Uaminifu wa mwanamke hujaribiwa wakati mwanamume wake hana chochote na Uaminifu wa mwanaume hujaribiwa wakati ana kila kitu

Bumpy Johnson

Member
Aug 4, 2022
28
49
Inawezekana kwamba msemo huu unashiria kwamba mwanamke anakuwa na uaminifu mdogo wakati mume wake hana utajiri, wakati mwanaume anapokuwa na kila kitu, anahitaji kujaribiwa kuhusu uaminifu wake kwa sababu anaweza kuwa na fursa nyingi za kuwa na wanawake wengine.

Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kwamba uaminifu sio suala la jinsia, na kwamba watu wote, wanaume au wanawake, wanapaswa kuwa waaminifu katika mahusiano yao. Utajiri au ukosefu wa utajiri haupaswi kuwa na uhusiano na uaminifu wa mtu.

Uaminifu unategemea maadili na kanuni za mtu binafsi, ambazo zinapaswa kuwa msingi wa kila mahusiano. Kwa hivyo, kuna haja ya kufuata kanuni za uaminifu na kuaminiana katika kila mahusiano, bila kujali jinsia, utajiri au hali ya kijamii ya mtu

Je unamtazamo gani juu ya hili, kunaukweli wowote?
 
Mwanamke anatakiwa amwamini mume wake wakati mume anatakiwa ampende mkewe. Mume anaheshimiwa ,mke anasikilizwa.

Kiuumbaji / kwa asili, mwanaume anao uwezo wa kupiga miti kila siku walau mara tatu jambo ambalo ni tofauti sana na mwanamke ambaye akikazwa barabara (vilivyo) ile kisawasawa anaweza kukaa pasi kuwa na hamu ya kufanywa tena kwa takribani siku 7 hadi 30. Suala la uaminifu linaambatana sana na hofu ya Mungu wala si vinginevyo.

Wapo me hawana hela lakini ni mafundi wa kuwabanjua ke hadi unabaki unashangaa. Vilevile kuna ke waume zao wanajiweza sana kiuchumi lakini wake zao hao hao ni wanabanduliwa ovyo ovyo kiasi cha kushangaza


Pamoja na hayo, binafsi namwamini Mungu tu.
 
Back
Top Bottom