Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 556
- 1,039
Hii ni sauti inadaiwa kuwa ya Ahmed Shabiby, mbunge wa Gairo , alipigiwa simu na Mwananchi kuhusu maendeleo lakini yeye akamtukana na anasikika akiagiza watu aliokuwa nao kwamba huyo mwananchi akamatwe a***** porini. Huyo mwananchi anaishi kwa mashaka sana kwa sasa
Huyu huwa anajifanya kukosoa mambo ya serikali haramu kimkakati lakini nyuma ya pazia ndio mfadhili mkubwa wa magenge ya waharifu.
Huyu huwa anajifanya kukosoa mambo ya serikali haramu kimkakati lakini nyuma ya pazia ndio mfadhili mkubwa wa magenge ya waharifu.