Hakuna Mwanamke anayekosa mume wa kumuoa, Ila wapo wanaume wanaokosa wake wa kuwaoa!

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,886
HAKUNA MWANAMKE ANAYEKOSA MUME WA KUOLEWA NAYE.

Anaandika, Robert Heriel

Kuna uvumi unaoendelea katika jamii zetu za kiafrika kuwa mwanamke akifika umri Fulani anakuwa katika Mazingira magumu ya kuolewa Jambo ambalo sio kweli. Mwanamke anaweza kuolewa katika umri wowote hata akiwa kabibi, Ila mwanaume ndiye yupo limited katika suala la kuoa. Nitafafanua hapo chini.

Nimewahi kuwasikia mpaka wachungaji na watu mashuhuri wakihubiri Jambo hili, Hali inayowafanya wanawake waathirike kisaikolojia tofauti na uhalisi. Ati mwanamke akifikisha miaka 30 yupo kwenye hatari ya kukosa mume, sio kweli.

Ngoja uone utofauti wa mwanamke na Mwanaume linapokuja suala la Ndoa. IPO hivi;

1. Mwanamke anaweza kuolewa hata akiwa na miaka 12 lakini mwanaume hawezi kuoa akiwa na umri huo hata afanye nini.

2. Mwanamke hata awe CHIZI anaweza kupata mwanaume walau wa kumtamani na kumzalisha, lakini mwanaume akiwa tuu Rafu au fukara achilia mbali uchizi na ukichaa inaweza kumsababishia asipate mtoto au mke.

3. Mwanamke hata awe na miaka 60+ anaouwezo wa kuolewa tena na kuihudumia familia Kama mke, lakini Mwanaume akifikisha miaka 60 Hana uwezo wa kuoa mke mwingine labda awe na pesa au Mali. Wakati mwanamke hata akiwa Masikini Anauwezo wa kuolewa tena.

4. Kadiri mwanaume anavyochelewa kuoa na akakosa Mali ndivyo anajihatarishia Mazingira ya kupata Mke lakini mwanamke yeye Hana kuchelewa.

Kizuizi pekee Kwa wanawake mpaka wanakuwa under pressure ni suala la Uzazi kuwa na kikomo Hilo ndio kubwa, la pili ni utegemezi Kwa waliowengi ambao hupenda kuhudumiwa.

5. Mwanamke hawazi ataolewaje kwani yeye mwili wake ndio nguzo muhimu kuitumia. Lakini mwanaume lazima awaze ataoaje kwani kuoa lazima uwe umejipanga, lazima uwe na uchumi mzuri, lazima uwe na nguvu za kiume, lazima uwe na hadhi anayohitaji huyo Mdada.

6. Mwanamke Hana wajibu wa kuihudumia familia Bali kuilea familia. Mwanaume anawajibu WA kuihudumia na kuolewa familia.

7. Mwanamke yeye kwenye ndoa hata asipokuwa na nguvu za kike wakati WA tendo la ndoa haiathiri chochote, kwani asili ya mwanamke hayupo After Sex, sex sio kipaombele. Ndio maana anaweza kukaa muda mrefu bila Sex lakini Kwa mwanaume ni tofauti, mwanaume akikosa nguvu za kiume ujue ndoa ipo mashakani.
Hivyo ndio maana ni rahisi mwanaume asiyeweza kwichikwichi kukosa mke, lakini mwanamke asiyeweza kwichikwichi anapata mume. KAZI ya mwanamke akiwa 6*6 inaweza kuwa kutega kitendawili alafu mwanaume akitegue.

7. Mwanamke kukaa muda mrefu bila kujulikana Bwana wake sio shida kwenye jamii, lakini mwanaume kukaa muda mrefu bila kujulikana anapopumzikia au ikionekana hajaingiza kidemu inaweza kuwa mbaya na kuonekana anatatizo la kiafya, na kuzuka Kwa Majina Kama Mchicha mwiba, hanithi, jogoo haoandi mtungi n.k

Hakuna wanawake wanaokosa waume wa kuwaoa, Ila wanawake ndio huchagua wanaume wa kuolewa nao.

Wanawake wanachagua hadhi, hupenda wanaume wenye vipato, wazuri na wenye mvuto. Hilo ndilo huwachelewesha kupata mume.

Wanawake wote wanaotaniwa na kushutumiwa kuwa hawajaolewa sio kwamba hawatongozwi, sio kwamba HAO wanaowatongoza hakuna ambao hawapotayari kuwaoa, Hasha! Wapo sema wanaotaka kuwaoa hawana vigezo Wanavyovitaka.

Wanawake wa kisasa waliosoma vyuo vikuu, wadada wa mjini ndio wanaoongoza Kwa ubaguzi wa wanaume hasa Wale wanaume wachovu na wasio na hadhi wasizozitaka.

Lakini kimsingi hakuna mwanamke anayekosa mume WA kuolewa Naye.

Kijana wa Kiume Kama Hana kazi, na Hana maisha mazuri ndiye anatakiwa awe na mashaka ya kuwa ataoaje.
Maana kadiri kijana anavyokuwa mtu mzima, alafu akakosa pesa ndivyo anavyojiweka katika Mazingira magumu ya kupata mke.

Ramadan Kareem
 
Kwa wanawake kuna umri unafika wanakuwa hakuna kabisa mwanamme anayewatongoza, yaani hata ile kiutani tu…. hii stage huwa inawaumiza sana hasa ikiwa wanahitaji.

cc Mamndenyi.
 
Kuna sababu nyingi zinazofanya wanawake wakose kuolewa.

Wanawake ni wengi kuliko wanaume,na bado kuna wanaume wengi hawaoi kutokana na uchumi.

Bado mwanamke akifika 30+ kuolewa ni bahati nasibu.
 
Sio Bahati Ila wao ndio wanachagua wa kuolewa nao.

Kwa uswahilini mbona hakuna kitu Kama hicho
Vijijini hakuna kitu Kama hicho.

Tatizo lipo Kwa wanawake waliosoma na wanawake WA Kisasa wanaotaka wanaume wenye vigezo maalumu, na hadhi.

Kuolewa ni rahisi kuliko kuoa.
 
Kwa wanawake kuna umri unafika wanakuwa hakuna kabisa mwanamme anayewatongoza, yaani hata ile kiutani tu…. hii stage huwa inawaumiza sana hasa ikiwa wanahitaji.

cc Mamndenyi.
Tena mbaya kama aliwaringia ujanani,kisa hawana pesa,then miaka miaka imesonga aliowaringia wanapesa leo
 
Wanaume tumeumbwa ,mateso mateso kuangaika.
Juzi napita maeneo ya kabwe nakuta kichaa anamimba, mda mwingine wanaume wanapiga mashine bila kuangalia hadhi ya mwanamke, ili mradi kamwaga maji.
 
HAKUNA MWANAMKE ANAYEKOSA MUME WA KUOLEWA NAYE.

Anaandika, Robert Heriel.

Kuna uvumi unaoendelea katika jamii zetu za kiafrika kuwa mwanamke akifika umri Fulani anakuwa katika Mazingira magumu ya kuolewa Jambo ambalo sio kweli. Mwanamke anaweza kuolewa katika umri wowote hata akiwa kabibi, Ila mwanaume ndiye yupo limited katika suala la kuoa. Nitafafanua hapo chini.

Nimewahi kuwasikia mpaka wachungaji na watu mashuhuri wakihubiri Jambo hili, Hali inayowafanya wanawake waathirike kisaikolojia tofauti na uhalisi. Ati mwanamke akifikisha miaka 30 yupo kwenye hatari ya kukosa mume, sio kweli.

Ngoja uone utofauti wa mwanamke na Mwanaume linapokuja suala la Ndoa. IPO hivi;

1. Mwanamke anaweza kuolewa hata akiwa na miaka 12 lakini mwanaume hawezi kuoa akiwa na umri huo hata afanye nini.

2. Mwanamke hata awe CHIZI anaweza kupata mwanaume walau wa kumtamani na kumzalisha, lakini mwanaume akiwa tuu Rafu au fukara achilia mbali uchizi na ukichaa inaweza kumsababishia asipate mtoto au mke.

3. Mwanamke hata awe na miaka 60+ anaouwezo wa kuolewa tena na kuihudumia familia Kama mke, lakini Mwanaume akifikisha miaka 60 Hana uwezo wa kuoa mke mwingine labda awe na pesa au Mali. Wakati mwanamke hata akiwa Masikini Anauwezo wa kuolewa tena.

4. Kadiri mwanaume anavyochelewa kuoa na akakosa Mali ndivyo anajihatarishia Mazingira ya kupata Mke lakini mwanamke yeye Hana kuchelewa.

Kizuizi pekee Kwa wanawake mpaka wanakuwa under pressure ni suala la Uzazi kuwa na kikomo Hilo ndio kubwa, la pili ni utegemezi Kwa waliowengi ambao hupenda kuhudumiwa.

5. Mwanamke hawazi ataolewaje kwani yeye mwili wake ndio nguzo muhimu kuitumia. Lakini mwanaume lazima awaze ataoaje kwani kuoa lazima uwe umejipanga, lazima uwe na uchumi mzuri, lazima uwe na nguvu za kiume, lazima uwe na hadhi anayohitaji huyo Mdada.

6. Mwanamke Hana wajibu wa kuihudumia familia Bali kuilea familia. Mwanaume anawajibu WA kuihudumia na kuolewa familia.

7. Mwanamke yeye kwenye ndoa hata asipokuwa na nguvu za kike wakati WA tendo la ndoa haiathiri chochote, kwani asili ya mwanamke hayupo After Sex, sex sio kipaombele. Ndio maana anaweza kukaa muda mrefu bila Sex lakini Kwa mwanaume ni tofauti, mwanaume akikosa nguvu za kiume ujue ndoa ipo mashakani.
Hivyo ndio maana ni rahisi mwanaume asiyeweza kwichikwichi kukosa mke, lakini mwanamke asiyeweza kwichikwichi anapata mume. KAZI ya mwanamke akiwa 6*6 inaweza kuwa kutega kitendawili alafu mwanaume akitegue.

7. Mwanamke kukaa muda mrefu bila kujulikana Bwana wake sio shida kwenye jamii, lakini mwanaume kukaa muda mrefu bila kujulikana anapopumzikia au ikionekana hajaingiza kidemu inaweza kuwa mbaya na kuonekana anatatizo la kiafya, na kuzuka Kwa Majina Kama Mchicha mwiba, hanithi, jogoo haoandi mtungi n.k

Hakuna wanawake wanaokosa waume wa kuwaoa, Ila wanawake ndio huchagua wanaume wa kuolewa nao.

Wanawake wanachagua hadhi, hupenda wanaume wenye vipato, wazuri na wenye mvuto. Hilo ndilo huwachelewesha kupata mume.

Wanawake wote wanaotaniwa na kushutumiwa kuwa hawajaolewa sio kwamba hawatongozwi, sio kwamba HAO wanaowatongoza hakun

7. Mwanamke kukaa muda mrefu bila kujulikana Bwana wake sio shida kwenye jamii, lakini mwanaume kukaa muda mrefu bila kujulikana anapopumzikia au ikionekana hajaingiza kidemu inaweza kuwa mbaya na kuonekana anatatizo la kiafya, na kuzuka Kwa Majina Kama

Hakuna wanawake wanaokosa waume wa kuwaoa, Ila wanawake ndio huchagua wanaume wa kuolewa nao.

Wanawake wanachagua hadhi, hupenda wanaume wenye vipato, wazuri na wenye mvuto. Hilo ndilo huwachelewesha kupata mume.

Wanawake wote wanaotaniwa na kushutumiwa kuwa hawajaolewa sio kwamba hawatongozwi, sio kwamba HAO wanaowatongoza hakuna ambao hawapotayari , Hasha! Wapo sema kuwaoa vigezo Wanavyovitaka.

Wanawake wa kisasa waliosoma vyuo vikuu, wadada wa mjini ndio wanaoongoza Kwa wa hasa Wale wanaume wachovu na na hadhi .

Lakini kimsingi hakuna mwanamke mume WA kuolewa Naye.

wa Kama Hana kazi, na Hana maisha mazuri ndiye anatakiwa awe na mashaka ya kuwa ataoaje.
Maana kadiri kijana anavyokuwa mtu mzima, alafu pesa ndivyo anavyojiweka Mazingira magumu ya kupata mke.

Ramadan Kareem

HAKUNA MWANAMKE ANAYEKOSA MUME WA KUOLEWA NAYE.

Anaandika, Robert Heriel.

Kuna uvumi unaoendelea katika jamii zetu za kiafrika kuwa mwanamke akifika umri Fulani anakuwa katika Mazingira magumu ya kuolewa Jambo ambalo sio kweli. Mwanamke anaweza kuolewa katika umri wowote hata akiwa kabibi, Ila mwanaume ndiye yupo limited katika suala la kuoa. Nitafafanua hapo chini.

Nimewahi kuwasikia mpaka wachungaji na watu mashuhuri wakihubiri Jambo hili, Hali inayowafanya wanawake waathirike kisaikolojia tofauti na uhalisi. Ati mwanamke akifikisha miaka 30 yupo kwenye hatari ya kukosa mume, sio kweli.

Ngoja uone utofauti wa mwanamke na Mwanaume linapokuja suala la Ndoa. IPO hivi;

1. Mwanamke anaweza kuolewa hata akiwa na miaka 12 lakini mwanaume hawezi kuoa akiwa na umri huo hata afanye nini.

2. Mwanamke hata awe CHIZI anaweza kupata mwanaume walau wa kumtamani na kumzalisha, lakini mwanaume akiwa tuu Rafu au fukara achilia mbali uchizi na ukichaa inaweza kumsababishia asipate mtoto au mke.

3. Mwanamke hata awe na miaka 60+ anaouwezo wa kuolewa tena na kuihudumia familia Kama mke, lakini Mwanaume akifikisha miaka 60 Hana uwezo wa kuoa mke mwingine labda awe na pesa au Mali. Wakati mwanamke hata akiwa Masikini Anauwezo wa kuolewa tena.

4. Kadiri mwanaume anavyochelewa kuoa na akakosa Mali ndivyo anajihatarishia Mazingira ya kupata Mke lakini mwanamke yeye Hana kuchelewa.

Kizuizi pekee Kwa wanawake mpaka wanakuwa under pressure ni suala la Uzazi kuwa na kikomo Hilo ndio kubwa, la pili ni utegemezi Kwa waliowengi ambao hupenda kuhudumiwa.

5. Mwanamke hawazi ataolewaje kwani yeye mwili wake ndio nguzo muhimu kuitumia. Lakini mwanaume lazima awaze ataoaje kwani kuoa lazima uwe umejipanga, lazima uwe na uchumi mzuri, lazima uwe na nguvu za kiume, lazima uwe na hadhi anayohitaji huyo Mdada.

6. Mwanamke Hana wajibu wa kuihudumia familia Bali kuilea familia. Mwanaume anawajibu WA kuihudumia na kuolewa familia.

7. Mwanamke yeye kwenye ndoa hata asipokuwa na nguvu za kike wakati WA tendo la ndoa haiathiri chochote, kwani asili ya mwanamke hayupo After Sex, sex sio kipaombele. Ndio maana anaweza kukaa muda mrefu bila Sex lakini Kwa mwanaume ni tofauti, mwanaume akikosa nguvu za kiume ujue ndoa ipo mashakani.
Hivyo ndio maana ni rahisi mwanaume asiyeweza kwichikwichi kukosa mke, lakini mwanamke asiyeweza kwichikwichi anapata mume. KAZI ya mwanamke akiwa 6*6 inaweza kuwa kutega kitendawili alafu mwanaume akitegue.

7. Mwanamke kukaa muda mrefu bila kujulikana Bwana wake sio shida kwenye jamii, lakini mwanaume kukaa muda mrefu bila kujulikana anapopumzikia au ikionekana hajaingiza kidemu inaweza kuwa mbaya na kuonekana anatatizo la kiafya, na kuzuka Kwa Majina Kama Mchicha mwiba, hanithi, jogoo haoandi mtungi n.k

Hakuna wanawake wanaokosa waume wa kuwaoa, Ila wanawake ndio huchagua wanaume wa kuolewa nao.

Wanawake wanachagua hadhi, hupenda wanaume wenye vipato, wazuri na wenye mvuto. Hilo ndilo huwachelewesha kupata mume.

Wanawake wote wanaotaniwa na kushutumiwa kuwa hawajaolewa sio kwamba hawatongozwi, sio kwamba HAO wanaowatongoza hakuna ambao hawapotayari kuwaoa, Hasha! Wapo sema wanaotaka kuwaoa hawana vigezo Wanavyovitaka.

Wanawake wa kisasa waliosoma vyuo vikuu, wadada wa mjini ndio wanaoongoza Kwa ubaguzi wa wanaume hasa Wale wanaume wachovu na wasio na hadhi wasizozitaka.

Lakini kimsingi hakuna mwanamke anayekosa mume WA kuolewa Naye.

Kijana wa Kiume Kama Hana kazi, na Hana maisha mazuri ndiye anatakiwa awe na mashaka ya kuwa ataoaje.
Maana kadiri kijana anavyokuwa mtu mzima, alafu akakosa pesa ndivyo anavyojiweka katika Mazingira magumu ya kupata mke.

Ramadan Kareem

"Nimewahi kuwasikia mpaka wachungaji na watu mashuhuri wakihubiri Jambo hili, Hali inayowafanya wanawake waathirike kisaikolojia tofauti na uhalisi. Ati mwanamke akifikisha miaka 30 yupo kwenye hatari ya kukosa mume, sio kweli"
 
Back
Top Bottom