Naomba kufahamu wakala mzuri wa kuagiza gari kutoka Nje

Mkuu kuagiza gari unaweza kuagiza mwenyewe kwa njia ya mtandao kutegemea na aina ya gari nchi unayotaka kuagiza gari pamoja na bajeti yako.Jambo la Muhimu ni wewe kufahamu tu kile unachotaka kusaidiwa. Kama unahitaji msaada zaidi tuwasiliane kwa ushauri zaidi.
 
Mbona kuna kampuni..zipo hapa hapa bongo na gari zipo hapa hapa bongo..huna haja tena ya kuagizia japan..mana bei ni sawa kama za japani tu...
za hapa Bongo ujanjaujanja ni mwingi, unaweza kununua gari zilizoibiwa nchi nyingine aukajikuta mikononi mwa interpol, wengi wanatumia magari yao yakishachoka wanapulizia marangi na kuweka chasisi no. na kuyarudisha show room, kwa kifupi ni hatari sana kununua show room za bongo zipo contaminated sana
 
Mbona kuna kampuni..zipo hapa hapa bongo na gari zipo hapa hapa bongo..huna haja tena ya kuagizia japan..mana bei ni sawa kama za japani tu...
Acha kudanganya watu. Waagizaji wote wa Tanzania wanaongeza Milioni au zaidi
 
Back
Top Bottom