A
Anonymous
Guest
Kuna kikundi kinaitwa KIMAUCHA kinafanya kazi za umeme chini ya TANESCO Wilaya ya Chanika, Dar es Salaam, watu wanaohusika hasa viongozi wa kikundi hicho wamekuwa na tabia ya kudhulumu hela, ukijidai mdomo kuuliza unafukuzwa kazi.
Jambo lingine linalokera hapo ni kuwa malipo yanachelewa sana kwa wafanyakazi, ukiuliza wanasema hela bado hazijalipwa kutoka makao makuu wakati tukifuatilia tunabaini ni uongo.
Kuna wakati tunapata tetesi kuwa Makao Makuu wamelipa Milioni 32 lakini huku sisi tunaambiwa kiasi kilicholipwa ni Shilingi milioni 25, wanasema nyingine ni pesa za viongozi.
Hali hiyo inatuathiri sana sisi tunaofanya kazi za miradi na service line lakini tunazulumiwa.
TANESCO makao makuu wao hawana tabu wanalipa vizuri tatizo ni huku kwetu, viongozi wetu wanatupiga sana.