuheshimika na kusifika popote walipo na haipaswi kamwe kuwa-underestimate!
Wapo wanaowadharau waalimu kwa maslahi wanayoyapata, ila hao binafsi nawaona watu wa hovyo sana!
Wapo wanaosema waalimu kwa kuwa wanasimamia uchaguzi kuwa ni wapuuzi ila binafsi niseme hao hawajui kwenye usimamizi wa chaguzi kuna nini nyuma ya pazia, wanaamini waalimu ni ccm kumbe %95 ya waaalimu hawasupport ccm!
Niseme tu waalimu mna nafasi yenu peponi!
Natamani siku moja niwe namimi mwalimu niisadie jamii, hasa kwenye somo la hesabu!!!
Nchi masikini, inazalisha Walimu masikini. Umasikini ukipiga mfuko, bahati mbaya unapiga na akili vile vile. Ila kwa kiasi kidogo sana, baadhi ya watu kama ninyi hauwaathiri (kama unao). Ubarikiwe bro!
 
Back
Top Bottom