Unabii wa Tanzania mwaka 2024 Kwa Kanisa

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,126
22,622
Salaam, Shalom!!

Huu ni unabii wa Nchi yetu nzuri TANZANIA Kwa mwaka 2024.

KANISA ni mtu mmoja mmoja amwaminiye Yesu Kristo kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha Yake, KANISA pia inatafsiriwa kama kikundi Cha watu wakusanyikao kuliitia Jina la BWANA.

UNABII KWA KANISA 2024, UTAGUSA YAFUATAYO.

1. WATUMISHI WA MUNGU.

Kuanzia mwaka 2021 Mungu aliinua watumishi vijana, Wachungaji, manabii na mitume wengi sana.

Mungu alikuwa akileta maonyo na makaripio Kwa Kanisa kutubu na kurudi katika utumishi mtakatifu Ili kujiandaa Kwa KAZI yake Kwa ukubwa sana, INJILI ya ufalme ya kuwaita watu kutubu ndiyo itakayohubiriwa kuanzia mwaka 2024 na kuendelea.

Mwaka ujao 2024, watumishi hao watafanya KAZI kubwa sana, Shamba ni kubwa, wataokoka watu wengi sana, ni muda mzuri sana wa watumishi kukua kihuduma, kiu ya watu kumtafuta Kumjua Mungu itaongezeka sana, wengi wataacha dhambi na kumrudia Mungu.

Watumishi wa kweli waliodharaulika, watainuliwa tena, INJILI ya ufalme ya uamsho itakuja Kwa nguvu sana, watu wa Mungu watafunuliwa Macho na kuwafuata watumishi wa Kweli na kuwakimbia manabii wa uongo na makanisa ya uongo.

2. UDHIHRISHO WA NGUVU ZA MUNGU.

Uamsho Kwa mwaka 2024, utaendana na nguvu kubwa ya utendaji KAZI wa ROHO MTAKATIFU, Mungu atajidhihirisha Kwa nguvu na mamlaka na miujiza ya Kweli katika mwaka huo ujao.

Watumishi wa Mungu, wainjilisti, Manabii, Walimu na Wachungaji watamwagiwa upako mkubwa, watu wengi watavutwa kuja kuamini, pia wengi wenye magonjwa na shida mbalimbali wataponywa. Ni katika mwaka huo 2024 watumishi wa Kweli watainuka na kupata Heshima sababu ya mvuto wa Roho mtakatifu.

3. MIUNDOMBINU YA KANISA NA NYUMBA ZA IBADA.

Zitajengwa nyumba za Ibada kubwa kubwa sana katika makanisa mengi, nyumba zilizo ndogo zitapanuliwa sababu wimbi la watu kumrudia Mungu litakuwa kubwa sana.

4. USTAWI WA KIUCHUMI.

Watu wa Mungu watastawi, waajiriwa wapenda HAKI watainuliwa na waovu kushushwa, wapenda HAKI waliosahaulika watainuliwa, wamtegemeao Mungu watastawi katika nyanja mbalimbali. Nje ya kumtegemea Mungu ,hapatakuwa na mafanikio Bali taabu.

5. NAFASI ZA KISIASA.

Waaminifu, wapenda HAKI watapata kukubalika katika nafasi mbalimbali za utumishi, Nuru ya Yesu itaangazia pia sekta mbalimbali, Waaminifu watapata KIBALI sana katika sekta mbalimbali 2024.

6. MABADILIKO JUU YA SIKU ZA KUKUSANYIKA KWA IBADA.

KANISA la kwanza linarudi mahala pake, kuanzia 2024 na kuendelea, makusanyiko ya IBADA yatarudi Kwa wingi siku ya Saba, Jumamosi itakuwa siku kuu ya kukusanya makanisa.

Nyumba za Ibada zilizokuwa zikikusanya makanisa Siku ya kwanza ya juma yaani Jumapili kama siku kuu,watarudi kukusanyika siku kuu ya Saba ya juma yaani Jumamosi,Sabato ya BWANA.

Pia zitaanzishwa nyumba za Ibada mpya nyingi na siku kuu ya kukusanyika Kwa Ibada itakuwa siku ya Saba ya juma, jumamosi.

7. MAJANGA YA KUTENGENEZA.

Kutakuwapo na majanga ya kutengeneza katika maeneo mbalimbali duniani.

Ibilisi na Malaika walioasi, wamejipenyeza katika mataifa makubwa na kufanya magunduzi katika mifumo mbalimbali.

Tumefikia Mahali ambapo wapo viumbe katika mataifa makubwa ambao Wana uwezo wa kutengeneza Magonjwa kama Corona,Tsunami, Matetemeko, vimbunga, Tufani nk nk.

Imeandikwa, siku za mwisho, Maarifa yataongezeka, na pia hayo yameruhusiwa Kutokea sawasawa na (Mathayo 24 :3-14).

KANISA liendelee kuomba Ili majanga hayo yasitupate sisi na Mali zetu, maana majanga hayo, hayana budi Kutokea, vita ,magonjwa ya ajabu ajabu nk nk.

USALAMA ni kuingia ndani ya safina( Kumpokea na kumwamini Yesu).

Mungu awabariki.

Source: Mtume Meshack.

Amen
 
Samahani Mkuu naomba awali ya yote unijibu maswali yafuatayo:-

Wewe ni Mtume au nabii?

Kwasababu umetoa unabii halafu mwishoni cheo ni Mtume au wewe ni Mtume na Nabii?

Ilikuaje mpaka ukajiita au ukaitwa Mtume?
 
Mimi ni mtumwa mdogo tu katika ufalme wa Mungu.
 
Salaam, Shalom!!

Huu ni unabii wa Nchi yetu nzuri TANZANIA Kwa mwaka 2024.

KANISA ni mtu mmoja mmoja amwaminiye Yesu Kristo kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha Yake, KANISA pia inatafsiriwa kama kikundi Cha watu wakusanyikao kuliitia Jina la BWANA.

UNABII KWA KANISA 2024, UTAGUSA YAFUATAYO.

1. WATUMISHI WA MUNGU.

Kuanzia mwaka 2021 Mungu aliinua watumishi vijana, Wachungaji, manabii na mitume wengi sana.

Mungu alikuwa akileta maonyo na makaripio Kwa Kanisa kutubu na kurudi katika utumishi mtakatifu Ili kujiandaa Kwa KAZI yake Kwa ukubwa sana, INJILI ya ufalme ya kuwaita watu kutubu ndiyo itakayohubiriwa kuanzia mwaka 2024 na kuendelea.

Mwaka ujao 2024, watumishi hao watafanya KAZI kubwa sana, Shamba ni kubwa, wataokoka watu wengi sana, ni muda mzuri sana wa watumishi kukua kihuduma, kiu ya watu kumtafuta Kumjua Mungu itaongezeka sana, wengi wataacha dhambi na kumrudia Mungu.

Watumishi wa kweli waliodharaulika, watainuliwa tena, INJILI ya ufalme ya uamsho itakuja Kwa nguvu sana, watu wa Mungu watafunuliwa Macho na kuwafuata watumishi wa Kweli na kuwakimbia manabii wa uongo.

2. UDHIHRISHO WA NGUVU ZA MUNGU.

Uamsho Kwa mwaka 2024, utaendana na nguvu kubwa ya utendaji KAZI wa ROHO MTAKATIFU, Mungu atajidhihirisha Kwa nguvu na mamlaka na miujiza ya Kweli katika mwaka huo ujao.

Watumishi wa Mungu, wainjilisti, Manabii, Walimu na Wachungaji watamwagiwa upako mkubwa, watu wengi watavutwa kuja kuamini, pia wengi wenye magonjwa na shida mbalimbali wataponywa. Ni katika mwaka huo 2024 watumishi wa Kweli watainuka na kupata Heshima sababu ya mvuto wa Roho mtakatifu.

3. MIUNDOMBINU YA KANISA NA NYUMBA ZA IBADA.

Zitajengwa nyumba za Ibada kubwa kubwa sana katika makanisa mengi, nyumba zilizo ndogo zitapanuliwa sababu wimbi la watu kumrudia Mungu litakuwa kubwa sana.

4. USTAWI WA KIUCHUMI.

Watu wa Mungu watastawi, waajiriwa wapenda HAKI watainuliwa na waovu kushushwa, wapenda HAKI waliosahaulika watainuliwa, wamtegemeao Mungu watastawi katika nyanja mbalimbali. Nje ya kumtegemea Mungu ,hapatakuwa na mafanikio Bali taabu.

5. NAFASI ZA KISIASA.

Waaminifu, wapenda HAKI watapata kukubalika katika nafasi mbalimbali za utumishi, Nuru ya Yesu itaangazia pia sekta mbalimbali, Waaminifu watapata KIBALI sana katika sekta mbalimbali 2024.

Mungu awabariki.

Source: Mtume Meshack.

Amen
na huu ukosefu wa ajira tutaona mengi
 
Kanisa lipi unazungumzia?
KANISA ni mtu mmoja, person amwaminiye Yesu Kristo kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha yake.

Wakikusanyika watu wengi Mahali pamoja Kwa ajili ya kumwabudu Mungu, hayo ni makanisa.

Majengo Si Kanisa, ni nyumba za Ibada watumiazo watu kukusanyika.

Ubarikiwe 🙏
 
Salaam, Shalom!!

Huu ni unabii wa Nchi yetu nzuri TANZANIA Kwa mwaka 2024.

KANISA ni mtu mmoja mmoja amwaminiye Yesu Kristo kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha Yake, KANISA pia inatafsiriwa kama kikundi Cha watu wakusanyikao kuliitia Jina la BWANA.

UNABII KWA KANISA 2024, UTAGUSA YAFUATAYO.

1. WATUMISHI WA MUNGU.

Kuanzia mwaka 2021 Mungu aliinua watumishi vijana, Wachungaji, manabii na mitume wengi sana.

Mungu alikuwa akileta maonyo na makaripio Kwa Kanisa kutubu na kurudi katika utumishi mtakatifu Ili kujiandaa Kwa KAZI yake Kwa ukubwa sana, INJILI ya ufalme ya kuwaita watu kutubu ndiyo itakayohubiriwa kuanzia mwaka 2024 na kuendelea.

Mwaka ujao 2024, watumishi hao watafanya KAZI kubwa sana, Shamba ni kubwa, wataokoka watu wengi sana, ni muda mzuri sana wa watumishi kukua kihuduma, kiu ya watu kumtafuta Kumjua Mungu itaongezeka sana, wengi wataacha dhambi na kumrudia Mungu.

Watumishi wa kweli waliodharaulika, watainuliwa tena, INJILI ya ufalme ya uamsho itakuja Kwa nguvu sana, watu wa Mungu watafunuliwa Macho na kuwafuata watumishi wa Kweli na kuwakimbia manabii wa uongo.

2. UDHIHRISHO WA NGUVU ZA MUNGU.

Uamsho Kwa mwaka 2024, utaendana na nguvu kubwa ya utendaji KAZI wa ROHO MTAKATIFU, Mungu atajidhihirisha Kwa nguvu na mamlaka na miujiza ya Kweli katika mwaka huo ujao.

Watumishi wa Mungu, wainjilisti, Manabii, Walimu na Wachungaji watamwagiwa upako mkubwa, watu wengi watavutwa kuja kuamini, pia wengi wenye magonjwa na shida mbalimbali wataponywa. Ni katika mwaka huo 2024 watumishi wa Kweli watainuka na kupata Heshima sababu ya mvuto wa Roho mtakatifu.

3. MIUNDOMBINU YA KANISA NA NYUMBA ZA IBADA.

Zitajengwa nyumba za Ibada kubwa kubwa sana katika makanisa mengi, nyumba zilizo ndogo zitapanuliwa sababu wimbi la watu kumrudia Mungu litakuwa kubwa sana.

4. USTAWI WA KIUCHUMI.

Watu wa Mungu watastawi, waajiriwa wapenda HAKI watainuliwa na waovu kushushwa, wapenda HAKI waliosahaulika watainuliwa, wamtegemeao Mungu watastawi katika nyanja mbalimbali. Nje ya kumtegemea Mungu ,hapatakuwa na mafanikio Bali taabu.

5. NAFASI ZA KISIASA.

Waaminifu, wapenda HAKI watapata kukubalika katika nafasi mbalimbali za utumishi, Nuru ya Yesu itaangazia pia sekta mbalimbali, Waaminifu watapata KIBALI sana katika sekta mbalimbali 2024.

Mungu awabariki.

Source: Mtume Meshack.

Amen
Watu wengi huko nyuma kwa manabii wa kweli wa Mungu walizitaka ishara kwa yale manabii waliyoyazungumza.
Pia baadhi ya manabii waliposemeshwa na Mungu walimuomba ishara ikiwa hayo anayowatuma yatatimia.
Ni ishara ipi unayotuonyesha kuthibitisha kuwa umeongea na Mungu na wala sii kunukuu maandiko?
Walipotaka ishara kwa Yesu aliwaambia hawataona ishara ila ile ya Yona. Yona alikaa katika tumbo la samaki(kuzimu) siku tatu na kisha kurudi kwa walio hai tena.
Hivyo Yesu nae alikufa na kufufuka siku ya tatu kama thibitisho la ishara aliyowarejesha kwa Yona.
Kama watu hawakuliamini lile neno lake basi walipaswa kuamini zile ishara kwamba ni za Bwana vinginevyo hukumu watakayo ipokea kwa kutotii kwao ni ya haki na kweli.
Sitaki kwenda kwa watawala wa kisiasa maana uongozi hapa kwetu umekuwa ni wa wizi wa kura na uongozi umepewa mamlaka bila taji(stahiki).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom