Kuweza kutumia line moja ya wakala kwenye simu zaidi ya moja

agudev

Member
Apr 5, 2016
76
122
Habari za muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza, nataka kujua iwapo kama kuna namna ya kutumia akaunti moja ya uwakala wa simu mf. Tigo Pesa, M pesa, Airtel Money n.k na kuweza kutumia kwenye simu zaidi ya moja.

Kwa sasa ninavyoelewa kwenye upande uwakala lazima line iwe imechomekwa kwenye simu na utaweza kupata huduma za uwakala kwa njia ya USSD pekee.

Je, kuna namna nyingine? labda kutumia App ambayo unaweza kufanya huduma zile zile kwa kutumia internet?
 
Kuna kifaa kinaitwa glocall ukiingia Alibaba utapata details zaidi.. kinakuwezesha kuaccess lakini zaidi ya 3 kwa wakati mmoja ukiwa popote inakuwa connected na WiFi.. so unaweza kumiliki vibanda vya mobile hata kumi kwa wakati mmoja
 
Back
Top Bottom