Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja suala la kiporo cha wali na maharagwe tena kilichopikwa kwa nazi original ni kitamu kuliko chakula hicho hicho fresh from the kitchen.
Najua utabisha ila karibu asilimia 95% ya watu niliowauliza kuhusu hii unique and unexplainable scenario wamekubali tena wengine wakasema "unaweza kumaliza sufuria nzima", wengine wakaongezea "ni hatari, kinakuwa kitamu zaidi kikipashwa na kuliwa kwenye sefuria yake ileile ikiwa na ukoko wake", "just changanya kiporo cha maharagwe humohumo kwenye sefuria"
Je wewe unafikiri hii scernario ni kweli? nini experience yako? je wewe ulijisikiaje ukiwa mdogo enzi zile au hata sasa? ni kitafunio bora zaidi, huitaji msosi wa mchana kama ukisindikizia na chai nzito ya maziwa iliyo na Tangawizi kwa mbali?
Swali gumu ni je kuna njia yeyote ya kibiologia, kiphysiologia, kimila na kiutamaduni inaweza kuelezea mabadiliko ya utamu ndani ya kiporo cha wali na maharagwe ya nazi contrary to the nature kwamba kiporo hakiwezi kuzidi chakula fresh kwa utamu