wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Mume wake ni mtu wa kusafiri

    Nimekaa nikatafakari. Sisi wanaume ambao harakati zetu za kupata mkate wa kila siku zinahusisha kusafiri safiri, tunachapiwa sana wake zetu. Nimesoma nyuzi nyingi sana hapa JF vijana wakieleza ilikuwaje wakatembea na mke wa mtu, hichi kipengele cha 'mumewe ni mtu wa kusafiri sana' kimetajwa...
  2. Kwa lililompata Kimbu, Wake za watu kuanzia sasa sitaki hata salamu na ninyi

    Hata zawadi ya Mimba msije omba. Mke wa mtu si mtu. Mke wa mtu si sumu tu peke yake ni balaa. Kimbu ana hali mbaya. Mbaya sana jamaa yangu. Soma: Leo nimelia sana. Kweli Cha Mtu.... Sidhani kama nitaweza kula
  3. Heshima ifuate mkondo wake

    Wakuu Leo shemeji yenu amekula kelebu moja matata baada ya kuniletea majibu ya mkato yaliyochanganyika na mzaha wakati ambao mimi ndgu yenu nilikuwa serious. Mara moja moja kuwakumbusha hawa viumbe kujua mipaka yao si vibaya maana mazoea yakizidi sana ni hatari kwa mahusiano.
  4. TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

    Siku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena. Natoa...
  5. F

    Je kifo cha Nusura Abdalah wa UDOM chaweza kufanana na kifo Marylin Monroe na uhusiano wake na Rais wa USA JF Kennedy?

    Tarehe 04 August 1962 kilitokea kifo tata cha muigizaji Mrembo kule Marekani, Marylin Monroe. Kifo hiki kilizua utata mno ila Majasusi wa FBI walijitahidi hadi Marehemu akazikwa na ikawa mwisho wa tetesi. Hata hivyo tetesi hazikukoma. Iko hivi, Rais Kennedy na mdogo wake aliyekuwa mwanasheria...
  6. S

    Ukraine yasikitika kuwapoteza kwa mpigo wataalamu wake sita wabobezi wa vilipuzi/mabomu

    Kimbunga cha dhahama cha makombora ya Russia kilichopita Kherson kimewakumba na kuwaangamiza wataalamu sita wa jeshi la Ukraine ambao walikuwa ni magwiji na wabobezi wa kutegemewa katika fani ya vilipuzi (mabomu). Jeshi la Ukraine linasikitika kwa kuondokewa na wabobezi hao kwani pengo lao...
  7. U

    Kitendo Cha Roma Kusema Hadharani Waziri Makamba anavutia Sigara , ni kuingilia uhuru wake

    Wimbo wa Roma ni Mzuri, na umeongea mambo yenye ukweli, ila mambo mengine ameyasema hakupaswa kuyasema. Katika wimbo wake amesema January kugongeana Sigara, sawa sote tunajua January ni Chain Smoker, lakini hajawahi kuvuta Sigara katika hadhara yoyote Wala kumbugudhi mtu, kitendo Cha Roma...
  8. Tanzania imefanya raia wake kuwa watumwa

    ,,,,,,,,,,,
  9. Hivi hii Afrika imelaaniwa au watu wake ndiyo wamelaaniwa?

    JE KUDHIBITI UANZISHAJI HOLELA WA TAASISI ZA KIDINI NI SAWA AU NI KUINGILIA UHURU WA KUABUDU? Tatizo la matumizi maovu ya imani na vitabu vyake hivi sasa lingekuwa gumzo duniani baada ya matukio yanayohusu "manabii" watatu nchini Kenya. Ulimwengu unajiuliza inawezekana vipi watu wafunge kwa nia...
  10. L

    China kurejesha raia wake kutoka Sudan kwathibitisha tena nia ya China ya kulinda raia wake vizuri

    Ndege ya kukodi ya China iliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing jumanne tarehe 2, ikibeba abiria zaidi ya 140 wa China waliorejea kutoka nchini Sudan. Kabla ya hapo, manowari za China zilizokuwa zikifanya kazi ya ulinzi katika Ghuba ya Aden zilikwenda Sudan na kuwachukua karibu...
  11. L

    Nafikiria adhabu za jela miaka 30 zipunguwe muda wake

    Mtu anafungwa jela miaka 30, sisi tunakatwa Kodi zetu kulisha watu wa namna hii Kwa muda wa miaka 30? Sitetei uhalifu ila inabidi tutafute namna nyingine, wastani wa mtu anayefungwa hiyo miaka 30 wa kuishi ni miaka walau 55 na anaelekea huko akiwa na miaka 25 Sasa hii Ina maana Gani? Ni lini...
  12. Viongozi wa Tanzania wake zao wanaenda kuzalia Marekani

    Msiojua kingereza mnisamehe Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports...
  13. UGANDA: Waziri wa Kazi apigwa Risasi na Mlinzi wake

    Waziri wa Nchi, Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya Mei 2, 2023 na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake Kyanja, Kampala Mlinzi huyo baadaye alifyatua risasi kadhaa hewani kabla ya kujiua Sababu ya mauaji hayo bado...
  14. B

    Mara: Bibi na wajukuu wake wasombwa na mafuriko

    Bibi Ghati Amon Mwita (63), Johnson Denis (10), na Vailet Denis (03) wakazi wa Mji wa Tarime wamepoteza maisha baada ya nyumba waliokuwa wanaishi kando ya Mto Wainani kusombwa na maji usiku wa kuamkia leo. Katika tukio hilo, watu wawili walinusurika kwa kujishikilia kwenye miti.
  15. Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

    Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu (tena Wengine nawajua kabisa) wakiwa Wanabanduliwa / Wanalalwa na Wajuba. Nilichokiona leo na ambacho...
  16. M

    Hit song ya Pcee- Kilimanjaro, Je wizara ya Utalii imeona mchango wake?

    Nimeshangazwa sana na Hit song ya PCee-Kilimanjaro inavyo pendwa na kuchezwa kwenye social media. Kiukweli jamaa anastahili pongezi kwa kuitangaza Kilimanjaro ambapo wasanii wetu wa ndani wameshindwa kuwa wabunifu kama jamaa. Kiukweli Pcee apewe credits zake, Kilimanjaro imepewa promo kubwa na...
  17. Jinsi binti niliekutana nae kwa miezi mitatu alivyotaka kunibambikizia mimba ya miezi 4, Teknolojia ilimuumbua kwa uhuni wake wa kienyeji.

    Habari zenu wana JF, Nikiwa nimejawa maumivu na majonzi ya kisa hivi naandika kwa lengo la kuelimisha tu lakini kiukweli hata navyoandika sasa sina raha kabisa nikikumbuka usaliti huu. Kipindi hicho kwa muda wa takribani miezi mitatu nilikuwa single, Nikaja kuukwaa kwa binti flani age 26 mimi...
  18. K

    Ugomvi wa Jirani na Mke/Mchepuko wake, Ulivyonigombanisha na Mke wangu

    Wakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi. Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju. Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie. Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati...
  19. Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

    Au nasema uongo? Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka...
  20. Inakuwaje serikali inakosa mishahara ya wafanyakazi wake mfano Kenya?

    Habari wana uchumi wa JF! Kama somo linavyosema hapo juu.. Kwa mara ya kwanza tangu Kenya ijinyakulie Uhuru 1963 , serikali imeshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa umma na wabunge. Kufikia sasa wafanyakazi wa umma hawajui ni lini watalipwa mishahara yao hali ambayo ilianza mwezi Disemba na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…