wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chid Benz msimamo wake kwa Katambi umeleta gumzo. Jamaa hajaonesha unyonge

    Hii picha imeleta gumzo sana huko Tanzania jinsi ambavyo Chid Benz amesimama kishujaa kabisa mbele ya Bw. Katambi bila kuonesha unyonge hata kidogo. Hii picha imekuwa gumzo kwa watu wengi sana Wengine wamesema ameonesha kumdharau aliyemwita au ameonesha kutojali pengine baada ya kuona ameitiwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Samia akubali "kuna uhaba wa fedha" sababu kubwa ni ubinafsi wake

    https://youtube.com/shorts/EeJ0AHAKwSU?si=PQTa1IHifdwM32E4 Uchaguzi wa wizi umefanya misaada mingi na wawekezaji kutoka nchi zinazojali demokrasia umepungua au kukatwa kabisa. Sasa analaumu wengine kwa ubinafsi wake wa utekaji, wizi wa kura, undungu, uzanzibari, ufisadi, unyanyasaji wa vyama...
  3. JamiiForums Tanzania Uimara wa CCM Afrika unatokana na mchanganyiko wake.

    CCM ni kati ya vyama vikongwe na imara sana Afrika chenye uwezo wa kuongoza miaka 50 mingine bila kutetereka. Kinaweza kuhimili changamoto ndogo na kubwa za ndani na nje ya chama bila kupiga chafya nyingi. Uimara wa CCM unatokana na usawa katika mchanganyiko wake wa wanachama na viongozi ambao...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri - 2, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026 Leo September...
  5. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wake zetu wanataka tuwe kwao vile ambavyo hawataki watoto wao wakiume wawe kwa wake zao- Sodoku Myebusi

    Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege. Afanye kila kitu ambacho mwanamke huyo atataka. Mali zote ziandikishwe jina lake mwanamke. Mume awahi kurudi nyumbani, akiweza...
  6. JamiiForums Tanzania Mungu nyuma ya wataule wake (chosen one)

    Nilieleza jinsi ambavyo shetani ni roho hutafuta watendea kazi wenye mwili. Kumuangamiza mtu kirahisi humtumia ndugu wa nyumbani mwake. Na Mungu ni hivo hivo, huwalinda na kuwatumia wateule wake (chosen one) kufanya kusudi lake. Ukifanya yako na kumkataa Mungu yeye Mungu hana shida na wewe...
  7. JamiiForums Tanzania Iganzo sekondari wamegoma kupokea maagizo ya wizara ya elimu, waendeleza unyanyasaji kwa mwanafunzi na mzazi wake

    Ijumaa ya tarehe 28 Agosti, nilichapisha hapa jukwaani habari ya walimu wa shule ya sekondari IGANZO iliyopo mkoa wa Mbeya kujaribu kusitisha masomo ya mdogo wetu bila kufuata utaratibu rasmi. UZI: MAMA ALAZIMISHWA KUSAINI BARUA YA MTOTO WAKE KUACHA SHULE Jumatatu tulifanikiwa kuwapigia simu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho

    KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatatu Agosti 31.2026, kama ilivyo kawaida mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo kwenye Mahakama Kuu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Sehemu Pekee Akishikwa Anajihisi Ulimwengu ni wake Mwenyewe!

    Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- 40 na kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa ! Vijana mnaoishi kingono na wanawake, na wanawake mliowekwa kimada fanyeni mpango mfunge ndoa, si...
  10. M

    JamiiForums Tanzania AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako. Claude imetangaza maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika au kuboresha

    AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako-Claude imetangaza kwamba maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika kila kitu au ilisaidia tu kuboresha maandishi.-Je, hii ni hatua nzuri ya kudhibiti matumizi ya AI au itawafanya watu waogope kuitumia?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (Case No. 26 CIV 06555) - undani wake

    Kesi ya madai ya umma iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu ya San Mateo, California (Case No. 26 CIV 06555) na Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (imeambatanishwa kama attachment) imeweka msingi mpya wa kisheria katika utetezi wa haki za kidigitali. Shauri hili halilengi kudai fidia ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huu ndio uraia wake na dini yake

    Anasema, Ni mzanzibari na wala si Mtanganyika wa Dodoma, and therefore si Mgogo according to this information from this chap! With this information if true, ana sifa za kuwa na nafasi aliyopewa
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Mwinyi kuwa Rais 2030, Makamu wake ataendelea kuwa Deo Ndejembi

    Rais 2030 ni Dr Mwinyi, Makamu wake ni Ndejembi
  14. JamiiForums Tanzania Mzee wa Msoga, Kama hayupo vile, ila ndo anasukuma Kete yake 'Mwishoooni atuwekee Mtu wake et aje kama Mpatanishi/Mfariji".

    Wakuu mnakumbuka Siku za mwishoni kuelekea KIFO chake, Magufuli alitindiganya mambo sanaaa akaharibu kwelikweli Picha ileile , Inarudi kwa Mzanzibar , Mzanzibar katindiganya mambo sanaaa + Uislam + umbumbumbu basi daaah kayatiganya haswaa. Jambo Moja la uhakika 100%, Mungu kanionesha Usiku...
  15. JamiiForums Tanzania Mizaha ya kukera ya Mh. Tundu Lissu, inafanya watesi Wake wamchukie Zaidi!

    Haiba ya Ucheshi na Uzungumzaji ya ndugu yetu Mh.Tundu Lissu inafanya watu wanaoitaka apotee, wazidi kufula kama Vifutu. Namsihi apunguze Mizaha kwa neema za Mungu. Vinginevyo anafanya mioyo yao izidi kuchefukwa na kubuni kila njia ya kumwangamiza! Pia inawafanya waonyeshe unyama wao...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu atamuongeza Nchimbi ktk mashahidi wake?

    ..Mama hawezi kuitwa kutoa ushahidi. ..lakini Mpango, na Nchimbi, hawawezi kukwepa samans kwenda mahakamani. ..habari ya mjini ndiyo hiyo.
  17. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Narudia tena, Kuna Rais Afrika Mashariki atajiudhuru na sio Makamu wake.

  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake afika Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinavyoweza kunufaisha Tanzania na Uganda

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
  19. JamiiForums Tanzania Ni unyama, ndivyo unavyoweza kusema baada ya House Girl, mtoto wake kukatwakatwa kwa mapanga na House Boy kisa mapenzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka kijana mmoja aliyetajwa kwa jina la Emmanuel Elisante Mariki, mkazi wa kijiji cha Lyasongoro, kata ya Marangu, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kujeruhi watu wawili . Tukio hilo limetokea usiku wa saa kumi na nusu alfajiri ya Agosti 24 katika kijiji...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: Nimesikia Mbowe yuko kwenye uzinduzi wa bwawa, wakati Mwenyekiti wake yuko Ukonga

    Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu inaendelea Jumatatu Agosti 24 ambapo mshtakiwa anajitetea mbele ya mahakama. Lissu: Ukiangalia miaka kabla ya 2020 tume imekuwa ikifanya hivyo. Lakini 2020 kuna matokeo ya urais hayakuchapishwa. Sina uhakika kama ya mwaka jana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…