Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu.

Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo zaidi ya 100 katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria

Mashambulizi yalifanyika kwenye vijiji 20 vya wakristo usiku wa manane kwa kuzichoma nyumba huku watu wakiwa wamelala, kulipozuka tafrani waliotoka waliuawa na waliobaki ndani waliungua kwa moto

May their souls rest in peace

source: At least 160 dead and 300 wounded after attacks by armed gangs in Nigeria
 
Hawataki shere za kishetani huko, maana hizo siyo sherehe ni shere. Sherehe gani ya kidini watu wanalewa mchana kutwa usiku kucha?.

Ningekuwa nawe karibu ningekuchinja mchana kweupe mjinga sana
Wafe kwa kufakamia mipombe mseme wameuliwa na Waislam.

Si ndiyo zenu hizo? Wala sikushangai. Pambana na Alshabab huko, vipi nasikia wamechukuwa nchi wanaongoza wao. Wamarekani sasa wanaanza kukosa pesa za kuwalipa wakenya, mtajiondowa sasa hivi huko au mtakuwa kitoweo cha fisi wa Somalia.

Unajuwa idadi ya vifo Tanzania Kuanzia Tarehe 20 December mpaka Tarehe 2 January inayosababishwa na kufakamia mipombe huwa kubwa kuliko hiyo?

kaulize mochwari ya jirani yako tu, upewe figures.

Tena mwaka huu vifo vimezidi mpaka watu wameanza kujitetea eti pombe feki nyingi. Iwe au isiwe feki, pombe ni pombe tu.
 
Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu.

Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo zaidi ya 100 katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria

Mashambulizi yalifanyika kwenye vijiji 20 vya wakristo usiku wa manane kwa kuzichoma nyumba huku watu wakiwa wamelala, kulipozuka tafrani waliotoka waliuawa na waliobaki ndani waliungua kwa moto

May their souls rest in peace

source: At least 160 dead and 300 wounded after attacks by armed gangs in Nigeria
Hautakaa uone FaizaFoxy akilaani mauaji aina hii.

Seems kuna agenda inatekelezwa dhidi ya wasio waislam naninawapendezesha wenye itikadi yao
 
Back
Top Bottom