Hii Trending ya kujifanya Mcha-Mungu wakati wa Ramadhani ni kujilisha upepo na ubatili mtupu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,064
45,688
Nipo Sehemu za Uswahilini naona wanawake na wahuni wote wanavaa vizuri wanapiga ushungi Kama wa Madam president so niseme ni Jambo zuri Sana endapo mkaishia hivyo Maisha yenu yote.

Imekuwa kawaida watu kumuigizia Mungu wakati wa Ramadhani na baada ya huu Mwezi kuisha watu wanarudi katika uchafu so this is None-sense iidiotism philosophy

The repentance is now there's no reason to Fake anymore.

Ramadhan KAREEM
 
It makes a.lot of sense, tukaishi maisha ya kumfurahisha Mungu siku zote, ila kibinadamu haiwezekani. Tuwavumilie tu coz hata sisi wakrist tuna flaws za kutosha
 
Kama ramadhan inatosha kuwafanya wamkumbuke Mungu hata kidogo basi hilo ni jambo kubwa sana linalo vutia mtu huwa habadiliki siku moja, Ramadhan ni kipimo sahihi cha hofu yao haitakiwi wewe kuumia kwa mambo yasiyo kuhusu, huwezi kuisemea nafsi yake Mungu ndo anajua kuwa anaigiza au anaomba toba.

Ramadhani ni mwezi wa toba kwa waislam wote haijalishi alikua anatenda dhambi kiasi gani huu ni muda wao wa kuomba msamaha.

Kila matendo yanalipwa kutokana na nia ya mtu kwa macho yako wewe ni kuwa wanaigiza ila ndani ya nafsi zao anajua Mungu zaidi.
 
Nipo Sehemu za Uswahilini naona wanawake na wahuni wote wanavaa vizuri wanapiga ushungi Kama wa Madam president so niseme ni Jambo zuri Sana endapo mkaishia hivyo Maisha yenu yote.

Imekuwa kawaida watu kumuigizia Mungu wakati wa Ramadhani na baada ya huu Mwezi kuisha watu wanarudi katika uchafu so this is None-jjha mbisense iidiotism philosophy

The repentance is now there's no reason to Fake anymore.

Ramadhan KAREEM
Wengine wanavaa kuficha mvi kama madam....
 
Katika dunia hii iliyojaa unyama wa kila aina, kama kuna kitu ambacho kinawafanya watu wamkumbuke Muumba wao japo kwa sekunde, dakika, siku, juma, mwezi, mwaka, muongo, karne au milenia moja basi acha wakifanye hicho!

Kama Ramadhani (na Kwaresma) zinawafanya watu wamkumbuke Muumba wao - hata kama ni kwa muda tu - basi hilo ni jambo jema sana na halipaswi kulaumiwa wala kupingwa!
 
Nipo Sehemu za Uswahilini naona wanawake na wahuni wote wanavaa vizuri wanapiga ushungi Kama wa Madam president so niseme ni Jambo zuri Sana endapo mkaishia hivyo Maisha yenu yote.

Imekuwa kawaida watu kumuigizia Mungu wakati wa Ramadhani na baada ya huu Mwezi kuisha watu wanarudi katika uchafu so this is None-sense iidiotism philosophy

The repentance is now there's no reason to Fake anymore.

Ramadhan KAREEM
ACHA kuhangaika na maisha ya watu...huna shughuli ya kufanya!?
 
Mimi hamna watu nawaona wanafiki kama wanaobadilisha maisha mwezi wa ramadhani, ukiisha wanarudi uchafuni
- mtu anaacha uzinzi/anavaa kwa stara kwa mwezi mmoja. ukiisha anarudi kwenye laana.
mi naona ni either ubadilike moja kwa moja or uendelee na mambo yako ya sikuzote.
Kuna watu wao sikuzote huwakosi msikitini wala mavazi hayabadiliki hawa mi naona ndo wanastahili kufunga
 
Nipo Sehemu za Uswahilini naona wanawake na wahuni wote wanavaa vizuri wanapiga ushungi Kama wa Madam president so niseme ni Jambo zuri Sana endapo mkaishia hivyo Maisha yenu yote.

Imekuwa kawaida watu kumuigizia Mungu wakati wa Ramadhani na baada ya huu Mwezi kuisha watu wanarudi katika uchafu so this is None-sense iidiotism philosophy

The repentance is now there's no reason to Fake anymore.

Ramadhan KAREEM
Acha kupinga juhudi za mtu, muhimu ni kuombeana tukianza tusiache, hakuna alie mkamilifu hapa duniani, shida ni tabia ya binadamu kuona mwenzake anakosea sana ila yeye anakosea kidogo
 
Mimi hamna watu nawaona wanafiki kama wanaobadilisha maisha mwezi wa ramadhani, ukiisha wanarudi uchafuni
- mtu anaacha uzinzi/anavaa kwa stara kwa mwezi mmoja. ukiisha anarudi kwenye laana.
mi naona ni either ubadilike moja kwa moja or uendelee na mambo yako ya sikuzote.
Kuna watu wao sikuzote huwakosi msikitini wala mavazi hayabadiliki hawa mi naona ndo wanastahili kufunga
Hata manabii walifanya makosa pamoja na kuwa karibu na Mungu, sisi binadamu wa kawaida kufanya makosa kupo, mtu anapofanya jema ni jambo jema, akirudia ubaya tumuonye , hakuna alie mkamilifu unashangaa ubaya wa watu wengine wakati wewe una wako vile vile ambao kuacha umeshindwa
 
Huenda naweza nisieleweke na wengi ila ukweli ni kwamba ufunge au usifunge hamna effect yoyote popote beyond this world hizo ni tamaduni tu
 
Tabia ni mazoea

Tusiwanange

Kuna ambao baada ya mazoea ya kuishi bila madhaifu na machafu kwa mwezi mzima wanajikuta hawarudi tena nyuma. Saa nyingine kutenda mabaya ni mateso ila kuyaacha nayo ni ngumu lakini kwa funga hii kuna wanaofanikiwa kuyaacha

Ramadhani njema ndugu zetu wajukuu wa Ibrahimu
 
Hata manabii walifanya makosa pamoja na kuwa karibu na Mungu, sisi binadamu wa kawaida kufanya makosa kupo, mtu anapofanya jema ni jambo jema, akirudia ubaya tumuonye , hakuna alie mkamilifu unashangaa ubaya wa watu wengine wakati wewe una wako vile vile ambao kuacha umeshindwa
mtu anangoja mwezi mmoja kila mwaka ili afanye jema??? mko serious kweli
ukiamua kuwa mbaya kuwa mbaya l,ukiamua kuwa mwema kuwa mwema
vinginevyo ni unafiki
 
Back
Top Bottom