Ushauri: Eneo gani kwa Dar linafaa kwa biashara ya car wash?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Hello 👋

Natarajia kupata pesa kiasi, fulani sasa nilikuwa natamani kufungua biashara ya car wash.

Napenda nijue ni eneo gani kwa Dar litafaa kwa car wash, na je, eneo hilo linakodishwa bei gani kwa mwezi? Pia vijana wa car wash wanalipwa bei gani kwa mwezi? Na vifaa vitanigharimu bei gani au nijipange na kiasi gani?

Nipo hapa nasoma comment
 
Maeneo yote dar yanafaa kwa carwash
Ni wewe tu jinsi ya kujipanga

Pitia mguu kwa mguu carwash 5 ufanye
Investigation zako
Sawa na vijana wale wanalipwa bei gani si vyepes mtu ukamuuliza mshahara wake akajibu
 
Back
Top Bottom