Walimu tuna shida gani?

Le professel

JF-Expert Member
May 14, 2019
545
806
Walimu hatunaga la kujiongeza!!

Umewaambia watoto wa darasa la nne waje na chakula na pesa kwa ajili ya mtihani.

Wamekuja mikono mitupu unawachalaza fimbo na kuwarudisha nyumbani ati rudieni pesa! Imenikera sana leo. Mkuu wa shule unakuwaje na akili za vitenge vya mwenge?

Unajua walimu tunakuwaga na akili moja tu. Ukija mtindo wa vitenge, ukiona mtu amevaa shati la kitenge jua ni mwl wa KKK.

Uzio. Basi ikawa kila mmoja azungushie uzio nyumba yake. Ukiona uzio wa ngozi au makuti, jua hapo ni kwa mwalimu!

Tablets. Ukiona mtaani mtu anazagaa na kishikwambi hali zoezi la sensa lilishapita, jua huyo ni mwalimu wa triple K.

Red ink. Ukiona mtu ana pen nyekundu mitaani, jua huyo ni mwl anaratibu watoro.

Kuchomekea ndiyo alama yetu usipime. Ukiona mtu mtaani amechomekea mavazi yamepigwa pasi ya ncha kama wembe, jua huyo ni mwl KKK.

Ukiona watoto wanarudi nyumbani asubuhi, jua kuna mkuu wa KKK ameketi dawatini.

Watoto ni tegemezi. Unawachapa viboko vya nini? Yaani unamuadhibu rais Samia kwa kumzomea Paul Makonda? Hulijui sanduku la kura?

Njaa ya mtoto inakuhusu nini? Wewe ketisha watoto wafanye mtihani. Wape ratiba ya chakula. Asiye na chakula atajijua na mzazi wake. Unawachapa viboko?

Unawarudisha nyumbani? Mtihani unaanza saa 8am halafu saa hiyo unawarudisha nyumbani niseme wewe una akili zaidi ya shati la mwenge?

You know not how to deal with such problems? Didn't you attend the class of guidance and counseling in psychology wewe?

Yaani una project kwa mtoto udhaifu wako wa chuoni?

Kumbe ndiyo maana walimu licha ya mshahara wa kila mwezi tumejaa malalamiko eti haututoshi tuwe kama akina fulani!

For such little mind do you think will you utilize a little money you earn monthly?

Akili taka. Huwezi hata kuwafikiria nduguzo na wanaotaabika mitaani kuusaka ualimu unaoudharau.

Watu wanalipwa laki moja kwenye QT tuition centres and still they enjoy life wanajisikia kupoza ukali wa maisha. Wewe unalipwa laki nne mpaka tano baada ya tozo za ccm, unalalamika?

Ilalamikie akili yako ndogo isiyotambua mbuyu mkubwa wa Ukonga magereza ulianza kama chembe ya mchele wa Mbalali.

Walimu tuna vichwa maji kabisa. Hatufai kuigwa. Bora tufe tu.

Mtu analima mpunga anasubiria mpaka miezi sita ndipo avune apate pesa halafu unamchapa mwanaye na kumrudisha nyumbani useme una akiba ya akili wewe?

Na Mzee Magai Magesa Malimbe.
 
Yaani hawa hawana tofauti na mchunga ng'ombe, anaechapa mifugo ya nyuma eti watembee haraka.

maalimu yanayochapa watoto ukikiambia litengeneze hata stuli haliwezi.

Tena sio kutengeneza ku assembled tu na kila siku anaikalia, hizo ndio akili zao.

Yanawaza kuonea tu
 
Banaa ee kila mtu apambane na matatizo yake,

Kila siku tusikilize ya walimu tuu, kwanza hawa watu ni kuwaendekeza lakini pia kichaka cha kuwaonea,

Kuwaendekeza = Hawana shida kiasi hicho wanachojiendekeza.

Kuwaonea = Makosa yao ni ya kibinadamu na yeyote anaweza fanya..
 
Walimu tuna akili kama funza kabisa yaani hatunaga la kujiongeza!!

Umewaambia watoto wa darasa la nne waje na chakula na pesa kwa ajili ya mtihani.

Wamekuja mikono mitupu unawachalaza fimbo na kuwarudisha nyumbani ati rudieni pesa!

Imenikera sana leo. Mkuu wa shule unakuwaje na akili za vitenge vya mwenge?

Unajua walimu tunakuwaga na akili moja tu. Ukija mtindo wa vitenge, ukiona mtu amevaa shati la kitenge jua ni mwl wa KKK.

Uzio. Basi ikawa kila mmoja azungushie uzio nyumba yake. Ukiona uzio wa ngozi au makuti, jua hapo ni kwa mwalimu!

Tablets. Ukiona mtaani mtu anazagaa na kishikwambi hali zoezi la sensa lilishapita, jua huyo ni mwalimu wa triple K.

Red ink. Ukiona mtu ana pen nyekundu mitaani, jua huyo ni mwl anaratibu watoro.

Kuchomekea ndiyo alama yetu usipime. Ukiona mtu mtaani amechomekea mavazi yamepigwa pasi ya ncha kama wembe, jua huyo ni mwl KKK.

Ukiona watoto wanarudi nyumbani asubuhi, jua kuna mkuu wa KKK ameketi dawatini.

Watoto ni tegemezi. Unawachapa viboko vya nini? Yaani unamuadhibu rais Samia kwa kumzomea Paul Makonda? Hulijui sanduku la kura?

Njaa ya mtoto inakuhusu nini? Wewe ketisha watoto wafanye mtihani. Wape ratiba ya chakula. Asiye na chakula atajijua na mzazi wake. Unawachapa viboko?

Unawarudisha nyumbani? Mtihani unaanza saa 8am halafu saa hiyo unawarudisha nyumbani niseme wewe una akili zaidi ya shati la mwenge?

You know not how to deal with such problems? Didn't you attend the class of guidance and counseling in psychology wewe?

Yaani una project kwa mtoto udhaifu wako wa chuoni?

Kumbe ndiyo maana walimu licha ya mshahara wa kila mwezi tumejaa malalamiko eti haututoshi tuwe kama akina fulani!

For such little mind do you think will you utilize a little money you earn monthly?

Akili taka. Huwezi hata kuwafikiria nduguzo na wanaotaabika mitaani kuusaka ualimu unaoudharau.

Watu wanalipwa laki moja kwenye QT tuition centres and still they enjoy life wanajisikia kupoza ukali wa maisha. Wewe unalipwa laki nne mpaka tano baada ya tozo za ccm, unalalamika?

Ilalamikie akili yako ndogo isiyotambua mbuyu mkubwa wa Ukonga magereza ulianza kama chembe ya mchele wa Mbalali.

Walimu tuna vichwa maji kabisa. Hatufai kuigwa. Bora tufe tu.

Mtu analima mpunga anasubiria mpaka miezi sita ndipo avune apate pesa halafu unamchapa mwanaye na kumrudisha nyumbani useme una akiba ya akili wewe?

Na Mzee Magai Magesa Malimbe.
Mze Magali umeandika kwa hasira sana. Kwann usiende shuleni ukamuwakie huyo mwalimu live badala ya kukimbilia hapa JF kutuumiza vichwa na mambo tusiyoyajua wala kuyafahamu asilani?
 
Huyo Mwalimu Yuko sahii kongole kwake, na wewe ni mjinga mkubwa lengo la wanafunzi kuwaambia wachangie chakula ni kua uniform kumbuka hao ni watoto wadogo, kisaikolojia huyo mtoto atajisikiaje akiona wenzake wanakula huku yeye anawaangalia? Unadhani hiyo mitihani ataifanyaje? Kumbuka hao ni watoto wadogo toa hiyo Hela ya chakula mzazi.
 
Back
Top Bottom