wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Single mama alivyotaka kukatisha uhai wake kwasababu yangu

    off
  2. JamiiForums Tanzania Wakati mkataba wa Yanga ukimalizika, Bakari Mwamnyeto asaini mkataba wa Tsh milioni 190

    Wakati msimu wa 2021/22 ukielekea ukingoni taarifa za ndani kutoka Yanga zinaeleza kuwa beki kisiki wa timu hiyo, Bakari Mwamnyeto ambaye alikuwa akitajwa kuwaniwa na vigogo kadhaa amesaini dili jipya. Taarifa zinaeleza kuwa Mwamnyeto amesaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Tsh...
  3. JamiiForums Tanzania Nampongeza Robert Hariel kwa uandishi wake wakini hapa JF

    Nitoe pongezi kwa ROBERT HERIEL nimekua msomaji wa maandiko yake mengi humu JF na nikiri wazi kua kijana huyu (naamini ni mwanaume kutokana na hulka na uandishi wake) analenga taswira chanya katika kila andiko lake. Hana tabia ya kupindisha ukweli ili kupeti peti wanajukwaa, jamaa atasema...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa akili ya kawaida, itawezekana nchi za Ulaya Magharibu na Marekani kuiruhusu Russia kuikalia Ukraine au kuweka kibaraka wake?

    Nitakuwa wa mwishi kuamini hili litatokea kwa usalama wa nchi za NATO na Marekani maana kufanya hivyo, ni kuweka usalama wa nchi hizo rehani jambo ambalo kamwe hawatalikubali na ndio maana wanalazimika kumsaidia Ukraine wazi wazi hivi sasa. Hii vita inaweza kuchukua muda mrefu kinyume na...
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanamke anayekosa mume wa kumuoa, Ila wapo wanaume wanaokosa wake wa kuwaoa!

    HAKUNA MWANAMKE ANAYEKOSA MUME WA KUOLEWA NAYE. Anaandika, Robert Heriel Kuna uvumi unaoendelea katika jamii zetu za kiafrika kuwa mwanamke akifika umri Fulani anakuwa katika Mazingira magumu ya kuolewa Jambo ambalo sio kweli. Mwanamke anaweza kuolewa katika umri wowote hata akiwa kabibi, Ila...
  6. JamiiForums Tanzania Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

    Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
  7. JamiiForums Tanzania Uandaaji wa filamu ya Royal Tour tumepigwa lakini uzinduzi wake tunapigwa zaidi!

    Sijui viongozi wetu wanawaza nini lakini kwa kifupi ama wamepotoka au wanapotoshwa. Filamu ya aina ya Royal Tour si ya kwanza kuandaliwa duniani, ndugu zetu wa Rwanda walikwisha iandaa na imekwisha tazamwa sana. Sasa sijui kama viongozi wetu walikwisha fanya research ndogo tu kuona...
  8. JamiiForums Tanzania Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

    Scenario Naomba ni declare interest "Mimi ni mkristo Tena Mlutheri". Hivi lipokuja swala la kuwaaminisha hawa wasio amini Mungu yupo "Kwanini sisi Tunaoamini Mungu yupo TUSIWE NA SAUTI MOJA?" Flash back Nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi tu juu ya wasio amini Mungu yupo wakitoa madini yao. Lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiona kiongozi yeyote wa Afrika aliye karibu na Mabeberu tambua kuwa huyo yupo tayari kuwasaliti watu wake kama alivyofanya Mobutu Sese Seko

    Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC. Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake. Afrika ina bahati mbaya sana. Kila...
  10. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipigania maslahi ya taifa lake na wananchi wake. Mama Samia anapigania maslahi ya wanaCCM wajanja na mabeberu

    Nini kinaendelea hapa? Ni madili makubwa kwa ajili ya wanaCCM wajanja na wapigaji. Kwani haya makubaliano binafsi ya Rostam Azizi na wafanyabiashara wa Usa mpaka rais wa JMT awepo? Kuna kitu hapa ambacho hayati JPM asingekubali kifanyike.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

    Ummy Msika (45)mkazi wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro ameiomba mamlaka za kiuchunguzi kumsaidia kuchunguza na kumkamata rafiki yake aitwaye Mama Bahati kwa madai kuwa alimpatia maji ya baraka yaliyopelekea kumuathiri sehemu zake za siri. https://t.co/kX1YFZDpZ2
  12. JamiiForums Tanzania Mama Salma Kikwete, kutaka wake wa viongozi wakuu wapewe pension ni kumkufuru Mungu!

    Kwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi. Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension! Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tulimtahadharisha Mwendazake akiwa hai hatukusikia yeye na wafuasi wake, hivyo leo wavumilie anaposemwa

    Tuliandika humu tukabezwa, kukejeliwa na kupuuzwa, ila leo yanatimia kwa watu kueleze aliyoyafanya na yaliyofanywa chini ya utawala wake. Ukizui watu kusema ukiwa hai, watakusema ukishakufa. Binadamu kamwe hawezi kosa la kukufanya hata kwa kukusema tu inatosha kunfanya aondoe dukuduku lake...
  14. JamiiForums Tanzania Liwale: Kijana anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya mke wa mtu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Saidi Haji Ngamila (30) mkazi wa Kijiji cha Barikiwa Wilaya ya Liwale kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata na kitu chenye ncha kali na kutengenganisha kichwa na kiwiliwili na kisha kuchimba shimo na kumfukia Mwajuma Ally Lipala (49) Mkazi wa Kijiji cha...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

    Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19. Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi Kremlin inavyopata viongozi wake

    Nilisoma andiko jinsi Kremlin inavyoandaa viongozi wake. Ni mpango wa muda mrefu. Unaanzia vijana wakiwa mashuleni. Walimu wakuu wanapeleka majina ya wale wanaopata A na B, kwa kifupi wanafunzi wao bora. Hawa wanaandaliwa kuanzia Chipukizi mpaka kujiunga na umoja wa vijana wa chama. Hawa...
  17. JamiiForums Tanzania Uke wenza: Ni adhabu ipi inamstahili mwanamke anayechukia ama kujaribu kukwamisha mpango wa mume wake kuongeza mke mwengine?

    Imeshaandikwa katika vitabu vitakatifu mwanaume anaweza kuwa mpaka na wake wanne kwa mpigo, maana kwa jinsi mwanaume alivyoumbwa kaumbwa kuweza hili. (hata kwenye Biblia kuna manabii wengi sana walikuwa na wake wengi) Sababu za kuomgeza mke inaweza kuwa mke wako ni tasa na mmejaribu sana ila...
  18. JamiiForums Tanzania DAR: Amuua mtoto wa mdogo wake kwa kipigo, aufunga mwili kwenye ndoo kisha kuutupa Ubungo

    Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wa Mdogo wake aliyekuwa na umri wa miaka miwili (2) na miezi minne. Mtuhumiwa huyo LATIFA BAKARI (33), mkazi wa Mabibo aliachiwa mtoto huyo na mdogo wake kwa lengo la malezi na Tarehe 05/04/2022...
  19. JamiiForums Tanzania Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

    Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba. Huyo girlfend wake ni mrembo wa...
  20. JamiiForums Tanzania Sakata la JATU PLC lazidi kupamba moto, Serikali yaingilia kati mgogoro wake na wanachama

    Serikali imesema inaifuatilia Kampuni ya Jenga Afya Tokomeza Umasikini (Jatu PLC) baada ya baadhi ya wanachama wake kudai kutapeliwa mamilioni ya fedha waliyowekeza katika miradi ya kilimo. Kwa mujibu wa tovuti ya Jatu PLC, kampuni hiyo inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…