wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwenye orodha ya Wakuu wa Idara za Halmashauri na Majiji nchini Tanzania

    Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali. Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya Kada alizosema Waziri Mkuu inalipwa mishahara mikubwa ila Idadi na Majina yao hayajulikana na mtu au...
  2. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Wakuu wote wa Idara ni Makaimu

    Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana. Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo kwa miaka na miaka?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tafsiri rahisi 3 za kutoonekana kwa jina la David Kafulila katika teuzi za Wakuu wa Mikoa Julai 28, 2022

    Habari JF, Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila. Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni either :- 1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi au 2. Ameachwa kutokana na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Maji yamenifika shingoni, naomba msaada wakuu

    Heshima kwa wakuu wote Mdogo wenu hali tete. Kijana wa kiume. Dira haisomi. Nipo Dar Wakuu kama kuna mtu ana kazi ya ulinzi, au kazi ya kusimamia lodge/guest yake popote nchini nipo tayari. Ni muaminifu, sidokoi cha mtu. Nina elimu ngazi ya diploma. Nina changamoto fulani za kiafya zimekua...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Habar za majukumu wanajamvi, Kama mnavyojua tupo katika kipindi cha usaili wa sensa ktk nafasi mbalimbali. Basi bwana juzi usiku mida ya saa tano kasoro nilitumiwa messege kuwa saa 8.00 am tar 19/7 natakiwa kwenda usaili wa sensa ktk nafasi ya msimamizi wa TEHAMA Kama nilivyoomba. Bahati mbaya...
  6. JamiiForums Tanzania Sasa wakuu, si nimpige chini tu?

    Katika pita pita zangu mitaani, nilikutana na mdada mwenye uzuri wake; ni mtu mzima mwenye miaka 38, na ana mtoto mmoja. Kama mjuavyo tena wakuu, macho hayana pazia, na moyo ukatokea kumpenda kwa ghafla. Basi nikajipa ujasiri; nikamsimamisha na kumuambia lengo langu, na baadaye tukabadilishana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nime-apply chuo NACTE nahitaji kujua tulio apply ni wa ngapi?

    Maana nikingia kwenye tovuti ya NACTE kuna sehemu imeandikwa applicant choose as:36 afu kwa mbele wameandika capacity 50 Sasa naomba kuuliza Hao 36 ndo idadi ya watu walio apply.. Samahan lakin kwa usumbufu
  8. M

    JamiiForums Tanzania LATRA yapiga Stop usafirishaji kwa kutumia magari madogo kuepuka ajali za kila siku

    RC Kafulila apiga marufuku ‘michomoko’ kusafirisha abiria Mkoa wa Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) nchini Tanzania, David Kafulila amepiga marufuku magari madogo maarufu michomoko kusafirisha abiria mkoani humo. Ni baada ya kuhusika kwenye matukio ya ajali yaliyosababisha vifo vya watu 10 na...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya ‘Biotechnology and Bioinformatics’ inahusiana na nini?

    Habari za muda huu tena wakuu. Naomba msaada na ufafanuzi juu ya Kozi hii inahusika na mambo Gani? BACHELOR OF SCIENCE IN BIOTECHNOLOGY AND BIOINFORMATICS Natanguliza Shukrani
  10. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo Mgeni Rasmi kikao cha Wakuu wa Shule za umoja wa wazazi Tanzania

    CHONGOLO MGENI RASMI KIKAO CHA WAKUU WA SHULE ZA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA- ASUBUHI HII. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, Leo Ijumaa tarehe 15 Julai, 2022 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha Wakuu wa Shule za Umoja wa Wazazi Tanzania. Kikao hicho...
  11. JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kupata mkopo university kama ukitokea diploma kwenda degree

    Naombeni msaada wenu wakuu. Nimemaliza diploma na nilikuwa napenda kuendelea na elimu ya juu lakini kulingana na hali ya maisha naweza nikashidwe kujihudumia na kama mnavyo fahamu chuo kikuu ni gharama kubwa. Naomba kufahamishwa kama naweza pata mkopo ili niweze kuendelea na elimu yangu...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu hizi Fursa maliasili zitatoka Lini?

  13. H

    JamiiForums Tanzania A must read document kwa wanaume...muwe na jumapili njema wakuu

    tujitahidi tusome hii wale vijana wakiume
  14. JamiiForums Tanzania Kweli ukitaka huduma Wizara ya Kazi lazima uende Dodoma?

    Kichwa cha uzi chahusika, ndugu zangu kuna project ninataka kwenda kuifanya Wizara ya kazi. Je ni lazima niende Dodoma au ofisi ya wizara ya kazi ya DSM bado inatoa huduma? Anayefahamu kuhusu hili naomba afunguke tafadhali. WITH MUCH THANKS IN ADVANCE
  15. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuia ya Madola 2022 Rwanda

    Mkutano huu ulihudhuriwa na Mwana wa Malkia aitwae Charles pamoja na mke wake Camilla Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Jonhnson na mke wake
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu nipeni maujanja

    Wasaalaam wakubwa zangu jamani nimekaa nimejiuliza hivi nyie vidume wenzangu huwa mnafanyaje fanyaje mpaka mnapostiwa na kuwekwa DP kabisa mbona mimi sijawahi au bado nafanyiwa tathmini I mean nipo kwenye majaribio, au ndio nina det na demu wa mtu. Hebu nipeni mbinu wadau nami nijione mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Audio Tunatumia Shazam Kuutambua Wimbo, Vipi kwa Video Ambayo Huijui Unatumia App Gani?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia. Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...? NAWASILISHA.
  18. JamiiForums Tanzania Hii hali ni dalili ya nini wakuu??

    Inanitokea mara kadhaa nikiwa nimelala hata mchana huwa ninahisi mwili kunesanesa kwa kasi, nashindwa kufumbua mdomo na macho na kuhema wakati huo, ni wakati ambao huwa ninaomba sana kimoyomoyo kwani huwa ninaona ndio tumaini pekee lililobaki ni kama nahisi kufakufa hivi na sitamani kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola kukutana Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili

    Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola hatimaye unafanyika Jijini Kigali, Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili (2020 na 2021) kwa sababu ya Ugonjwa wa COVID-19. Mkutano huo unaofanyika kuanzia tarehe 20 hadi 25 Juni 2022 umegawanywa katika makundi mbalimbali kama vile ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu FDC watakiwa kubuni miradi ili kuongeza kipato

    ▪️Sasa vyadahili wanachuo 15,032 ▪️Bilioni 6.8 ya Fedha za Uviko-19 kutumika kununua vifaa Na WyEST, MOROGORO Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) wametakiwa kutumia kwa umahiri uwekezaji wa miundombinu na vifaa uliofanywa na Serikali katika kubuni miradi itakayotumika na wanachuo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…