wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa google support customer service

    Wakuu habari zeno, Ninashida na jinsi yakuwasiliana na Google support service nimepoteza keys za Google authenticator nimejalibu kutafuta mawasiliano nao nimeshindw najua umu siatakosa mwanga karibuni. CHIEF MKWAWA
  2. JamiiForums Tanzania Msaada PC ya dell Wakuu

    Nina pc ya dell inspiron 3521 ambayo ina tatizo moja kwamba, ukiweka waya wa charge, betrii halichaji Bali inakia inatumika kama desktop, lakini nikipeleka betri kwa pc 💻 ya mtu betrii nachaji vizuri tu, bila shida yoyote, hio ilikuwa mwaka jana mwezi wa kwanza, na betri lilikia linasoma...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Umofia kwenu wakuu, Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Utendaji uliotukuka wa Dkt. Anna Makakala ukimpendeza Rais awateue wakuu wengine wa Majeshi yetu Wanawake

    Awamu iliyopita ilikuwa ngumu kiutawala na ilihitaji ujasiri kusimama na kubaki kwenye nafasi ya juu ya uteuzi. Dr. Anna Makakala Ni mmoja wa wanawake waliovumilia nakupambana kwa miaka mitano ya awamu hiyo bila kutumbuliwa. Kila ukiangalia picha za awamo ya tano utabaini alipokuwa Rais na huyu...
  5. JamiiForums Tanzania Wajumbe waliogombea NEC Taifa mwaka 2017 wateuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya

    WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025. WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuanzisha shule ya msingi binafsi inayofundisha kwa Kiswahili?

    Hivi shule za private lazima zifundishe kwa Kiingereza?
  7. JamiiForums Tanzania Wapi hapa tanzania naweza Pata betrii la simu ya xiaomi redmi note 3

    Wakuu wa jukwaa hili naombeni msaada wapi hapa tanzania naweza Pata betrii la simu ya xiaomi redmi note 3. Msaada tafadhali wapendwa.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ulazima wa wakati Rais wa JMT anaapisha wateule wake hafla kuhudhuriwa na viongozi wakuu wote na wale wa vyombo vya dola?

    Nauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo. Je, kuna ulazima wowote hawa viongozi kuhudhuria hata uapisho wa watu wadogo wadogo kama maDED na maDC? Ni hilo tu.
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

    Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi Jaji Mkuu: DPP ni chujio la kwanza la haki Prof. Ibrahim Juma...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu fungueni account za social media na mzikuze mapema

    Hizi ishu baadaye huwa mtaji mkubwa sana. Wale followers wanakuja kuwa wateja wazuri. Hata ukiamua kuanzisha kakitu tayari unakuwa na wateja wa kutosha. Ningekuwa nipo active huko toka zamani leo nisingekuwa nahngaika kujitangaza. Tusidharau facebook, insta na Twitter. Fungua account na...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu tulipe madeni ya mikopo, ukizembea utaumia zaidi...

    Hbari za muda huu wakuu, Niende kwenye mada, kuna office moja ya kukopesha nilichukua hela kiasi cha Tsh. laki 2 kwa mwezi mmoja na ikatakiwa nilipe laki mbili na sitini,kama ikishindikana niwe natoa riba. Sasa bana nimeenda nao vizuri na ilikuwa mwaka jana mwanzoni, nimewalipa vizuri tu riba...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya maneno haya? "Chai ya moto, chai ya tangawizi na chai kavu"

    Wakuu, poleni na majukumu. Naomba kuuliza nini maana ya maneno haya kama yanavyotumika hapa JF: 1. Chai ya moto 2. Chai ya tangawizi 3. Chai kavu Nimeyaona yakitumiwa na wachangiaji wa nyuzi mbalimbali ila mimi sielewi wanamaanisha nini wanapoyatumia. Naomba kujuzwa ili twende pamoja
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi naweza kununua eneo la 30 msq?

    Yaani eneo liwe na upana wa mita tano na urefu wa mita sita. Inawezekana? Kuna limit ya ukubwa wa eneo analoweza miliki mtu?
  14. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ameweza kufanya kwa Wakuu wa Mkoa, kwanini hakufanya kwa Mawaziri?

    Nilishangaa kidogo kusoma Press Release ya Ikulu ambayo ilitangaza majina ya Wakuu wa Mikoa ''wapya'' ambao WAMETEULIWA na Rais Samia. Kilichonishangaza ni lugha iliyotumika lakini ''kiuhalisia'' kilichofanyika ni UHAMISHO TU wa Wakuu wa Mikoa na kuziba nafasi za wale wamestaafu. Rais Samia...
  15. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ili niweze kupata platform itakayonipa nafasi ya kunisajilia uwezo na kipaji changu cha kuimba

    Habari wakuu, Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada husika Wakuu naombeni msaada ili niweze kupata platform itakayonipa nafasi ya kunisajilia uwezo na kipaji changu cha kuimba ili kutengeneza nafasi ya kuweza kupata udhamini Pia kwa mwenye connection na wadau wa muziki nahitaji msaada wake...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali: Majaji wateule kuapishwa Mei 17, Wakuu wa Mikoa Mei 19

    Hii ndio Taarifa ya serikali ya Tanzania iliyosambazwa kwa vyombo vya habari . Shughuli hizo zitafanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete .
  17. W

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Wakuu wa Mkoa umekaa kimkakati, Hongera sana Rais Samia

    Nimpe Hongera Rais wetu mama Samia Suluhu, kwa teuzi za wakuu wa mikoa alofanya. Nimependa kwani imekaa kimkakati zaidi na hasa kwa kuangalia uwezo na kushabihiana kwa wasifu wa wakuu hao na mikoa waliopangiwa. Mfano kwa uchache: Mhe. Makala kupangiwa Dar, huyu ni mtu wa shughuli, na ni...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuanza upya siyo vibaya, kwa Wakuu wa Wilaya/Mikoa si Sabaya peke yake, wapo wengi waliovunja haki za binadamu

    Mama kwa heshima na taadhima,kwanza nikushukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya mkuu wa wilaya ya Hai mheshimiwa Sabaya, na kwa kuwa la Sabaya umesema lichunguzwe maoni yangu kuhusu yeye ninayaweka kando. Ila mama nikumbushe kitu kimoja, umefungua mlango ambao haukupaswa kufunguliwa,ila tu kama...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi WAKUU tuna mziki wa aina gani karne hii

    Sikupata nafasi ya kusikiliza audio ya KELEBE ya RAYVANY.... Basi nkaona si mbaayaaa kuangalia video nipate pia wasaa wa mashairi pia. LAHAULAAAAAAAAA...... Pengine ndo mziki mzuri kizazi hiki ila mimi HAPANA.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa wilaya wengi wana tabia kama za Ole sabaya labda uwatoe Gondwe na Jokate, Sabaya media imemponza!

    Wakuu wa wilaya wengi tu uongozi wao hautofautiani sana na wa Ole sabaya sema tu Ole kiki za kutumia media ndio zimekuwa zikimuumbua. Lakini kuna maDC na maDAS wana roho za uovu kuliko huyo Ole sabaya. Fuatilia utagundua ukweli. Naamini tochi ya mama itamulika kabati zima na kuuwa chawa wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…