wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama Washauri wake Wakuu ni hawa Members wetu hapa Mwanafunzi wangu Lucas Mwashambwa na Mchovu ChoiceVariable mlitegemea Jipya Kwake jana?

    Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa Madini Tukuka niliyokuwa nawapa lakini sijui kwanini huyu Lucas Mwashambwa hakuchukua Ujiniasi wangu ili...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

    Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wakuu.....!!!!

    Samahani wakuu, Kwa wataalam wa mambo ya ujenzi naomba kuuliza swali. Hivi, kama umechimba shimo kubwa la maji taka (septic), kuna ulazima wa kuchimba shimo jingine kwaajili ya kudirect maji yanayotoka jikoni au unaweza tu yote ukayapeleka kwenye shimo kuu la maji taka? Asante Nawasilisha
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu, nini kimemkuta Max Verstappen "Mad Max"?

    Hii kwa wadau wa Formula 1. Bingwa wa Dunia mara 3, Max Verstappen aka Super Max mbona sahivi anaendesha "chini" ya kiwango? Nimetoka kuangalia Azerbaijan Grand Prix sahivi jamaa ata Podium hajapanda, kamaliza P5. Iliopita Italian GP alimaliza P6, Dutch P2, Belgian P4, Hungarian P5, British...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu angalieni kazi ya mwana jf mwenzenu mnipe kazi

    Wakuu mimi ni zao la hapa JF mara kadhaa Jf imekuwa kimbilio langu pale nilipo yumba kiuchumi nika kimbilia hapa niliweza kusaidiwa vya kutosha wachache wanaweza kukumbuka jina Mkongoro mwaka 2015. kwa muda mrefu nimejifua katika decoration za mawe na sasa nathubutu kusema nimeiva...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi hii artwork naweza kuiuza?

    Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua? Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo ni rahisi mtu kujua kama ni Dar es Salaam au? Pia ni bei gani nzuri kuiuza hii kazi ili itoke ?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu habari

    Naombeni, maeneo ambayo mwanafunzi anaesoma bachelor of science in environment management anawezà kufanya field.
  8. JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kesho Nitawaleteeni Andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi kuwausia Wakuu wa wilaya na Mikoa

    Ndugu zangu Watanzania, Siku ya Kesho panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu nimepanga kuleta andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi Mkoani Songwe kuwausia wakuu wa Wilaya na Mikoa. Ni andiko la kuwakumbusha mambo mbalimbali, kuwakumbusha dhamana kubwa waliyoibeba ,kuwakumbusha wajibu wao...
  10. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupima ubora wa bidhaa kabla ya kuagiza mtandaoni?

    Habari za huku wakuu kuna mdau huku aliwahi agiza bidhaa na mzalendo cargo nataka kuagiza godoro nauliza ili nijue ubora maana bei zao ni za kizalendo kweli kweli
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ujumbe huu ni wa onyo la kufungia akaunti kutokea Kampuni ya Meta

    Nimetumiwa hii text kwenye whatsapp kwamba ibatoka meta na account itafungwa ndani ya masaa 24 yajayo kwamba nakiuka sheria za mata.
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu Naomba Kuuliza Hapa NACTE Wana Maana gani?

    Naombeni kuuliza wataalamu je hapa Nacte wameshapokea matokeo ya mwanafunzi au bado au je hii pending inamaana gani?
  13. JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 1 nikajitafute wapi wakuu?

    Kwasasa nipo Morogoro. Nina milioni moja napanga nikizalishe niingize chochote kitu, maisha yasonge. Nawaza kwenda Dar nikauze mkaa.
  14. JamiiForums Tanzania Big Up, TRA Kutumia Media Kuelimisha Umma Elimu ya Kodi na Umuhimu wa Kodi Kila Mtu Alipe Kodi. Je Wajua Viongozi Wetu Wakuu Hawalipi Kodi?. Kwanini?!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo 1/09/2024 Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na swali, hoja kisha jibu utatoa wewe mwenyewe. Mada ya leo ni pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuwatumia wahariri...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu ninashida na hii Form

    Habari za jioni wakuu, kwa anayejua hii form naweza kupata wapi pia kama kuna uwezekano mtu akajijazia chap kama inavyoonesha hapo nitashukuru service fee ipoo. Natanguliza shukrani.
  16. JamiiForums Tanzania Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

    Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Fani gani nikisoma ni rahisi kufanyiwa Recategorization?

    Mimi ni mwalimu, naombeni msaada wa fani ambazo endapo nikasomea inakuwa rahisi kufanyiwa Recategorization kwa upande wa halmashauri. Mbarikiwe. #kuna hali imenishinda kuendelea kuendelea kushika chaki
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuna msanii anemzidi kipaji Rod Wave

    Katika wasanii ambao nikisikiliza ngoma zao nazielewa namba Moja duniani ni rod wave nataka nijue Kuna msanii anaemzidi kipaji huyu jamaa duniani Sasa hivi nazungumzia kipaji a.k.a mziki mzuri sio umaarufu.
  19. JamiiForums Tanzania Hivi njegere na mbaazi zinafaa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

    kichwa Cha habari
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni tiba ya makelele masikioni.

    Sasa imekuwa too much yani mivumo na sauti za kengele , muda mwingine masikio yanawasha muda mwingine una hisi masikio kama yamejaa. Uliwahi kupata hii hali? Tusaidiane namna uliyoweza kujinasua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…