Wakuu fungueni account za social media na mzikuze mapema

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
14,583
2,000
Hizi ishu baadaye huwa mtaji mkubwa sana. Wale followers wanakuja kuwa wateja wazuri. Hata ukiamua kuanzisha kakitu tayari unakuwa na wateja wa kutosha.

Ningekuwa nipo active huko toka zamani leo nisingekuwa nahngaika kujitangaza.

Tusidharau facebook, insta na Twitter. Fungua account na ikuze, itakuja kuwa msaada mbele.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,269

At least ungesema Domains.

Social net works get dormant as time goes
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,614
2,000
Very true.

Socail media is a double edged sword.

It could work for you if you use it well, it could work against you, if you abuse it.

The choice is yours.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,269
2,000
What if your input is dynamic? Keeps getting better and adapts to change?
Social net works grow by creating contents that engage followers.

It's so difficult and expensive to keep it afresh as time passes.

Growing a YouTube channel and blogging are the best options.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,269
2,000
Tatizo kila social media inakuja na itakufa na itakuja mpya.

Hii Facebook yenyewe kifo kinakuja.
Facebook imepambana kuwa multi-purpose ili ku survive.

Sasa hivi Ina contents, videos, rooms, marketplaces, groups etc

Vile vile wanapambana kununua vikampuni vinavyotishia uhai wao na vinavyokataa kununuliwa wanakopi.
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
3,383
2,000
Umezoea kuwapostia umbea ukianza kuwapostia sijui projects na bidhaa gani wanaku-unfollow. Wabongo bhana.

kutangaza bidhaa kama bango kwenye social media ni kosa mkuu, social media ipo kwa ajili ya "socialization"

hivyo, njia sahihi ni kutanga faida au matumizi ya kitu na sio kitu chenyewe. Kiufupi do it for the audience

mfano mtu unataka kupromote condoms,
kwenye social media huwezi post "Nunueni condom imara kwa sh 500"

instead

utatumia maneno kama

"hata ukiwa katika kasi ya 4G, haipasuki 😉"
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,209
2,000
Hizi ishu baadaye huwa mtaji mkubwa sana. Wale followers wanakuja kuwa wateja wazuri. Hata ukiamua kuanzisha kakitu tayari unakuwa na wateja wa kutosha.

Ningekuwa nipo active huko toka zamani leo nisingekuwa nahngaika kujitangaza.

Tusidharau facebook, insta na Twitter. Fungua account na ikuze, itakuja kuwa msaada mbele.
Kigogo2014 wa Twitter afanyeje ili account yake imuingizoe hela na yeye azioate akiwa salama?
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
3,383
2,000
Social net works grow by creating contents that engage followers.

It's so difficult and expensive to keep it afresh as time passes.

Growing a YouTube channel and blogging are the best options.

Social media ni ngumu kwa corporate level maana kama social media manager unatakiwa kuhakikisha kampuni inatengeneza "personal touch" na watu.

yaani followers wasihisi wanainteract na kitu ambacho hakina uhai sababu itakuwa impossible kutengeneza engagement

kwa mtu binafsi sio ngumu sana maana hadi mtu akufuatilie bhasi lazma avutiwe na personality au uwezo wako flani. Therefore sio ngumu ukiwa natural ila kama unaforce kutengeneza brand/reputation ambayo haiendani na wewe (kuact/kufake), lazma iwe struggle
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,269
2,000
Where does the difficulty arise?

And the expenses?
The audience keeps aging and thus quitting social media use with time.

To keep relevant you'll have to keep changing missions and themes to include the new generation.

It's gonna be like an everlasting process that will give you a burn out. No passive income generated unlike growing aYouTube channel or professional blog.
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,614
2,000
The audience keeps aging and thus quitting social media use with time.

To keep relevant you'll have to keep changing missions and themes to include the new generation.

It's gonna be like an everlasting process that will give you a burn out. No passive income generated unlike growing aYouTube channel or professional blog.
What time frame is this?

Because for example since inception of FB have the figures risen or fallen?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom