wakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trust me ankali

    JamiiForums Tanzania Pata mkopo kuanzia milioni 1 hadi milioni 50 kwa muda wa siku tatu kwa riba nafuu kutoka KFINANCE.

    pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi, Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
  2. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso tusaidie, wakazi wa Dar asilimia kubwa hatuna maji

    Kwa walioko dar mtaani kwako kuna maji?? Wilaya ya ubungo kwetu Hali tete jamani tusaidieni
  3. mkenya wa kova

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa dodoma nawapa offer ya urembo wa nyumba kwa bei kitonga sana

    Ni urembo safi wa nyumba yako.angalia samples hapa.... ..nguzo 40000 ..dirisha 35000 ..kona40000 .. skirting 150000 Karibuni nyote 0719999526
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini matege na makengeza yanapatikana sana kwa wakazi wa Afrika? Sijaona kwa wazungu

    Hili nimekuwa nikijiuliza sana, wadau, kuna mwenye ufahamu?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tangu Uhuru, wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanarundika ndoo zenye maji ndani

    Katika karne hii ya 21, bado watu wa Dar wanapambana na changamoto za maji, wakihifadhi madumu na mandoo katika hofu ya kukatika kwa huduma hiyo muhimu. Hali hii inatia huzuni, kwani hata mvua inyeshapo, maji hayapatikani kwa masaa 24 kwa wiki. Tukilinganisha na nchi kama China, yenye watu 1.3...
  6. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Hodi tena wakazi wa Dar es Salaam natafuta mno kifaa hiki

    Wasalaam. Ni muda mrefu sasa sijafika hapo jijini na ata kwenye masoko makubwa kama kariakooo nimeishaanza kusahau mitaa. Ila tatizo langu ni dogo kama nitapata mwenye uelewa wa kifaa hiki kinaitwa Hub motor. Pia kama ikipatikana motor ya kawaida ambayo ni brushless dc motor itakuwa poa sana...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Tinga Tinga (Longido) hatuna Maji miaka mingi. Ajabu Serikali inaleta miradi ambayo haikamiliki, TAKUKURU mko wapi?

    Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na enzi japo tuko karibu sana na vyanzo vingi vya maji, pia Serikali imekuwa ikileta miradi mbalimbali...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali mpaka haileti huduma ya maji na miundombinu ya barabara?

    Sisi wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali? Maji shida, barabara shida ni kama kuna juhudi za makusudi kabisa tukose huduma hizi. Pia, soma: √ - Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa Msakuzi, ili kupata hatma ya huduma ya maji
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar, ulishawahi kuitwa na kuingia kwenye mfumo wa huyu muuza juice pale Karume?

    Unatembea zako ghafla unaitwa, Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke. Mwisho wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vitisho toka kwa M/Kiti wa Kitongoji cha Itumbi (Mbeya) kwa wakazi wa Majengo-Mapya

    UTANGULIZI Mtaa wa Majengo mapya_Jeshini, unapatikana Mkoani Mbeya, wilaya ya Chunya, kata ya Matundasi, kitongoji cha Itumbi. HISTORIA YA ENEO Hili ni eneo ni mojawapo nchini ambalo liliteuliwa kuwa kambi ya kijeshi ya wapigania uhuru kusini mwa Afrika. Mara baada ya shughuli kumalizika...
  11. 7

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Aweso tusaidie wakazi wa Kawawa road na vitongoji vyake- Wilaya ya Moshi

    Waziri, wakazi wa Kawawa Road na vitongoji vyake tunapitia changamoto kubwa sana ya kupata maji. Pamoja na kuwa tupo chini ya mlima Kilimanjaro ambapo kuna vyanzo vingi vya maji lakini suala la upatikanaji maji limekuwa changamoto kubwa sana kwani maji yanatoka mara moja kwa wiki tena kwa muda...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka Wakazi wa Katavi wawaache Watoto Wasome

    Mimba za utotoni Katavi zamkera samia, ataka watoto waachwe wakue Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakazi wa Mkoa wa Katavi kuwaacha watoto wasome, wakue ili kuwaepusha na zahama ya kuzaa watoto wenzao. Ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi, alipokuwa...
  13. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Arusha, ingiza milioni 9 kwa mwaka ya uhakika kwa kufanya ivi

    Kuna dili nimepewa ila nimekosa Hio pesa, Kuna nyumba ipo arusha inauzwa milioni 100, Ina wapangaji kampuni ya wahindi ambayo imesajiliwa wameikodi Hio nyumba, Wana zaidi ya miaka 8 wamekodi Hio nyumba, wanalipa Kodi milioni 9 Kila mwaka na wanalipa kwa mkupuo Kama Kuna mtu anataka kuinvest...
  14. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania KERO Ukatili dhidi ya wakazi maeneo karibu na reli ya SGR

    Hali ya WAKAZI ya Airport ni Mbaya. Mkandarasi wa SGR wameweka uzio wa fensi ya Makali hivyo kuvuka kwenda airport wananchi hawawezi. Barabara ya juu hawajamaliza lakini hata njia ambazo ndio wananchi wanategenea kuvuka zimefungwa kwa wire. Ni unyanyasaji na ukandamizaji wa haki za msingi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Uwekezaji kwenye ardhi wageuka mwimba mchungu kwa Wakazi, watumika kupora ardhi

    Kwa miaka kadhaa sasa Uwekezaji umekuwa ukitumika kama njia ya uporaji ardhi kwa Wakazi wa Zanzibar, na hili linathibitika katika Kijiji cha Michamvi – Kae, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja kilichopo umbali wa Kilomita 41 kutoka Mjini, Unguja. Kwa miaka 13 sasa katika Kijiji hiki ambacho...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Dampo la ‘Bakhresa’ Mkuranga, linahatarisha afya za wakazi Dar na Pwani. Matunda kutoka dampo hilo yauzwa tena sokoni

    Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga mkoa wa Pwani, wanaamini mmiliki wa Dampo ni Bakhresa Group. Matunda yanayotupwa hapa, huokotwa na...
  17. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uvuvi ni hazina ya ajira kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa na Tanzania yote

    Uvuvi ni chanzo cha ajira pia ni chanzo Bora cha kitoweo kama ilivyo ufugaji hasa kwa hapa Tanzania. Ili uvuvi ulete Tija na mtokeo ya kueleweka sana ndani ya taifa ni vizuri kama taifa likaanza kuingiza mikakati Bora kama ifuatavyo hasa Kwa wakazi wa Kanda ya ziwa hasa vijana wa maeneo hayo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda asikitishwa kuona kisima cha maji kilichogharimu tsh milioni 600 Longido hakiwanufaishi wakazi wa eneo hilo

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na kuchukizwa mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa kisima cha maji uliopo kijiji cha Ilidonyo Kata ya Sinya katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido uliotumia kiasi cha fedha takribani Tsh Milioni 600 na bado...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Nyakahamba- Kerege wakamilishiwa mradi, dawasa yawaita wakazi maunganisho ya maji

    Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa kuongeza msukumo wa maji kwenye kitongoji cha Nyakahamba Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo na kuwezesha upatikanaji wa huduma kwa wakazi takribani 250. Akizungumzia utekelezaji wa mradi...
  20. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Urambo wanawafahamu hawa manabii, ni nini mnakifahamu zaidi kuwahusu?

    Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo. Kwa anayewafahamu anisaidie
Back
Top Bottom