walimu

  1. JamiiForums Tanzania Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio

    Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoni Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio. Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma inakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zimelalamikiwa na Wanafunzi na Walimu shuleni hapo. Shule hiyo ya binafsi ipo Kilometa 10 kutoka katikati...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ingilia kati huu upigaji wa billion 7.2 za Walimu

    Ni upumbavu mkubwa wa Hawa viongozi wa CWT wakiendelea kuwaibia walimu, naomba serikali isikae kimya juu ya Ili suala. Hiki chama hakina tija kwa walimu zaidi ya kuwanyonya na kuwanufaisha watu wachache wasiojielewa. Tokea 2017 chama kimekua na migogoro Mingi mno kwa sababu kuiba CWT imekua...
  3. JamiiForums Tanzania Walimu wasotea mshahara miaka 11 Shule ya Wazazi CCM

    Watumishi 14 wakiwamo walimu wa shule ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM), Bulima Sekondari iliyopo Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamekuwa katika sintofahamu baada ya shule hiyo kubinafsishwa bila kupewa taarifa. Aidha, walimu hao wamekuwa na madai matatu dhidi ya mwajiri wao ambayo ni barua ya...
  4. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Walimu waliosimamishwa kisa "honey" warejeshwe

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameishauri Serikali kuwarejesha kazini Walimu wakuu wa Shule za Msingi zilizopo Tunduma Mkoani Songwe waliovuliwa vyeo baada ya kusambaa kwa video ikiwaonesha Wanafunzi wakicheza wimbo wa Msanii Zuchu uitwao ‘Honey’. Spika...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Responded Waziri Mkenda umechemka, acha kutumia vibaya cheo chako kwa nidhamu ya woga

    Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. : 1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Responded Sakata la Walimu kufukuzwa kule Tunduma kisa wimbo wa Zuchu "Honey" ni Kipimo cha Mawaziri Vilaza wa Nyakati za Sasa

    Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana. Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo una kiswahili cha kificho ama tafsida. Ni aibu sana kuwa na Waziri mkurupuko na mshamba kama Mkenda...
  7. JamiiForums Tanzania Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Malezi duni na Ugumu wa maisha chanzo kwa wanafunzi wa kike kujirahisisha kwa walimu

    Wanafunzi wa kike wakisubiri usafiri jijini Dar es Salaam, wanafunzi wengi wamekuwa wakijichelewesha vituoni, huku wakidaiwa kuchagua mabasi ya kupanda. Picha na Sunday George Wakati uzoefu ukionyesha walimu kuwanyanyasa kijinsia wanafunzi wao wa kike, imebainika katika baadhi ya nyakati wapo...
  9. JamiiForums Tanzania Wanafunzi kushambulia kwa mawe Ofisi za Mtaaluma Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda kunatoa taswira gani kwa walimu na wanafunzi shuleni hapo?

    🥲
  10. JamiiForums Tanzania CWT Wilaya ya Bunda mnatia aibu sana; hata suala la madaraja ya walimu lilimhitaji Mbunge Chacha Maboto?

    Chini ni picha ya kiongozi wa mtandao wa CWT Bunda Grace Nyabugumba aka MC Mama Kubwa.
  11. JamiiForums Tanzania Walimu tuna shida gani?

    Walimu hatunaga la kujiongeza!! Umewaambia watoto wa darasa la nne waje na chakula na pesa kwa ajili ya mtihani. Wamekuja mikono mitupu unawachalaza fimbo na kuwarudisha nyumbani ati rudieni pesa! Imenikera sana leo. Mkuu wa shule unakuwaje na akili za vitenge vya mwenge? Unajua walimu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu wa Shule ya Gisela (Ukonga) tuna hali mbaya, hatulipwi mishahara wala malipo ya NSSF

    Mimi ni Mfanyakazi wa Shule ya Msingi Gisela N/P School (Private) iliyopo Kipunguni B Ukonga Ilala hapahapa Dar es Salaam, tunadai mishahara ya miezi 3 mfululizo, ya tangu mwezi wa 7 mpaka mwezi huu unaoenda wa kuwa wa 11, 2023. Sambamba na hilo tuna malimbikizo ya mishahara yetu ya nyuma tangu...
  13. JamiiForums Tanzania Azam Tv kupita channel ya sinema zetu, wawaombe msahama walimu kwa kuwadhalilisha

    Nipo zangu home nimetulia naperuzi kutafuta channel nzuri ya kuangalia nikatua channel ya sinema zetu Azam Tv namba 103 wanaonyesha movie inaitwa simuulizi, Introduction kabla movie yenyewe kuanza. Picha inaanza mabinti wako kisimani wanateka maji, wakaanza kubishana kuhusu Mwalimu mkorofi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana. Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka. Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka. Huenda ikatoka kesho tar 23...
  15. JamiiForums Tanzania Njombe: Mvua iliyoambatana na upepo mkali yaezua ofisi za walimu

    Mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyoanza kunyesha majira ya saa tisa alasiri usiku wa kuamkia leo imeezua paa la jengo la utawala la ofisi za walimu na baadhi ya vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Ikonda iliyopo wilaya ya Makete mkoani Njombe Mwalimu mkuu wa shule hiyo Enelika...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Makato ya 2% Chama cha Walimu Tanzania ni mzigo kwa walimu

    Kitendo cha mwalimu kukatwa 2% ya mshahara kabla ya makato kwa ajili ya chama 'kisicho na msaada' ni mzigo mkubwa sana kwa mtumishi. Kumkata mtu zaidi ya laki mbili kwa mwaka, ni kuongeza sonona tu kwa mwalimu huyu wa kijijini ambaye hatokuja kusaidiwa chochote na chama zaidi ya "t-shirt ya mei...
  17. JamiiForums Tanzania TAMISEMI itusaidie Walimu tuliopandishwa Madaraja Halmashauri ya Moshi tupewe Barua za Uthibitisho

    Naomba kufikisha kero yangu ambayo inanigusa binafsi pamoja na Watumishi wa Kada ya Ualimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi huku Mkoa wa Kilimanjaro. Sisi Walimu ambao tulipandishwa madaraja tangu Mwaka 2021 hadi kufikia leo ninavyoweka malalamiko haya hatujapewa Barua za Uthibitishi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mratibu Elimu kata ya Kabarimu wilayani Bunda anadhalilisha Walimu

    😭
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM wanaua elimu; wanabadili mfumo wa elimu bila walimu

    Sitaki salamu nimevurugwa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Nchi hii ina maamuzi ya ovyo na ya kipumbavu sana. Kila kitu kinafanyika ovyo ovyo! Ni juzi tu serikali imeuza nchi kwa warabu wa DP World. Na ni jana tu Rais Samia ameenda India kuwaomba wahindi waje kununua kipande cha nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Hongereni Walimu wa Tanzania naona kuna Mtu anaanza 'Kuwalainisheni' mapema 2023 hii ili awatumie 'Kumlainishia' 2025 Oktoba

    Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote? Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…