Wakati ATCL imelala usingizi wa pono Rwandair waongeza ndege nyingine aina ya Aibus A330-200

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
14,939
20,396
RwandAir A330

Source: RwandAir- Ndege hiyo mpya ikiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kigali.

Shirika la ndege la Rwanda Rwandair Ijumaa ilopita ilipokea ndege ingine mpya kubwa ya Airbus A330-200 kutoka Ufaransa.

Ndege hiyo itakuwa ikisafiri masafa marefu kwenda barani Ulaya na Mashariki ya Kati.

Lakini ni nini siri ya mafanikio ya shirika hili la ndege ambalo serikali ya Rwanda inamiliki kwa asilimia 100?

Baada ya nchi kutulia kutoka katika vita ya wenyewe kwa wenyewe serikali ya Rwanda iliketi na kubuni mipango mingi ya kuiendeleza nchi.

Moja ya mipango hii ilikuwa ni kulifufua shirika la ndege la Rwanda liloitwa wakti huo Rwandair Express kwa kusimamia uendeshaji wake ni pia kubadili jina ili shirika liende na wakti na liwe lajulikana kimataifa zaidi. Hapo ndipo lilipozaliwa Rwandair na baadae mwaka 2016 ikapata kibali cha kimataifa kijulikanacho kama ISAGO.

Ukiwa na kibali cha ISAGO shirika la ndege laweza kufanya shughuli zote za uendeshaji katika viwanja vya kimataifa pamoja na kulaza ndege ikisubiri kuruka kwenda sehemu zingine. Pia waweza kuwa na wafanyakazi katika uwanja wa kigeni ambao watafanya shughuli kama cha kuhakiki checki-ns na mengine.

Rwanda kabla ya mwaka 2011 ilikuwa ikitumia ndege za kukodi au kununua ndege ambazo zilikuwa zimetumika lakini zilizokidhi viwango vya kimataifa, pamoja na ndegemoja tu ya aina ya Boeing 737-500. Hivyo mwaka huo Rwanda ikanunua ndege mpya ingine moja kwa moja kutoka kwa watengenezaji yaani Boeng na ndege ya aina ya 737-800.

Hii ndege ya 737 -800 ilikuwa ni ndege pekee barani Afrika kwa ubora na uimara na baadae mwaka huohuo wa 2011 inanunua ndege ingine ya aina hiyohiyo ya 737-800 New generation, ikifuatiwa na ndege zingine mbili ndogo za aina ya CRJ-900NGs.

Hizi ndege mbili ndogo zilikuwa ni za kushika nafasi ya ndege za zamani aina ya CRJ200 ambazo ziliuzwa na Rwandair kupata fedha zaidi za kujiendesha, waona akili hiyo?

Tokea mwaka 2015 Rwandair ilipopata kibali cha IATA na kuwa mwanachama hai walianza kurusha ndege kwenda China na kupata pia kibali cha ukaazi wa kudumu nchini Beninambapo Ndegeza Rwandair zinaweza kuegeshwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Cotonou bila shida na kufanyiwa matengenezo pale na ukarabati wa hapa na pale.

Mwaka juzi yaani 2020 shirika la ndege la Qatar limenunua hisa zaidi ya asilimia 60 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Busegera hali inoruhusu Qatar Airways kuwa na base katika uwanja huo na pia kuegesha ndege zake zinoruka sehemu mbalimbali. Pia Qatar Airways wapo wazungumza na serikali ya Rwanda ili kununua hisa ya asilimia 49 katika Rwandair hivyo kuboresha masuala katika ufanisi wa shughuli zake na mafunzo kwa wahudumu wa ndege na kadhalika, nadhani waona hii hapa?

Pia Rwandair lina ubia na kampuni moja ya kimarekani ambayo inaruhusu mteja kununua tiketi ambayo itamruhusu abiria huyo kusafiri katika tarehe ambayo ataichagua yeye. Hii yafanya tiketi kuuzwa kwa bei nzuri na pia kuwapa abiria uhuru wa kusafiri siku yoyote wanoitaka bila shida.

Kuna umoja wa ndege wa Kenya Airways, Ethiopia Airlines na Qatar Airways (wafadhili) ambao waitwa Oneworld ambapo mashirika haya husaidiana katika masuala mengi tu liliwemo kuwahudumia abiria wa kimataifa ambao husafiri mara kwa mara.

Mwisho ni bodi ya wakurugenzi ya Rwandair ambayo inaunda wataalam na washauri mbalimbali. Hawa kazi yao kubwa ni kuhakikisha utawala wa Rwandair wafuata mwongozo au "framework" kuhakikisha shirika laendeshwa kwa ufanisi unoleta faida khasa kwa wanahisa na kuhakikisha zatafutwa njia zaidi za uboreshaji wa biashara.

Hivi ndivyo shirika la ndege la Rwandair linavyofanya kazi yake kwa ufanisi wa hali ya juu na hadi leo hakuna ndege yoyote iloegeshwa pale BIA wala kelele za ooh zimenunuliwa ndege mbovu.

Shirika letu la ndege la ATCL lina mengi ya kujifunza kutoka kwa jirani zetu Rwanda na namna wanavyohakikisha rasilimali kama shirika la ndege zinatunzwa na kuenziwa kuwa moja ya vyanzo vya mapato ya taifa, ukuzaji utalii na mengine.

Reference: Rwandair, Aviation week, Travel week, flightglobal and wikipedia.
 
Biashara air transport ni pasua kichwa, Rwanda hakuna uhuru wa kukosoa kama Tz ila kuna madude mengi yalio jificha ndani, PK ni homicidal dictator ukimkosoa unaenda mazima......ila Rwanda bado sana ni propaganda kuficha mahovu ya PK, pale kuna time bomb amani haijapatikana bado.
 
bongo wazaramo ndo ttzo , hata ununue mfagio watasema ulipaswa kununia chelewa ukinunua chelewa watasema ulipaswa kufagilia mikono ili utunze ela , TZ ni nch ya ajabu , Tulinunua ndege wakasema tumepoteza hatupaswi kuwa na ndege tuendeleee kuwa tegemez kwa makampuni ya nje , hii nchi imerogwa
 
Biashara air transport ni pasua kichwa, Rwanda hakuna uhuru wa kukosoa kama Tz ila kuna madude mengi yalio jificha ndani, PK ni homicidal dictator ukimkosoa unaenda mazima......ila Rwanda bado sana ni propaganda kuficha mahovu ya PK, pale kuna time bomb amani haijapatikana bado.
akili zko na za wenzio ni fupi sana huez fanya biashara bila kuwekeza Kwny kujitangaza huo ni UNDUBWI na ndo mnaufanya afrika , halafu mnapenda kuujenga za kufikirika kuliko kufuatilia KAGAME anajitangaza huon visit Rwanda huko ulaya au unahisi wazungu wanakuja kwa miguu ?
 
Hilo la kujitangaza lina mundolea kua kiongozi muaji wa wapizani wake, mbuzi hata ukimlisha je hawezi kulingana na ngombe hiyo ndo hali ya Rwanda kwa Tz.......PK ana misallocate resources ndogo za Rwanda, ange anza na basics za wana nchi zake wanoa ishi kwenye dumbwi la umasikini.
 
Kuna wangese watakuja hapa na kuanza ooh Rwanda inafanikiwa kwakua no ndogo au kagame ni dikteta mbona jiwe alikua dikteta na bado akanunua ndege mbovu?
Rwanda bado iko kwenye early stages of development wakati Tz iko kwenye take off stage kwa walio soma uchumi wananielewa, kulinganisha Rwanda na TZ ni kua na high level of ignorance, Rwanda bado ina chagamoto nyingi za msingi licha ya kua na idadi ndogo ya watu takriban 11m, wakati Tz hizo chagamoto imesha zipitia kitambo
 
Wewe ndio umeongea pumba zaidi, taja hizo changamoto unazoona zemalizwa hapa Tanzania na rwanda zipo
 
Sasa minauli yanapandishswa hovyo kwa tamaa za wachache, yaani kila kitu wanafanya ugumu kweli kutakua na biashara hapo
 
Nnnnnhe hovyoo wakati mandege yenyewe yana shida lukuki. Rwanda angetuuliza kabda kwenda kununua. hizo ndege zina shida kwenye engine, zina shida kwenye body. Tanzania na ghana wanataka kuungana kwenda kuishtaki kampuni inayotengeneza ili walipwe fidia kwa hasara wanazoingia.

Down nyingi sana ilo dude
 
Rwandair haijawahi pata faida toka ianzishwe.

Hayo mapesa wangeweka kuondoa umasikini kwa wananchi wake.

Tena nchi yenyewe ndogo kama mkoa wa Pwani ni rahisi kuondoa umasikini ukiacha kunua hayo mandege.
 
PK ananunua hizo ndege kwa sifa zake na hana wa kumkosoa ndomaana anafanya, anatumia pesa za wanyarwanda vibaya, raia hawana pakisemea tu.
 
Rwandair haijawahi pata faida toka ianzishwe.

Hayo mapesa wangeweka kuondoa umasikini kwa wananchi wake.

Tena nchi yenyewe ndogo kama mkoa wa Pwani ni rahisi kuondoa umasikini ukiacha kunua hayo mandege.
Acheni rohombaya
Hajazungumza kuhusu udogo wala ukubwa wa nchi
Rwanda si maskini labda rohombaya yako ndio inakupa mawazo hayo
Tuongee ukweli na sisi pia ni Watanzania
Waache waendelee kila mtu atakula alipopeleka mboga
 
Nacho jua kwasbb nilisha wahi kukaa Rwanda zaidi ya miaka miwili rural Rwanda ni masikini mara 3 au 4 ya Tanzania kula mlo moja kwao vijijini ni jambo la kawaida, vituo vya afya ni vichache na hamna dawa za kutosha zaidi ya wanyarwada 5m wana ishi nje nchi kama wakibizi wana ishi in refugee camps nchi jirani.......
 
Back
Top Bottom