wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kusini pride

    Wamama wa kichaga na hongereeni kwa kunipa huyu binti daah! Wakuu nafwaa kwa mapenzi haya ya kichaga

    Wa mama wa kichaga ahsanteni sana kwa kuniletea huyu binti binti mushi daa wazee sikuwahi kujua kwamba wanawake wa kichaga Wanajali na kuwathamini waume zao hivi aisee wakuu nafwa kwa mapenzi ooh yeah binti ananipa kila kitu pesa,nguo na mapenzi wakuu mimi mtoto wa kimakonde nitake nini? Sasa...
  2. Planet Data bundles

    Wakuu nisaidie kufafanua hii fixed acc ya NMB

    Hapa nimeweka mfano wa mwenzi mmoja.interest rate na ya mwaka mzima kwa mtaji wa milion 10
  3. Planet Data bundles

    Wakuu sikioni chuo Kikuu Dodoma, tuliambiwa ni chuo kikubwa Afrika

    Aah nini kinaendelea au hujuma😎
  4. I

    Nani ni rahisi kupata ajira kati ya wanafunzi kozi hizi mbili

    Naombeni kuuliza maana hapa kunawatu wanabishana mmja anasoma diploma in accountance chuo cha TIA Na mwingine DUCE bachelor of education in physics. Ni nani anaweza kuajiliwa kwa haraka kuliko mwingine japopokwa kunachangamoto ya ajira. Nani anaweza kuwa na kiwango kikubwa cha mshahara...
  5. Manyanza

    Hii imekaaje, Polisi kuvaa fulana za ACT Wazalendo ?

    Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu. Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti...
  6. L

    Rais Mwinyi Kumuwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na serikali wa SADC

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. katika mkutano wa dharura...
  7. incredible terminator

    Nimekuta hizi dawa kwa mkoba wa Dadangu. Kuna anaejua ni aina gani ya Dawa

    Wakuu naandika hapa ila kichwani niko confused sana, Dadangu aliondoka hom zaidi ya miaka 20, akaenda huko Dar es salaam katika harakati zake na tulipoteana, Kwa baadae kabisa tukapata kuwasliana upya, kwa kipndi hiko na mim nilikuwa nishatoka mkoani nimejenga Jiji flan hapa Tanzania, ikabidi...
  8. TRA Tanzania

    Nairobi: Wakuu wa mamlaka za mapato Afrika Mashariki wakutana

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda ameshiriki kikao cha Makamishna Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Afrika Mashariki kinacho endelea mjini Nairobi Kenya. Makamishna Wakuu hao wamekutana kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kuondoa vikwazo katika ukusanyaji wa...
  9. tamsana

    Zifahamu nchi zilizopata mwaliko wa kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi wa G20

    Tanzania ni maoja ya nchi zilizoalikwa kushiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G20. Mkutano huo unafanyika Brazil ambapo pamoja na mambo mengine utajadili masuala ya climate change, democracy, nk. Huu ni mkutano muhimu kwa nchi kama Tanzania ambazo zimejaliwa kuwa na...
  10. R

    Wapo wapi viongozi wakuu wa dini kwenye tukio lakuanguka kwa jengo la Kariakoo? Unaridhika na response yao?

    Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai. Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga...
  11. Red shadow

    Wakuu nimeshindwa kusoma hii hela??? ni elf 12 au milion 12?

    Watu wanaweza zan nazingua lakin kifupi nimechanganyikiwa sidhan kama n kweli maana hamna ninae mdai sifanyi kazi na sina mtu wa kuniwekea hii hela kama kweli ndio yenyewe Iko ivi nilikopa laki 4 sehemu nilikha na kazi nayo jamaa ameniwekea amenitumia na msg ya muamala kwenda kuangalia nakuta...
  12. M

    Msaada: Laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found

    Wakuu habari, laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found! TATIZO linaweza kuwa lipi na jinsi gani ya kufix Hilo TATIZO? NAOMBA KUWASILISHA
  13. Roving Journalist

    CP Awadhi afunga mafunzo ya Wakuu wa Polisi Wilaya - Moshi

    Kamishna wa Operesheni Mafunzo wa Jeahi la Polisi CP Awadhi Juma Haji Leo Novemba 8,2024 amefunga mafunzo ya siku tano kwa Wakuu wa Polisi Wilaya zote Tanzania Bara na Visiwani. Mafunzo hayo yamefanyika katika Shule ya Polisi Tanzania Moshi Mkoani Kilimanjaro. Wakati akifunga Mafunzo hayo CP...
  14. Mgosi Mbena

    Wakuu niko natoka Kigoma kwenda mwanza!! Niwekeeni story ya kutembea nasoma

    Wakuu, Iwe kuhusu vita migogoro, Visa katika utafutaji Najua kuna nyuzi humu zingine sijawai ziona
  15. matunduizi

    Suala la watu 87 kati ya 100 Tanzania kuwa tegemezi linavunja moyo sana wakuu

    Hii taarifa tangu nilipoiona, kama inaukweli basi nchi yetu ni masikini wa kutupwa. Inaonuesha uhalali wa kupigwa mizinga popote utakapopita. Inaonyesha vuguvugu la uchawa ni harakati za watu waliolemewa na utegemezi wa kifikra uliokithiri. Hali hii wenda ndio imepelekea ongezeko la ukahaba...
  16. ILAN RAMON

    IDF wadai kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa Hezbollah Abu Ali

    Taarifa iliyotolewa na jeshi hilo limesema, Abu Ali Rida, kamanda wa Hezbollah kwenye eneo la Baraachit, kusini mwa Lebanon "ameuawa" katika shambulizi la anga. Jeshi la Israel limesema Rida alikuwa akiongoza shughuli za kigaidi ikiwa ni pamoja na kupanga mashambulizi yaliyowalenga wanajeshi na...
  17. E

    Wakuu mnaofanya kazi kwa vikundi tanesco mnatoboaje kimaisha??

    Habarini wana JF hizi kazi kwa vikundi tanesco mnaopata bahati ya kufanya kazi mnajikwamua vipi..kwani mikataba ni kandamizi sana..nyie mnawezaje??
  18. I

    Msaada: Inachukua muda gani kuingiziwa pesa ya mkopo baada ya kuripoti chuoni?

    Habari wakuu, naombeni kuuliza; Hivi unapokwa umeripoti chuo inachukua muda gani hadi kupewa baadhi ya hela za mkopo, na unakuwa unapewaje? Mfano kama mimi nimepta 1,030,000 ada na chakula nimepewa 2,4000,000.
  19. Y

    Ombi la Ushauri wa Kuongeza Mtaji kwa Biashara ya Vifaa vya Simu

    Wakuu, habari za kazi? Samahani kwa usumbufu. Nina biashara ndogo ya vifaa vya simu (phone accessories), lakini ninahitaji kuongeza mtaji ili niweze kuagiza mzigo mwenyewe kutoka China na kuuza kwa jumla. Naomba msaada kwa mwenye uzoefu katika hili tafadhali. Asante.
  20. ichumu lya

    Ziwa Victoria limewahi kukauka maji yote mara tatu

    Hii ina ukweli gani wakuu? ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani. Ziwa hili ambalo lina kina cha mita 83 ni moja ya maziwa machanga katika historia ya dunia kwa maana hayana miaka...
Back
Top Bottom