wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
  2. Dalton elijah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwanda yaikosoa Marekani kuhusu vikwazo dhidi ya maafisa wake wa kijeshi

    Rwanda imekosoa vikwazo vilivyowekwa na Marekani, ikiviita hatua hizo kuwa zisizo za haki na zenye upande mmoja huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kuhusu mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Vikwazo hivyo vinalenga Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) na maafisa wakuu wa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Natumai Tanzania imejifunza kwa Iran, hakuna serikali iliyo na haki ya kuua wananchi wake

    Hata kama ni Sovereignty state. Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza. Serikali ya Tanzania imeonywa...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuilipua Al Kaaba Endapo Saudi Arabia Itaendelea na Msimamo wake

    Kumekucha naona Iran wametishia kulipua makazi ya Allah endapo Saudi Arabia itafanya shambulizi lolote dhidi yake. Sijui Allah atapona na kama akipona sijui atahamia wapi, au iran watajenga Al Kaaba nyingine kwao?
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Qatar itaishambulia Iran kulinda Usalama wake.

    TAARIFA MPYA: Qatar imesema inahifadhi haki ya kujibu shambulio la Iran.
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dubai: Falme za Kiarabu (UAE) kuishambulia Iran ili kulinda usalama wake

    TAARIFA MPYA: UAE imesema mabaki ya kombora la Iran yaliyoanguka yameangukia maeneo ya makazi jijini Abu Dhabi, na kwamba shambulio hilo limekiuka mamlaka yake ya kikatiba; UAE imehifadhi haki ya kujibu.
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania MchezajÁngel Martín aweka picha ya mpenzi wake kifuani

    Katika ishara ya upendo pamoja na hisia kali ambayo imegusa mamilioni ya watu, mchezaji kandanda wa Uhispania Ángel Martín alivua tisheti yake na kuonesha tattoo ya kushangaza. Tatoo yenye uhalisia wa hali ya juu kifuani mwake akimheshimu marehemu mpenzi wake. Mchoro huo umebeba ujumbe mkubwa...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kila dikteta huwa na mtu wake anaetekeleza mipango ya kimafia

    Hakuna jipya chini ya jua. Tangu enzi na enzi, kila dikteta lazma awe na mtu wa kutekeleza mipango ya kimafia au unyama. Mara nyingi watu hawa huwa hawawajibishwi na mamlaka zozote za kiserikali bali tu kwa wale wanaowatuma. Idd Amin alikuwa na Brigedia Jenerali Isaac Malyamungu. Huyu alikuwa...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nasikia alitokea kupendezwa na urembo wa mkamwana wake aitwaye zainab na akamshawishi amtariki mwanae ili amuoe.

    hamis77 Castle_Lite tupeni mwanga zaidi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi, enzi za uhai wake Kadinali Pengo alieleza mwenye wajibu wa kumzika angependa azikwe Pugu

    Wakati w auhai wake Kadinali Polycap Pengo alieza kuwa anatamani azikwe Pugu, mana ndiyo maeneo aliyokuwa akipenda kwenda kupumzika
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inatumia mifano hovyo inawadanganya wafuasi wake kuwa Samia atahukumiwa ICC ,hii mifano ya kuondoa ujinga huo

    Hawa ndio viongozi wa Afrika waliowahi kushtakiwa na International Criminal court bila la maana kutokea au kutokamatwa kabisa 🇰🇪 Kenya (Kesi za 2007–2008 Post-Election Violence) 1️⃣ William Ruto Wakati huo alikuwa Waziri; sasa ni Rais wa Kenya. Alishtakiwa ICC mwaka 2011. Kesi ilifutwa 2016 kwa...
  12. 100 others

    JamiiForums Tanzania King Mirambo na Askari wake waliojulikana kama Rugaruga

    King Mirambo alikuwa mtawala mashuhuri wa kabila la Wanyamwezi katika karne ya 19 huko eneo la Unyamwezi (magharibi mwa Tanzania ya leo). Katika Afrika Mashariki na kati yote hakuna Chief ambaye aliongeza maeneo yake ya utawala kwa nguvu za kijeshi na silaha kama King Mirambo. Jeshi lake la...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Aliyemtoa kafara mke wake ili apate ubunge ni nani?

    Jana nilikuwa namsikiliza Mamba Dudu Baya akiwachana waliokuwa mabeberu wa mziki wa Bongo Fleva. Alitaja orodha lakini akasema kuna mmoja alimtoa mpaka mkewe kafara ili apate ubunge. Ni nani huyu wakuu
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nikimwona mtu mitandaoni au mahali popote anamtukuza Magufuli najua tu kichwani hamnazo au alikuwa mnufaika kwenye utawala wake

    Bahati mbaya kwakuwa sasa maendeleo aliyoyafanya Samia yako wazi kabisa wanaomtukuza Magufuli wanaishia tu kusema angekuwa hai mpaka sasa tungekuwa mbali sana. Ahahaha 😂 😂 😂 😂 Huu ni uwendawazimu kabisa. Ukimchallenge kidogo tu anaweza kukupiga kirungu kichwani. Jamaa mmoja kutoka Kanda ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hotuba hii! Je, ndiyo tuseme mwisho wake umekaribia?

    Kwa kauli yake mwenyewe ya kumtoa ofisa wake wa karibu kabisa na kuamua kumfanya awe Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawinga na Machinga kwa kigezo Kwamba anamuandaa mapema na kumpa Maisha mapema kwa sababu atayechukua nafasi yake baada ya yaye atakuja na wa kwake. Je, kwa kauli hii tutegemee Nini sisi...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyetumia router ya halotel aje atupe mrejesho kuhusu ufanisi wake

    Hivi karibuni Halotel waliansa kuuza rouer zao za 5g. Naamini humu ndani naamini kuna mtu au watu watakuwa washaitumia. Tunaomba mtupe mrejesho kuhusu ufanisi wake Ahsante
  17. Echolima1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China yazuia watu wake kuwekeza Israel

    HABARI KUBWA! China imezuia uwekezaji mpya nchini Israeli kimya kimya. Hatuhitaji uwekezaji wa Kichina nchini mwetu!!!. Israeli ni taifa lenye nguvu duniani katika teknolojia, matibabu, na usalama. Huu ni mwaliko wa uwekezaji zaidi kutoka nchi zenye nia moja. China si mshirika. Taiwan ndiye...
  18. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Algeria kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)

    Algeria imeanza mchakato wa kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambayo yalisainiwa mwaka 2013. Uamuzi huu unaweza kuathiri sekta za kiuchumi kama usafiri wa anga, utalii, na usafirishaji wa mizigo kati ya mataifa hayo mawili. Mvutano katika uhusiano wa...
  19. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hii Haina tofauti na mzazi anamtoa mtoto wake kijijini aje kufanyia kazi za ndani mjini

  20. M

    JamiiForums Tanzania Gari unazoweza kukuta ni namba E alafu mmiliki wake anatafuta mteja hata kwa bei chee na bado watu wanaikimbia

    BRAVIS NISSAN DUALIS NISSAN XTRAIL
Back
Top Bottom