wali

Wali - chakula/pishi linalotayarishwa kwa kuchemsha mchele uliyochanywa na mafuta
  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Wali sekondari yageuka shule ya mateso kwa wanafunzi

    "Tunaomba mtusaidie kunusuru maisha ya watoto wetu hii shule ni kama imegeuzwa Kambi ya mateso kwa watoto wetu". Hii ni kauli ya mmoja wa wazazi wenye watoto katika shule ya sekondari Wali iliyopo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Shule hiyo inamilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha...
  2. Mtukutu wa Nyaigela

    JamiiForums Tanzania Wale wa wali nyama vitani mpo

    Mnaendeleaje, mnakwepaje mabomu Hatutegemei mlalamike. Uzi tayari
  3. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Simba wameingia cha kike coastal union mangushi wana wali ng'ombe hawajawahi kushindwa kesi ya usajili!

    Simba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,tangu dahali na dahali coastal union hawajawahi shindwa kesi wamuulize Aden Rage aliwahi kuifungia na kusema ameifuta kwenye kwenye vitabu vy FAT.kama wamejipanga waende watakako...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wali unaotokana na mpunga unaolimwa katika maeneo ya nchi yetu hivi sasa siyo hauna ladha na siyo mtamu?

    Ninaomba Wizara ya Kilimo ufanye utafiti ni kwa nini wali unaotokana na mpunga unaozalishwa katika maeneo yanchi yetu ladha yake siyo tamu? Nimenunua mchele ambao ni mzuri kabisa lakini ulipopikwa kwa kweli hauna ladha na siyo mtamu.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

    Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja suala la kiporo cha wali na maharagwe tena kilichopikwa kwa nazi original ni kitamu kuliko chakula...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ukihisi harufu ya wali au mchele uwapo porini ni ishara kuwa Chatu yupo karibu

    Habari, Kumekuwa na hoja mtaani inadai kwamba ikitokea upo porini na ukahisi harufu ya wali au mchele unapaswa kuchukua tahadhari kwani ni ishara kuwa chatu yupo karibu na anatoa harufu hiyo kukuvuta. Je, kuna ukweli kuhusu hoja hii? Tunaomba ufafanuzi.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya Wanafunzi wa Rutabo kupewa chakula kidogo, Afisa Elimu asema 'tatizo ni siku ya Wali na Nyama'

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuripoti kuwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rutabo hawapewi Chakula cha Kutosha kutokana na uhaba wa Chakula na kudai kuwa hatua hazichukuliwi, Serikali imechukua hatua. Awali member alidai Shule hiyo inawapikia Wanafunzi Chakula kidogo hali inayowalazimu...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, Shujaa Magufuli angekubali kula wali wenye virutubisho!?

    Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza, leo tumefanywa kama...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge wengi wamerejea majimboni kuwanunulia wapiga kura wali wa Christmas na Pombe huku wakilipa social media wapost matukio katika picha

    Wabunge wengi wameanza kuona dalili za hatari KUELEKEZA 2025. Wamekimbilia kwenye majimbo kwa kazi maalumu. Moja ya kazi wanayofanya nikutembelea wazee maarufu nakupiga nao picha , pili nikununua viroba vya mchele vichache na kukabidhi kwa kuwalazimisha wapokeaji warekodiwe na picha ziende kwa...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

    Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix wapalestina wa buza na wakomonisti wa mbweni waambieni vijana wenu wa itikadi kali wawaachilie hawa vijana au mnaendelea kusupport hata huu ujinga.
  13. cold water

    JamiiForums Tanzania Haya wale mabachela na wale wasiojua kupika wali mweupe

    Mahitaji: mchele, maji, chumvi,mafuta bila kusahau moto wako wa gesi, mkaa,au kuni etc.hatua ya kwanza washa moto wako, kisha injika sufuria lako jikoni,unapoinjika tu akikisha mchele wako nao upo kwenye maji mambo ya kusema mnapika wali bila kuloweka mchele, ndo mana unatoka unatafunika, na...
  14. nyemenowa tindamanyile

    JamiiForums Tanzania Wali kupika kwa gesi, unaweza kukausha?

    Wana jamii naomba maujuzi ya kupika wali kwa gesi hadi kuukausha kwake.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais aliyepinduliwa Niger aamrishwa kula wali mkavu bila mboga

    --- Experienced journalist and public affairs analyst Chuks Ohuegbe has come forward to respond to the ousted President's comments regarding his treatment by the detaining soldiers under Mohammed Bazoum's prolonged arrest by the military junta that has taken control of the Niger Republic...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mama amchoma moto mwanawe kwa tuhuma za kudokoa wali

    Mtoto mwenye umri wa miaka saba mkazi wa Mtaa wa Sido, Kata ya Ibinzamata, Manispaa ya Shinyanga, amechomwa moto mikono yake yote miwili na mama yake mzazi kwa madai ya kula wali uliokuwa umebaki. Emanuel Kayange ambaye ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Sido, amekemea kitendo hicho, huku mtoto mwenyewe...
  17. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kupika ilikuwaje? Ulichopika kiliiva?

    Wakuu, Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii 😂😂😂. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa bokoboko😂😂. Mpaka nilipokuja kuuwezea ubwabwa nilishazoea na jina la bokoboko. Vipi wewe, siku ya kwanza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya viongozi wa CCM kuwahadaa wananchi kwq kula wali maharage ni ushamba wa kisiasa.

    Watanzania wapo kwenye umasikini mkubwa. Ufisadi umekithiri alafu mnajifanya kula wali maharage
  19. Jade_

    JamiiForums Tanzania Upishi wa Wali, Samaki wa Nazi na Mboga

    Habari za Jumamosi wakuu, natumai mpo salama. Leo nawaletea mapishi ya wali, samaki wa nazi na mboga. Ukipenda kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza “kuilike” hiyo video, “kusubscribe” kwenye channel yangu na kuangalia video nyingine. Turudi kwenye...
  20. Zikwe

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

    Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana. TUPIGIE SASA 0657 33 2814 Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private...
Back
Top Bottom