wakala

  1. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi Watumishi wa Wakala wa Mbegu za Kilimo(ASA) walalamika kuwa hawalipwi posho

    "AGRICULTURAL SEED AGENCY" Hii taasisi imekuwa na ukiritimba sana kuhusu posho za wafanyakazi, Baadhi ya wafanyakazi huwa wanajigharamia wenyewe kwa safari zinazohusu taasisi wakijua kuwa baada ya kumaliza kazi wataandika Madokezo na Kisha kulipwa pesa zao ila hali imekuwa ni chungu sana Kwa...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine.

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000 Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri) Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Vipimo (WMA) mbona mageti yenu ya ukaguzi wa mazao hayazuii wala kupiga marufuku rumbesa? Wafanyakazi wenu wanaongoza kula hongo

    Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila sehemu zenye mizani katika barabara kuu hapa Tanzania. Mfano mizani za...
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: Vurugu zatokea kati ya wakala wa Chadema na msimamizi wa uchaguzi.wananchi waingilia kati

    Vurugu kubwa zimetokea katika mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni kati ya msimamizi wa uandikishaji wa mtaa huo na wakala wa chadema na baadhi ya wananchi baada ya msimamizi huyo kutaka kumtorosha muandikishaji wa daftari bila ya kuonyesha idadi ya waliojiandikisha wakiwa na lengo la kwenda...
  5. rich1

    JamiiForums Tanzania KERO Makato mapya ya shs 1,000/= kwa wakala wa CRBB Bank kuhamishiana floats

    Salama ndugu zangu napenda nitoe duku duku langu kwa sisi mawakala wa CRDB. Kuna utaratibu mpya CRDB Bank wameunzisha kwamba huwezi kumtumia wakala mwezako floats kwa free charge. Nipende kuwaambia hii ita didimiza biashara ya uwakala wa CRDB. Napenda niwape maoni yangu ili muweze kuboresha...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli CHADEMA wana idadi ya mawakala 55 tu kwenye vituo vyote 666 jijini Dodoma?

    Jinsi wanavyosema kuwa wamejipanga vyema kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa lakini takwimu zinawasuta. Kutokana na taarifa ya msimamizi wa uchaguzi jijini Dodoma CHADEMA wana mawakala 55 tu katika vituo 666 vilivyopo Jijijni Dodoma. Ndugu zangu CHADEMA mkajipange upya vinginevyo...
  7. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wanaume halisi nje ya hapa ni mvulana

    Sifa kuu ya Wanaume ni kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbalimbali yahusuyo maisha na hata kuhusu mwanamke hatari hapo kitaa. Lakini hawajuani majina halisi. Utasikia wakiitana, Bro, Mzee...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanga kaweka 6 simba anawekwa ngapi niko pale kwa wakala:;;;

    Mjomba najua uko huku unasomaq Nikukumbushe tyu ile safari yyeti ya kila siku sijui makundi sijui lwenda robot Inaishia leoo Mjomba nisamehe sana sijaandika kaa uchungu bali nimewaza tu kama yanga walipiga 6 Leo mnawekwa ngapi Mjomba jpili njema
  9. nipo online

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Voda amedukua laini yangu na kuiba mamilioni

    Picha imeanza hivi alipita wakala hapa maskani akidai anaweza kuiwezesha laini na kua five G yani hata niwe kijijini mimi nitatamba tu. Nikampa simu yangu ili aapdate mafaili kama alivyoniambia, alivyomaliza hakutaka nimpe hela akasema yeye anapewa kwa kamisheni. Akaondoka mara tu nikapiga...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Badili laini yako ya kawaida kuwa ya Uwakala

    Tunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu) Vigezo na mashariti 1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA 2. Uwe na TIN number Huduma popote ulipo Tanzania inakufikia, Malipo baada ya Kazi au Unaweza kuja Kigamboni. Whatsapp...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Vipimo (WMA) kufanya uhakiki wa Mita za Umeme, Maji na Mabando ya Simu

    Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa. Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Air Tanzania ~ Comoro wakutana na balozi Yakub

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakub amekutana na kufanya mazungumzo na wakala rasmi wa Air Tanzania hapa Comoro ComAir waliowakilishwa na Ndugu Kamarouddine Waziri Zamane pamoja na Maafisa wa ATCL walioko Comoro Bi. Esther J Mahiga na Bw. Boudra Fahit. Mazungumzo yao...
  13. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Wakala wa vinywaji vya MO.

    Natafuta wakala was vinywaji baridi hasa kampuni ya Mo.Nahitaji wakala aliyepo maeneo ya Kariakoo,Muhimbili ma maeneo ya jirani.Nipigie 0747464239
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakala wasukari kg50 sukari ya nje yanchi

    Habar wakuu wapi ntapata wakala mkuu sukari yakilo 50 ya kutoka nje Ile ..kwa dar es salaam au mwanza nani wakala mkuu
  15. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Wakala kuomba simu yako kuhakiki

    Hivi ni sahihi kwa wakala kuomba simu yako ya mkononi kuangalia sms ya muamala kama imeingia? Binafsi mimi naona ni kuvunja privacy au taarifa za siri za mtu kwani sms ya muamala inaonyesha kiasi kilichobaki kwenye account ya mteja. 1: mteja alietoa hela na kubakiza kiasi kikubwa sana kwenye...
  16. Nyamboboy

    JamiiForums Tanzania Kuhusu NMB wakala

    Habari za wakati huu. Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni wakala wa NMB,Nataka kutoa malalamiko yangu kwa Bank hii kuhusu kamisheni tunazopewa kwa kazi ya uwakala ukilinganisha na hela wanayokatwa wateja wetu.Nashindwa kuelewa kwa nini bank hii inawakata wateja hela kutwa wakiwa wanatoa pesa ila sisi...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Wakala wa rangi za nyumba (plascon)

    Habari karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira Karibu sana mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms Whatsapp 0715 128 827
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kwagilwa Nhamanilo alishauri Bunge na Serikali TANROAD Iwe ni Mamlaka Kamili Badala ya Kuwa Wakala Ili Kuondoa Urasimu

    "Taasisi ya Usimamizi wa Barabara (TANROAD) imekuwa na mafanikio makubwa lakini zipo changamoto ambazo lazima tufanye mapinduzi. TANROAD kwa takribani miaka 20 wameshindwa kujenga Barabara ya Korogwe - Handeni - Kilosa - Mikumi (B127) inayounganisha Mkoa wa Tanga na Morogoro" - Mhe. Kwagilwa...
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Huyu binti wakala kahaha baada ya kuona jina la ninayemtumia pesa ni mwanamke

    Huyu wakala ni jirani yangu, kila muda ninapotaka kufanya miamala ya kipesa huwa nafanyia kwenye ofisi yake Huyu binti nadhani hana moyo wa kupenda, na sidhani kama amewahi kumuonesha mtu dalili za kumpenda licha ya uzuri wa sura na rangi aliokuwa nao. Tumempachika jina na kumuita Wakala Eunice...
  20. Surya

    JamiiForums Tanzania CRDB bank ni noma, mashine pekee ya wakala wananipa kwa milioni moja

    Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benki ya CRDB Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi nilishikwa na mshangao kwanza, hiyo mashine ni single purpose nailipia M.1... khaaaaa Na tozo za nchi hii...
Back
Top Bottom