Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi kuchukiwa zaidi, si kwa kufunga biashara kwa kasi ya ajabu kama hiyo.
Lakini, kwani uchumi kwenu ukoje...
Nauona umaskini unaanzia pale mtu uko zako chuo halafu unakaa miaka zaidi ya mitatu bila kufanya kazi unakamua pesa tu za wazazi kukulipia ada na malazi bila kuingiza chochote na mwisho wa siku ajira hakuna! Huu ni umasikini tuliokubali kujitengenezea bila kujua kuwa ni chanzo cha umasikini...
Kulingana na kuongezeka kwa Bei za bidhaa muhimu Ni vyema sasa kuwepo na mpango wa kuwaongezea watumishi mishahara yao kwa kuwa Bei za bidhaa zimepanda mno,vinginevyo Hali haitakuwa njema huko tuendako just fikiria
Haraka haraka Bei ya mchele ilikuwa 1500/ lakini sasa hivi Ni 3000-3500 na...
Mambo ya kufanya wakati Mnajadili kuhusu Mshahara na Mwajiri wako
Mosi, fanya utafiti kujua je Kwa nafasi uliyoomba wanalipa level ya Mshahara kiasi gani? Hii itakuwezesha kushawishi ulipwe shilingi ngapi kutokana na taarifa ambayo unayo tayar.
Pili, Ni Jambo jema kushukuru ofa ya Mshahara...
Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za watawala. Kwa umri huu vyamna hivi vinatakiwa vijisimamie. Ni aibu kuendelea kuwa na wacheza siasa...
Mwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo.
Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda.
Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani...
Heri ya mwaka mpya 2023. Ndugu zangu watanzania tuzidi kujipa moyo Mungu yupo kutufuta machozi ktk kila nyakati. Tupunguze manung'uniko na lawama ili Mungu afanye kazi yake.
Hakuna chama wala mtu anaweza sema yeye ndio mwenye hati miliki ya hili Taifa ila kila mtu ana haki sawa ya utanzania...
Mtoto Emanuel Marco Nyagela mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa Kijiji cha Mwangika kata ya Mwabomba wilayani Kwimba mkoani Mwanza amefariki dunia baada ya kuliwa na fisi wakati akienda kuoga kwenye dimbwi akiwa na wenzake.
Tukio hilo jana Desemba 27 saa 12 jioni kijijini hapo baada ya mtoto...
Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wametoa ujumbe wa Krismasi kwa waumini wao, ukiwemo unaowataka viongozi wa Serikali kuwa makini na sifa wanazopewa na wateule wao kwa kuwa ni mbinu ya kuficha udhaifu.
Vilevile, wamewataka viongozi pamoja na watendaji watumie sikukuu hiyo...
Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua)
Juzi wakati Mlinzi wangu...
Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga.
Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal.
Tumeshakubali kwamba ameondoka.
Hatumuhitaji please. Msije kushangaa akizomewa..
Na kwa wewe unaesema msimponde Fei kutaka kuondoka...
Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga.
Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata mkimuongeza mshahara, kesho anaweza kushawishiwa kwa mshahara mkubwa zaidi hivyo atawasumbua tu...
Kwenye hizi nyakati za sikuu kuu watu huwa wanachakatiwa mbususu mno,walahi ukiomba mbususu ya mke wa mtu wakati huu na ukinyimwa nenda ukaoge baharini, kwenye kipindi Kama hiki mwanamume Kama huna fungu la kutosha jiandae kisaikolojia.
Kuna Mambo Kama manne hivi huwa yanashughulisha sana...
Jana Tanzania tuliandika Historia kwa ufunguzi wa bwawa la Nyerere (JNHPP) kuanza hatua ya kwanza ya ujazaji maji hii ni hatua kubwa kwa taifa letu na kitu kingine nilichogundua ni kwamba Rais Samia Suluhu aliahidi atamaliza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake amemaliza miradi mingi...
Yaani Zanzibar wauziwe unit moja ya umeme kwa tsh.130 kama alivyoeleza Waziri wa Nishati na Madini Zanziber wakati sisi huku bara tunauziwa shilingi 350 na senti kadhaa.
Na wale wataosema Zanzibar ni wanyonyaji wanakosea, Tukumbuke kwamba Bara ndio inang'ang'ania sana huu muungano matokeo yake...
Mwijaku amedai ni aibu kubwa kwa msanii mkubwa Kama Nandy na mumewe kuendelea kusaidiwa kutunziwa Mtoto na msanii mwenzake Diamond.
Mwijaku amemtaka Nandy akamshukuru ndg Diamond kwa kipindi chote alichomsaidia na malezi ,Kisha yeye kuendelea kutuma hela ya matumizi kwa Mobetto mpaka Mtoto...
Inatokea mfumo unaamua huyu mtu anapaswa aonekane amefariki. Mara nyingi huwa ni kwa ajali au kulazwa kwa muda flani n.k but mazishi ya huyu mtu hupotezwa kwa namna flani.
Inawezekana sura yake isioneshwe au anaweza uawa kwa ajali na kuchomwa moto akapotezwa kabisa. Ilhali kiuhalisia anakuwa...
VP Mpango tuna kuhitaji kusimama na kumsaidia Raisi kwenye masuala ya mikopo ya nchi na wizara ya fedha badala ya kukaa kinyonge nyonge kila siku.
Hauja chaguliwa kwasababu ya upole pekee lakini ni kwasababu ya uwezo wako mkubwa kwenye miradi na kujua fedha sasa hata kwenye miradi na mikutano...
KATI YA MAMA NA MKE NANI ANAPASWA KUKAA SITI YA MBELE WAKATI UNAENDESHA GARI?
Anaandika, Robert Heriel
Rafiki yangu Hosea amenipigia simu akaniuliza hivi; Kati ya Mama yake na MKE wake Nani anastahili kukaa SITI ya MBELE ya GARI wakati yeye(Hosea) anaendesha Gari? Nikaona niilete mada Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.