Wakuu ni kazi gani naweza fanya kwa Smart Phone yangu

Huyu naye yawezekana pia ni msomi aliye na degree yake toka UDSM.
Km Taifa safari bado tunayo ndefu...
wewe ndiyo una tatizo! maana ye kaomba kupewa mawazo yanayoweza kumnufaisha kutokana na simu yake...

badala ya kumshirikisha fikra jengefu unaishia kumfanya ajione boya! Sasa wewe usiye boya ndo umweleweshe kwa namna iliyo bora ili aone tofauti yake na wewe! vinginevyo wewe haswaa ndiyo hufai hata kama una phd ya Cambridge
 
PVC ALUMINIUM
MADIRISHA MILANGO PARTITION BALCONY
tuone kupitia
255686082235_status_2efd7cf3cd3d4c619ad994235cc23a0f.jpg
 
Be a miner bro,Kuna projects ambazo bado hazijaingia kwenye market xo unachofanya,unamine Zen zikiingia sokoni na kujulikana zinathamani gani kadri mda unavyoenda unagain (cyptocurrency)
 
Mkuu Mimi mawazo yangu naomba ujiunge katika magroup ya madalali ya kununua na kuuza , au Kama upo dsm unawezaje kuwa winga au nyoka.
 
wewe ndiyo una tatizo! maana ye kaomba kupewa mawazo yanayoweza kumnufaisha kutokana na simu yake...

badala ya kumshirikisha fikra jengefu unaishia kumfanya ajione boya! Sasa wewe usiye boya ndo umweleweshe kwa namna iliyo bora ili aone tofauti yake na wewe! vinginevyo wewe haswaa ndiyo hufai hata kama una phd ya Cambridge
Hili jibu limetulia sana
 
Be a miner bro,Kuna projects ambazo bado hazijaingia kwenye market xo unachofanya,unamine Zen zikiingia sokoni na kujulikana zinathamani gani kadri mda unavyoenda unagain (cyptocurrency)
Leta link za hzo project tuka mine....
 
Leta link za hzo project tuka mine....
My referral code: 164842 Beta Network - Apps on Google Play
 
Oky, km una coin ingne una mine nijuze au km kuna groups za hzo mambo nipe..
 
My referral code: 164842 Beta Network - Apps on Google Play
Mm na mine sindra Sidra Bank
 
Back
Top Bottom