Habar za majukumu wanajamvi,
Kama mnavyojua tupo katika kipindi cha usaili wa sensa ktk nafasi mbalimbali. Basi bwana juzi usiku mida ya saa tano kasoro nilitumiwa messege kuwa saa 8.00 am tar 19/7 natakiwa kwenda usaili wa sensa ktk nafasi ya msimamizi wa TEHAMA Kama nilivyoomba.
Bahati mbaya usaili haukufanyika kutokana na waliojitokeza kuwa wachache kutokana na jinsi wasailiwa walivyopata taarifa ya ghafla maana kuna baadhi wanatokea mbali hivyo tukaambiwa turudi siku ya pili(leo tar 20/7/2022) na tukafanya hivyo kadri ya maelekezo.
Kizaazaa kilianza kabla ya kuingia kwenye chumba cha usaili Maana walianza kukagua vyeti kwanza Kama tunaqualify ktk nafasi husika.
Baada ya vyeti vyangu kukaguliwa ilionekana kuwa sina sifa JAPO Mimi ni mhitimu(mwl) wa shahada B.SC.(Education) ktk masomo ya INFORMATICS & MATHEMATICS from Udsm wakidai kuwa Cheti changu kimeandikwa Bachelor Degree of Science(Education) bila hiyo INFORMATICS(TEHAMA) hivyo nimekosa sifa.
Nikaanza kujitetea kwa kuwaoneshea transcript pia nafundisha ICS kwa Zaid ya miaka 5 lakini HAWAJANIELEWA KABISA.
Ndugu ni kweli kwamba sina sifa ktk nafasi hiyo Kama walivyodai?
Nawasilisha kwenu