Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix

wapalestina wa buza na wakomonisti wa mbweni waambieni vijana wenu wa itikadi kali wawaachilie hawa vijana au mnaendelea kusupport hata huu ujinga.

20231029_171452.jpg
 
Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix

wapalestina wa buza na wakomonisti wa mbweni waambieni vijana wenu wa itikadi kali wawaachilie hawa vijana au mnaendelea kusupport hata huu ujinga.
View attachment 2796985
Dah vijana wadogo sana walienda kusoma na wangekuja kuwa experts wazuri na kuinua uchumi wa nchi yetu pitia kilimo. Mungu wasaidie vijana wetu warudi salama.
 
Wanauchungu na ndugu zao katika Imani hao makafir watakwambia wafe tu tena wachinjwe wakiwa wameelekezwa kibra,
na hapohapo mitandao ya Israel inasema vijana wawili wa kitanzania, Joshua Loutu MOllel & Clemence Felix Mtenga wamekamatwa na hamas, walienda kwenye intenship ya kilimo na hatujasikia lolote toka serikalini kama wananegotiate au wanawasaidiaje au wameachwa hukohuko wafe.
 
ni rahisi sana, Serikali imwite tu balozi wa palestina imwambie awapigie simu hamas waachie watoto wetu basi. balozi wa palestina yupo hapahapa na alishaomba watanzania tuilaani israel.
Umeua na kuchukua mateka halafu bado umewashikilia. Halafu unataka dunia ikuonee huruma kwasababu umeonewa. Sijui nani ni mbaya 😁😁😁😁😁
 
balozi wa palestina anasapoti hamas, sisi hatutaki kuingilia kati ugomvi wao, tunachotaka, kama vile ambayo yeye na mabalozi wenzake wa palestina wengiii wamekuwa wakihitaji sapoti yetu kuilaani israel mara kwa mara, atusaidie, apige tu simu kwa Ismail Haniyeh kiongozi wa Hamas, anaishi pale Qatar, amwambie awaachie hao watanzania wawili kama vile alivyowaachia waisrael wawili juzi. la sivyo siku nyingine asije kulialia kwetu kuomba tumpige sapoti.
 
Umeua na kuchukua mateka halafu bado umewashikilia. Halafu unataka dunia ikuonee huruma kwasababu umeonewa. Sijui nani ni mbaya 😁😁😁😁😁
zaidi ya yote umeshikilia hadi watanzania ambao hata hawajakupora ardhi, wabongo masikini kabisa walioenda kujifunza kilimo na walipelekwa na serikali. hao ndio wapalestina, mioyo yao halisi ndio hiyo.hawana rafiki. kweli uende israel ukute mtu ana sura nyeusiii ya kimasai pale tena katoto kanaonekana hata hakajaenda hata jeshini na hakuna mamluki israel, ukakakamata na kukateka? kaafrika kabisa, kana shida gani na wapalestina?
 
Back
Top Bottom