Nilivyojikuta kwenye penzi la mwanamke mwenye mshikaji wake bila kujua

Prince kelly

Member
Aug 29, 2017
40
41
Hellow wanajf muwazima, Kwanza samahani sina uandishi mzuri ila twende kazi tutaelewana.

Kabla sijakutana na huyu mwanamke nilikuwa na mpenzi wangu tuliekuwa tuna mahusiano ya kama miezi mitano so tunapendana tu pasi na shida. Changamoto. Ilianzia pale nilipohama kituo cha kazi nakuahamia kampuni nyingine ndipo apo nikaja kukutana na mwanamke mwingine katika hiyo kampuni mpyaa ni kweli mwanamke alikuwa mashalaa kaumbika mtoto shape ipo kama yote so katika hapa na pale tukawa marafk tu wakawaida so mimi sikuwa nimemtilia maanani nilikuwa namchukulia kama rafk tu maana alikuwa ni mwanmke mzuri ambaye nilikuwa najua siwezi nikawa nae katika mahusiano maana niliona sio type angu ni ya watu wa kubwaa na apo kazn waliokuwa wanamfuatilia ni wengi

So the girl tukawa marafiki tu wakawaida tunasaidiana kazi kumbe mtoto alishanielewa so kuna day akanifuata akaniambia kuna kitu anatka kuniambia ila anashindwaa kuanzia ata niambiaje me nikamuambia niambie tu be free kunieleza for that day alishindwa kunielezea kipi kina msibu motoni nikawa najiambia ata kuwa anataka kuniambia ananitaka au vipi so ikapita kama one day mtoto akajaniambia ananipenda ananitaka tuwe kwenye mahusiano for real sikuamini nilikuwa nazani ni utani na jinsi alivokuwa kaumbika nikasema how come mtoto mzuri aje afie kwa muhuni ambaye ana mbele wala nyuma na huku maboss wanamfukuzia.

Dah kusema kweli nilimkubalia nikamuambia nipo tayari kuwa nawe but nikamuambia nipo kwa mahusiano lakn akaniambia usijal me nakupenda am ready kuwa nawe nipe chance so lengo langu lilikuwa nikukula tu nakupita maana nilikuwa na mpenzi wangu so sikuwa nipo tayari nimuwchee so nilikiwa sitaki kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye tunafanya kazi sehemu moja nikiona ntashindwa kufanya kazi na ivo alivo mzuri ntakuwa na wivu juu yake.

So nikampanga siku aje gheto kweli akaja nikawa naona ndoto asee akaja ghetoo mtoto kwa bed fundi balaa asee mtoto ndo akazidi nichanganya nilikuwa na lengo la kula nakusepa nikajikuta namganda asee.
Ukweli nikajikuta nimekamatika na penzi lake nilikuwa sina mpango nae nikajikuta naanza kumpenda na kufikia ata kupunguza upendo kwa mpenzi wangu so tukaendelea akaja gheto mara ya pili tena ndo akanimaliza kabisaa lengo lakupita ndo likapotea nikajikuta nampendaa zaidi ja zaidi.

So kuna siku akajaniambia eti mdaa wote huo tunadate kumbe alikuwa ana jamaa ake anakaa nae gheto kabisa namimi akuniambia so sasa ananimbia yeye ndo atakuwa ananitafuta nisimtafute eti anadai ampendi uyo jamaa ake ananipenda mimi alikuwa namimi kwasababu alimfumania uyo jamaa ake na mwanamke mwingine so nikajikuta nimeingia kwenye mtego wakupenda mwanamke wa watu ndo akawa anadai toka jamaa ake aonee chat zangu na zake kamuomba msamaha so amemsamehe ila anadai ampendi tena ila kumuachaa jamaa ake ndo anadai awezi ukiangalia mimi sasa nishamuelewa mtoto mpaka najuta kwanini nilianzisha mahusiano nae nikisema nimkatie najikuta nashidwaa maana naonana nae kazn na tukiwa job anajifnaya ananipenda akienda home atuwasiliani mpaka najiona nimekuwa mtumwaa mpaka nashindwaa nafanyaje nina mpenzi ila sahv simpendi tena toka nikutane na huyu mwanamke wa watu
 
Acha ndugu yani sahv pisi inanitafuta kwa mnato mimi ndo namuangaikia kumtafuta saa nyingine nakula block 😀 akija job ndo twazungumza sasa jamaa ake anamfuata mpaka kazn sahv aondoke nae
 
Malizia story sio unatupa vipande umeishia wapi sasa hivi anakupa tena papa au ndio ushakula za uso?
✍️
 
Papa kula tuna kwa mnato mpaka animbie apate nafas day akiwa off amdanganyee msela ake ndo aje yani pisi sahv nimekuwa sina uhuru nayo nkuwa naibia mpaka naona biashara zakijingaa nikisema nimpige chini nashindwaa nikija job namkuta ananipa mahaba kazn ila akitoka akiendaa home ana habari namimi nakula block na msela nishamuelewa mtoto mashalaa
 
So....... so ...... so ....so ...so

Aloo so so kibao.
Ila kwakua uliomba tukuzingatie basi sawa.

Bwanamdogo hamna upendo hapo, wewe ulionekana cheap na huwezi mkataa dem ndio maana akaja kwako na mahesabu yake yalitiki, hukuchomoa ukamtuliza hasira zake.

Wewe ni mchepuko, ninaposhangaa ni wewe kuumia, unaumiaje sasa na unajua fika dem ana mtu wake na wewe ni mbususu tu?
Mkeo mtarajiwa yupo mbali, kipozeo cha bure kimejileta kwa masharti machache tu wewe unaleta hisia.

Fanya hivi kijana kwakua yeye anaiba fanya na wewe uonekane unaiba. Nyote muwe wezi yeye awe mchepuko na wakati huohuo na wewe ni mchepuko.
Ila hivyo unavyojifanya unampenda na una malengo nae, basi nikutahadharishe kua huna muda mrefu kwenye hiyo ofisi.
 
Hellow wanajf muwazima, Kwanza samahani sina uandishi mzuri ila twende kazi tutaelewana.

Kabla sijakutana na huyu mwanamke nilikuwa na mpenzi wangu tuliekuwa tuna mahusiano ya kama miezi mitano so tunapendana tu pasi na shida. Changamoto. Ilianzia pale nilipohama kituo cha kazi nakuahamia kampuni nyingine ndipo apo nikaja kukutana na mwanamke mwingine katika hiyo kampuni mpyaa ni kweli mwanamke alikuwa mashalaa kaumbika mtoto shape ipo kama yote so katika hapa na pale tukawa marafk tu wakawaida so mimi sikuwa nimemtilia maanani nilikuwa namchukulia kama rafk tu maana alikuwa ni mwanmke mzuri ambaye nilikuwa najua siwezi nikawa nae katika mahusiano maana niliona sio type angu ni ya watu wa kubwaa na apo kazn waliokuwa wanamfuatilia ni wengi

So the girl tukawa marafiki tu wakawaida tunasaidiana kazi kumbe mtoto alishanielewa so kuna day akanifuata akaniambia kuna kitu anatka kuniambia ila anashindwaa kuanzia ata niambiaje me nikamuambia niambie tu be free kunieleza for that day alishindwa kunielezea kipi kina msibu motoni nikawa najiambia ata kuwa anataka kuniambia ananitaka au vipi so ikapita kama one day mtoto akajaniambia ananipenda ananitaka tuwe kwenye mahusiano for real sikuamini nilikuwa nazani ni utani na jinsi alivokuwa kaumbika nikasema how come mtoto mzuri aje afie kwa muhuni ambaye ana mbele wala nyuma na huku maboss wanamfukuzia.

Dah kusema kweli nilimkubalia nikamuambia nipo tayari kuwa nawe but nikamuambia nipo kwa mahusiano lakn akaniambia usijal me nakupenda am ready kuwa nawe nipe chance so lengo langu lilikuwa nikukula tu nakupita maana nilikuwa na mpenzi wangu so sikuwa nipo tayari nimuwchee so nilikiwa sitaki kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye tunafanya kazi sehemu moja nikiona ntashindwa kufanya kazi na ivo alivo mzuri ntakuwa na wivu juu yake.

So nikampanga siku aje gheto kweli akaja nikawa naona ndoto asee akaja ghetoo mtoto kwa bed fundi balaa asee mtoto ndo akazidi nichanganya nilikuwa na lengo la kula nakusepa nikajikuta namganda asee.
Ukweli nikajikuta nimekamatika na penzi lake nilikuwa sina mpango nae nikajikuta naanza kumpenda na kufikia ata kupunguza upendo kwa mpenzi wangu so tukaendelea akaja gheto mara ya pili tena ndo akanimaliza kabisaa lengo lakupita ndo likapotea nikajikuta nampendaa zaidi ja zaidi.

So kuna siku akajaniambia eti mdaa wote huo tunadate kumbe alikuwa ana jamaa ake anakaa nae gheto kabisa namimi akuniambia so sasa ananimbia yeye ndo atakuwa ananitafuta nisimtafute eti anadai ampendi uyo jamaa ake ananipenda mimi alikuwa namimi kwasababu alimfumania uyo jamaa ake na mwanamke mwingine so nikajikuta nimeingia kwenye mtego wakupenda mwanamke wa watu ndo akawa anadai toka jamaa ake aonee chat zangu na zake kamuomba msamaha so amemsamehe ila anadai ampendi tena ila kumuachaa jamaa ake ndo anadai awezi ukiangalia mimi sasa nishamuelewa mtoto mpaka najuta kwanini nilianzisha mahusiano nae nikisema nimkatie najikuta nashidwaa maana naonana nae kazn na tukiwa job anajifnaya ananipenda akienda home atuwasiliani mpaka najiona nimekuwa mtumwaa mpaka nashindwaa nafanyaje nina mpenzi ila sahv simpendi tena toka nikutane na huyu mwanamke wa watu

Ushajitoa kafara na kutolewa kafara wewe
Sasa wewe ni kafara yenye uhai
 
Danga hilo litakuwa linacheza vikoba au kodi ya nyumba inaribia kuisha.😁😁
 
Kama umesoma mpaka mwisho, basi elewa ya kuwa ama wewe pia ni mtoto kama mtoa mada, ama akili yako ni finyu.
 
Wewe ni limbukeni wa mapenzi kijana. Acha kuhangaika na huyo mwanamke, punguza kuwasiliana nae hata unapokuwa kazini.

Mtafutie sababu za kumwacha, na anza taratibu kupunguza mawasiliano ili umtoe moyoni, laa sivyo atakutesa sana. Mwenzio anakutumia kama kiburudisho chake.
 
Back
Top Bottom