Makato ya 2% Chama cha Walimu Tanzania ni mzigo kwa walimu

Jan 17, 2017
1
0
Kitendo cha mwalimu kukatwa 2% ya mshahara kabla ya makato kwa ajili ya chama 'kisicho na msaada' ni mzigo mkubwa sana kwa mtumishi.

Kumkata mtu zaidi ya laki mbili kwa mwaka, ni kuongeza sonona tu kwa mwalimu huyu wa kijijini ambaye hatokuja kusaidiwa chochote na chama zaidi ya "t-shirt ya mei mosi"

Ni muda sasa wa kubadili sera na kanuni ndani ya katiba ya CWT ili michango ya wanachama iwe "fixed" na si kama sasa.
 
Mkuu, Wewe ni Mwalim ?
 
Andika tu barua kwa mwajiri wako kuwa hautaki makato nao hawatakukata ndani ya mwezi mmoja hautakatwa hata senti mdo sheria
 
Back
Top Bottom