Waafrika kushindwa na wakoloni na kugeuzwa wakristo na waislam inasababishwa na weak civilization? Tumsikilize former Singapore PM Lee

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,037
12,360
Kwa makini tumsikilize former Singapore PM Lee Kuan Yew akielezea kwa nini wakristo wameshindwa kuwafanya wachina na wahindi kuwa wakristo.

Na kwa nini pia wameshindwa kuifanya Singapore kuwa nchi ya wakristo.

Kufail kwetu waafrika na kuangukia kwenye mikono ya waislam na wakristo sababu inachagizwa na weak civilization au vitu vingine?
 
Lee katema madini.

China kuna kitu kinaitwa Sinicization of culture/religion imewasaidia sana kupambana na mambo yote ya nje yanayo ingia ndani na kujaribu kumeza culture foundation yao.

Ndio maana hata ukomunisti wao China ulilazimishwa ufuate matakwa na tamaduni zao wachina pale ulipo jaribu kwenda against uli fail. rejea cultural revolution ili fail kwa sababu hii hi

Ni kwamba sisi tuli fail kwenye cultural foundation ku resist against foreign cultures ?
 
Mbona nchi zote ulizo zitaja kuna wakristo na waisilamu japo kuwa wananyanyapaliwa?
 
Turn the society into a Christian society but failed hii ndio point.

Watu wawili hamsini, mia moja, elfu moja au hata million moja katika billion ni failure kama majority hawajabadilishwa hivyo lengo halijatimia.

Na hapo Lee anazungumzia kuhusu missionaries kufail katika hayo mataifa kuwafanya kuwa wakristo ikiwa pamoja na Singapore.

Nafikiri umesikiliza kwa makini kama hujafanya hivyo msikilize kwa makini
 
Hiyo singapore mbona kuna uislam ikiwa ukristo ni kidogo? Tuje afrika, ni nchi gani ina wakristo wengi walau asilimia mia moja?. Afrika kuna nchi zina idadi kubwa ya waislam kama hapo zanzibar ukiacha nchi za kiarabu zilizoko afrika, je ndio kusema uislam ulifanikiwa sana kumeza tamaduni za waafrika kuliko ukristo?
 
Afrika imegawanyika Ukristo na Uislam. Mfano Tanzania
 
Waafrika tumekuwa watumwa wa dini za kuletewa. Kutwa kuzozana dini ipi ni nzuri na ipi ya kweli.

Dini ya kweli ni utu. Ukiwa na utu, mwenye kusaidia fukara, yatima, wajane na wenye uhitaji na ukaishi maisha yako inatosha. Hata ukikutana na Mungu wa waislamu au wakristo siku ya hukumu (kama kweli ipo) unacho cha kujitetea.

Sio huu ubabaishaji wa kumkiri Yesu au Mtume kisha unaua wenzako na kushabikia mauaji ya wengine kwa jina la dini.
 
Kwa makini tumsikilize former Singapore PM Lee Kuan Yew akielezea kwa nini wakristo wameshindwa kuwafanya wachina na wahindi kuwa wakristo.

Na kwa nini pia wameshindwa kuifanya Singapore kuwa nchi ya wakristo.

View attachment 2834832

Kufail kwetu waafrika na kuangukia kwenye mikono ya waislam na wakristo sababu inachagizwa na weak civilization au vitu vingine?
Kusahihisha tu Uisilamu Wala ukristo haujaja na wakoloni. Ukristo upo hata hao Wazungu hawajaja huku, na uisilamu pia vile vile upo hata kabla waoman hawajaja Ukanda wetu.

Uliokuja na Ukoloni version nyengine ya Ukristo kama Ukatoliki, Anglikana etc.

Kuhusu uisilamu na role ya maendeleo, nimeongea sana humu, uisilamu unasaidia sana kupunguza income inequality na kuhakikisha keki ya Taifa Kila mwananchi anaifaidi. Mfano mzuri angalia tu Nchi za kiarabu na kusini mwa jangwa la Sahara, Nchi kama Angola inazalisha mafuta mengi kuliko baadhi ya Nchi za kiarabu ila ukiangalia Uchumi wa Nchi na pato la mtu mmoja mmoja vs hao waarabu utofauti ni mbingu na Ardhi.

Na hii ipo consistent Nchi zote za kiisilamu, hata ukienda Asia ya mashariki Sehemu kama Malaysia, Brunei, Indonesia Wana Uchumi stable na wamefanikiwa kiasi kikubwa kuondoa umasikini compare na wenzao kama Laos, Burma, Cambodia na Ufilipino.
 
Hizi Abrahamic religions (dini za Kikristu na Uislam) ni adui wa maendeleo kwa Waafrika na ni laana kwetu.
 
Hakuna vitu vya kijinga duniani kama hizi dini 2 uislam na ukristo
unataka kusema kabla ya ujio wa dini hizo mbili, dini za kienyeji zilizokuwepo zilikuwa sahihi au ni abrakadabra tu? Kama hujui waafrika waliendelea kuabudu dini zao za asili mpaka sasa wanaziabudu na ni double standard. Je zinawasaidia nini kama si kuendeleza mambo ya kipuuzi?
 
Waafrika tumekuwa watumwa wa dini za kuletewa. Kutwa kuzozana dini ipi ni nzuri na ipi ya kweli.

Dini ya kweli ni utu. Ukiwa na utu, mwenye kusaidia fukara, yatima, wajane na wenye uhitaji na ukaishi maisha yako inatosha. Hata ukikutana na Mungu wa waislamu au wakristo siku ya hukumu (kama kweli ipo) unacho cha kujitetea.

Sio huu ubabaishaji wa kumkiri Yesu au Mtume kisha unaua wenzako na kushabikia mauaji ya wengine kwa jina la dini.
unajumuisha nini? Hilo jiwe tupia kwa waislam, wakristo wanafundishwa upendo kwa watu wote na kuwa na amani
 
Kusahihisha tu Uisilamu Wala ukristo haujaja na wakoloni. Ukristo upo hata hao Wazungu hawajaja huku, na uisilamu pia vile vile upo hata kabla waoman hawajaja Ukanda wetu.

Uliokuja na Ukoloni version nyengine ya Ukristo kama Ukatoliki, Anglikana etc.

Kuhusu uisilamu na role ya maendeleo, nimeongea sana humu, uisilamu unasaidia sana kupunguza income inequality na kuhakikisha keki ya Taifa Kila mwananchi anaifaidi. Mfano mzuri angalia tu Nchi za kiarabu na kusini mwa jangwa la Sahara, Nchi kama Angola inazalisha mafuta mengi kuliko baadhi ya Nchi za kiarabu ila ukiangalia Uchumi wa Nchi na pato la mtu mmoja mmoja vs hao waarabu utofauti ni mbingu na Ardhi.

Na hii ipo consistent Nchi zote za kiisilamu, hata ukienda Asia ya mashariki Sehemu kama Malaysia, Brunei, Indonesia Wana Uchumi stable na wamefanikiwa kiasi kikubwa kuondoa umasikini compare na wenzao kama Laos, Burma, Cambodia na Ufilipino.
sasa hapa unaingiza siasa za dini
 
uisilamu unasaidia sana kupunguza income inequality na kuhakikisha keki ya Taifa Kila mwananchi anaifaidi. Mfano mzuri angalia tu Nchi za kiarabu na kusini mwa jangwa la Sahara, Nchi kama Angola inazalisha mafuta mengi kuliko baadhi ya Nchi za kiarabu ila ukiangalia Uchumi wa Nchi na pato la mtu mmoja mmoja vs hao waarabu utofauti ni mbingu na Ardhi.
Vipi kuhusu Sudan kusini na Somalia?
 
Hizi Abrahamic religions (dini za Kikristu na Uislam) ni adui wa maendeleo kwa Waafrika na ni laana kwetu.
ungebaki na dini yako ya asili usingeenda shule na kuwa na maendeleo yaliyoletwa na dini hizo za abrahamic, hiyo ndiyo system ya dunia lazima uikubali utake usitake
 
Kusahihisha tu Uisilamu Wala ukristo haujaja na wakoloni. Ukristo upo hata hao Wazungu hawajaja huku, na uisilamu pia vile vile upo hata kabla waoman hawajaja Ukanda wetu.

Uliokuja na Ukoloni version nyengine ya Ukristo kama Ukatoliki, Anglikana etc.

Kuhusu uisilamu na role ya maendeleo, nimeongea sana humu, uisilamu unasaidia sana kupunguza income inequality na kuhakikisha keki ya Taifa Kila mwananchi anaifaidi. Mfano mzuri angalia tu Nchi za kiarabu na kusini mwa jangwa la Sahara, Nchi kama Angola inazalisha mafuta mengi kuliko baadhi ya Nchi za kiarabu ila ukiangalia Uchumi wa Nchi na pato la mtu mmoja mmoja vs hao waarabu utofauti ni mbingu na Ardhi.

Na hii ipo consistent Nchi zote za kiisilamu, hata ukienda Asia ya mashariki Sehemu kama Malaysia, Brunei, Indonesia Wana Uchumi stable na wamefanikiwa kiasi kikubwa kuondoa umasikini compare na wenzao kama Laos, Burma, Cambodia na Ufilipino.
Hapa hauzungumziwi uchumi umesikiliza kwa makini ?
 
Hakuna vitu vya kijinga duniani kama hizi dini 2 uislam na ukristo

Hakika kabisa, mtu mwafrika kuabudu vitu vya kuja kwa majahazi na merikebu zimetuharibu waafrika.

Kwenda Jerusalem, Rome, Mecca, Karbala badala ya kwenye mahoka n mizimu yetu ya Uluguru kwa Zolelanga kumetufanya kuwa wachovu kiakili, kiuvumbuzi na kushindwa kujitegemea .
 
Waafrika tumekuwa watumwa wa dini za kuletewa. Kutwa kuzozana dini ipi ni nzuri na ipi ya kweli.

Dini ya kweli ni utu. Ukiwa na utu, mwenye kusaidia fukara, yatima, wajane na wenye uhitaji na ukaishi maisha yako inatosha. Hata ukikutana na Mungu wa waislamu au wakristo siku ya hukumu (kama kweli ipo) unacho cha kujitetea.

Sio huu ubabaishaji wa kumkiri Yesu au Mtume kisha unaua wenzako na kushabikia mauaji ya wengine kwa jina la dini.
Takbiir.
 
Back
Top Bottom