wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cavill

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni Wakuu, shida iko wapi?

    Wakuu aisee nna changamoto ambayo nahitaji kuielewa kabla sijaipotezea as usual but this time nahitaji msaada wenu Ili nikiipotezea nisije jiuliza maswali kama haya Tena hapo badae.. Wanawake 1. Kwanini wanawake haswa my age Kila ninapo wakuta sehemu wanazotoa services mfano canteen, kwenye...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Picha makamanda wakuu wa Hezbolah waliuwawa ya tangu kuanza kwa mashambulio ya IDF

    Karibu makamanda wote waliohudumu wameuwawa na kuchaguliwa wengine na pia watawawa tu USSR
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata eneo zuri la kujenga jijini Dar Es Salaam?

    Habari za mda huu natafuta Kiwanja Dar maeneo mazuri yaliyotulia kwa ambae anacho naomba tuwasiliane bajeti yangu 10M hili jambo lipo serious na tunaweza kufanya biashara Hata leo hii nawakaribisha maoni yenu ni wapi pazuri kujenga Kwa Dar es Salaam hata kwa Kibaha itakuwa poa naomba mnitajie...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma Computer Engineering nisaidieni!! Vipi ajira zake zipo?

    Nimechaguliwa DIT kusoma computer Ingineering naomba kujua fursa Zake katika kujiajiri kuajiriwa pia! Niongozeni wakuu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze jambo hili kuhusu mtandao wa simu wa Tigo

    🙏
  6. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu Samsung inaandika hivi

  7. Sina Ndugu

    JamiiForums Tanzania Nimefanikuwa Rasmi kufungua akaunti ya Jamii Forums leo .

    Habari zenu wana Jf? Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana.... Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti.. Ahsanteni!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA WAKUU

    Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua...
  9. Acehood

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu. "Microsoft Setup bootstrapper has stopped working"

    Habari za mchana wakuu. Samahani kila ninapo install Microsoft office 2007 kwenye kompyuta yangu naletewa huu ujumbe " Microsoft setup bootstrapper has stopped working". Nimejaribu kubadili setup zaidi ya mara tano bado shida Iko palpable. Leo nimeamua kupiga window upya lakini bado hii shida...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni hivi hapo mimba itakuwepo au haipo?

    Wakuu nisaidieni hivi hapo mimba itakuwepo au haipo?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Washauri wake Wakuu ni hawa Members wetu hapa Mwanafunzi wangu Lucas Mwashambwa na Mchovu ChoiceVariable mlitegemea Jipya Kwake jana?

    Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa Madini Tukuka niliyokuwa nawapa lakini sijui kwanini huyu Lucas Mwashambwa hakuchukua Ujiniasi wangu ili...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

    Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
  13. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wakuu.....!!!!

    Samahani wakuu, Kwa wataalam wa mambo ya ujenzi naomba kuuliza swali. Hivi, kama umechimba shimo kubwa la maji taka (septic), kuna ulazima wa kuchimba shimo jingine kwaajili ya kudirect maji yanayotoka jikoni au unaweza tu yote ukayapeleka kwenye shimo kuu la maji taka? Asante Nawasilisha
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wakuu, nini kimemkuta Max Verstappen "Mad Max"?

    Hii kwa wadau wa Formula 1. Bingwa wa Dunia mara 3, Max Verstappen aka Super Max mbona sahivi anaendesha "chini" ya kiwango? Nimetoka kuangalia Azerbaijan Grand Prix sahivi jamaa ata Podium hajapanda, kamaliza P5. Iliopita Italian GP alimaliza P6, Dutch P2, Belgian P4, Hungarian P5, British...
  15. MKONGORO

    JamiiForums Tanzania Wakuu angalieni kazi ya mwana jf mwenzenu mnipe kazi

    Wakuu mimi ni zao la hapa JF mara kadhaa Jf imekuwa kimbilio langu pale nilipo yumba kiuchumi nika kimbilia hapa niliweza kusaidiwa vya kutosha wachache wanaweza kukumbuka jina Mkongoro mwaka 2015. kwa muda mrefu nimejifua katika decoration za mawe na sasa nathubutu kusema nimeiva...
  16. Brave_Idiot

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi hii artwork naweza kuiuza?

    Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua? Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo ni rahisi mtu kujua kama ni Dar es Salaam au? Pia ni bei gani nzuri kuiuza hii kazi ili itoke ?
  17. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu habari

    Naombeni, maeneo ambayo mwanafunzi anaesoma bachelor of science in environment management anawezà kufanya field.
  18. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kesho Nitawaleteeni Andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi kuwausia Wakuu wa wilaya na Mikoa

    Ndugu zangu Watanzania, Siku ya Kesho panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu nimepanga kuleta andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi Mkoani Songwe kuwausia wakuu wa Wilaya na Mikoa. Ni andiko la kuwakumbusha mambo mbalimbali, kuwakumbusha dhamana kubwa waliyoibeba ,kuwakumbusha wajibu wao...
  20. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupima ubora wa bidhaa kabla ya kuagiza mtandaoni?

    Habari za huku wakuu kuna mdau huku aliwahi agiza bidhaa na mzalendo cargo nataka kuagiza godoro nauliza ili nijue ubora maana bei zao ni za kizalendo kweli kweli
Back
Top Bottom