Naulizia ubora wa printers epson 3010 na 3050 kwenye matumizi ya wino na uimara wake pamoja na bei

Uimara L3050 ni jiwe haswa. Kwa matumizi ya wino zote almost ni sawa tu.
 
Back
Top Bottom