Kisheria ni halali Lissu kuchukuliwa fomu na wakala, na wakala pia kurudisha fomu tarehe 19 Julai 2020? Hatakiwi kurudisha mwenyewe?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,889
Kuomba kuteuliwa kugombea uraisi ni kitu sensitive. Mhusika anatakiwa kuwepo mwenyewe. Atie sahihi mwenyewe kwenye forms ambako zipo sehemu hadi za viapo ambazo mwapaji anatakiwa kuwa mhusika mwenyewe sio wakala.

Katiba cha CHADEMA iko wazi inatamka kuchukua fomu ofisi ya chama sio mtandaoni na inatamka kuzirudisha ni ofisi ya chama sio mtandaoni

Katiba ya chadema pia haitamki popote kuwa mtu anaruhusiwa kuchukua fomu kupitia wakala na kuirudisha kupitia wakala kwenye katiba haimo!!!

Lisu anasema atarudi nchini tarehe 28 JULY 2020. Deadline ya kurudisha fomu za ugombea uraisi ni tarehe 19 July 2020 ina maana hatakuweko nchini fomu zikirudishwa. Je, kile kipengele cha kiapo cha kuthibitisha kuwa maelezo yote yaliyoko kwenye fomu na viambatanishi vyake ni sahihi atasaini wakala wake mbele ya katibu mkuu mpokea fomu ya ugombea urais?

Sababu kisheria ile sehemu inatakiwa ijazwe na kusainiwa na mhusika
 
Mwenyekiti wako wa CCM mbona yeye alitafutiwa wadhamini husemi? wewe mambo ya Chadema yana kuhusu nini?
fomu alichukua mwenyewe personally na kurudisha alirudisha mwenyewe personaly na kusaini kiapo personally kuwa contents zote kwenye fomu zake ziko ok

Lisu fomu kachukuliwa na kurudisha hatakuwepo nchini wakala atarudisha yeye personnaly hatakuwepo kusaini eneo la kiapo mbele ya katibu mkuu personally
 
Dunia hii ya leo, wewe haujawahi kujaza fomu online, na kuweka digital signature?
Fomu za ugombea unatakiwa kusaini mbele ya mpokea fomu uki certify mbele yake na mashahidi wakiwepo physically sio digitally ENEO LA KIAPO KUWA YOTE YALIYOMO NDANI YA FOMU NI KWELI NA NI YAKO MWENYEWE

UNA SAINI KWA MKONO WAKO MBELE YA MASHAHIDI
 
Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kawanza ataweza kumuwekea Lissu pingamizi na akamshinda. Watchout!!!
Kweli wewe,unadhani Ni rahis kiasi hicho.Jaribu hata wewe kuweka Hilo pingamizi kwa Mwanasheria Bora Afrika mashariki na Kati.
Lissu hata angeamua kutomtuma mwakilishi angeweza kudownload online kujaza na kurejesha online.Acha kuwa na mawazo mgando.
 
Majibu rahisi ni haya;

1. Kama ni sheria na katiba kutaka hivyo, maana yake itafanyika hivyo kwa mujibu wa sheria na katiba hiyo. Na kwani tarehe 19 imefika...??

Jibu hoja acha kurukia vitu usivyo vijua wewe dada! Hangaika na Lissu wako huko! Usifikiri tumeshasahau mambo yako!

Mbona Lissu tu wakati watia nia tuko 10? Mna nini na Lissu nyie?

Mchakato utafuta taratibu zote za kisheria na kikatiba kisha tukutane field....
 
Majibu rahisi ni haya;

1. Kama ni sheria na katiba kutaka hivyo, maana yake itafanyika hivyo kwa mujibu wa sheria na katiba hiyo. Na kwani tarehe 19 imefika...??



Mbona Lissu tu wakati watia nia tuko 10? Mna nini na Lissu nyie?

Mchakato utafuta taratibu zote za kisheria na kikatiba kisha tukutane field....
Ni msaliti wa nchi ndiyo maana watz wanamuongelea sana!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom