Nokia ni kampuni ya Kifinland iliyozinduliwa mwaka 1865. Hii ni kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na mawasiliano na teknolojia ya taarifa. Makao makuu ya Nokia yako Espoo, Finland. Kampuni inafanya kazi katika zaidi ya nchi 100 na ina wafanyakazi takribani 130,000 duniani kote. Nokia...
Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani, ambapo wanaume huishi wastani wa miaka 79 na wanawake miaka 84.
Tofauti hii ya miaka mitano kati ya jinsia inaonyesha hali bora ya huduma za afya, lishe, na mtindo wa maisha unaojali afya.
Maisha marefu ya raia wa...
Tulifundishwa kuwa Kuna milango mitano ya fahamu.na Kila mlango una kazi maalum
1.macho : Kuna
2.sikio : kusikia
3.pua: kunusa
4.ukimi : kuonja
5.ngozi : kuhisi
Linapokuja swala la tendo la ndoa ,hapa kinachofanya kazi ni ubongo ,uke na ume
Uke na ume vina ngozi .viunge hivi havina uwezo wa...
Je wajua Jina la Mozambique limetokea wapi??? Limetokana na mtawala na mfanyabiashara wa kiarabu kutoka Oman ambaye jina lake lilikuwa Musa Bin Bique na eneo aliokuwa anatawala lilikuwa pwani mwa kazkazini kama Maeneno ya Tanzania na Kenya yaliyokuwa chini ya Sultanane ya Oman. Kwaiyo Musa Bin...
Katika ulimwengu wa wanyama si kila ugonjwa au majeraha huwatuma kwa daktari kwa sababu hawana! Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, wanyama wengi wamekuwa wakitumia njia zao asilia kujitibu au kupunguza maumivu wanapoumia au kuugua.
Kwa mfano:
Nyani walionekana wakila majani fulani ambayo...
-Panya Hawezi Kutapika.🐭
-Nyoka anaweza kulala kwa miaka 3.🐍
-Asali ndio chakula pekee kisichoharibika.🐝
-Twiga hawawezi kuogelea.🦒
-Nyoka hawasikii.🐍
-Mchwa hawawezi kulala.🐜
-Hedgehog hawazami majini.🦔
-Dubu wa polar wana mkono wa kushoto.🐻
-Nzi wana macho 5.🦗
-Pomboo hulala na jicho moja...
Simanjiro kule kumeisha anza kuchangamka, Mwarabu kaanza kukabidhiwa mapema sana maeneo.
Hata sakata la Olesendeka kutaka kupigwa risasi lilikuwa na uhusiano na sakata la Pori la akiba kule Simaniro kupewa Mwarabu.
Kipande alicho pewa ni kinacho pakana na Kilindi, hii ni treal move kamili ni...
Wadau wa JamiiForums,
Ngoja niwanyooshee huu uzi straight kama line ya sare za jeshini, maana watu wengi bado hawajastuka kuwa lugha za kigeni ni life-changer. Si mapambo ya CV, si mbwembwe za kujionesha Instagram, ni fursa halisi za kutokea mitaa hadi ulaya bila hata passport kuvuja jasho...
Haya twende kazi,
1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine.
2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu.
3. Hawa hawapendi kujibebisha wala kubebishwa, wengi wao ni mabandidu toka ndani ya sakafu ya roho zao, ni watu wakuchukua...
Wanabodi
Utangulizi,
Hili ni bandiko elimishi la kuelimisha watu humu dhana ya uwajibikaji kwa watumishi wa umma.
Je wajua kuwa mwajiri mkuu wa watumishi wote wa umma nchini Tanzania,wakiwemo watumishi wote wa serikali,Bunge,Mahakama,wizara,idara,na wakala za serikali,na mashirika yote ya...
Wanabodi
Leo tena naendelea na zile mada zangu za holistic approach kumtumia Mungu kwenye kufundisha mambo ya uchaguzi wetu wa mwaka huu ili twende kwenye uchaguzi mkuu ambao sio tuu ni uchaguzi huru na wa haki,bali pia uchaguzi wenye upendo,utulivu na amani!。
Mada ya leo ni kufundisha kuhusu...
Sababu za watu kuwa na "roho mbaya" ni ngumu kuelezea kwa jibu moja rahisi, kwani ni mchanganyiko wa mambo mengi yanayohusika. Hivi ni baadhi ya sababu zinazowezekana:
1. Mfumo wa Kisaikolojia na Kibiolojia:
Hali ya Akili: Watu wanaweza kuwa na matatizo ya akili kama vile ugonjwa wa...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana...
Kabla ya mwaka 1582, jamii nyingi zilikuwa zinaadhimisha mwaka mpya tarehee 1 Aprili. Kumbuka karne hiyo papa alikuwa na nguvu kubwa ya kuamua chochote. Mnamo mwaka 1582, papa Gregory XIII akaamua kubadilisha kwamba mwaka mpya utasheherekewa inapofika tarehe 1 Januari.
Kuna watu hawakukubaliana...
Fahamu baadhi ya Faida za Kuziba meno Yaliyotoboka
1. Meno Yaliyotoboka iwapo yatazazibwa yanadumu miaka 7-10
2. Utazuia meno yasiendelee kuharibika
3. Ubora na uimara wa jino halisi utaongezeka
4. Jino Litakuwa na uimara kama mwanzo
Iwapo una changamoto za Afya Kinywa na Meno Unaweza...
Amani itawale.
Watu wa taifa la Thamud walipata kuishi katika nchi/mji uliofahamika kama Al-Hijr kaskazini magharibi mwa taifa la Saudi Arabia hivi leo.
Ni watu waliokuwa na nguvu sana na utimaku wa viwiliwili ,walikuwa na maarifa mengi ya ujenzi kiasi kwamba majumba yao waliyajenga kwa...
Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo zimetumika kujenga shule, hospitali, barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo.
Mpaka sasa Tanzania ina...
Wasiliana nasi leo Kwa WhatsApp no 0656965704 Tukusaidie kuipa Biashara Yako Maisha.
Huduma Zetu ni:
Logo design
Poster design
Flyers design
Kadi za mialiko na Harusi
Business card design
Banners design
Cv design
Social media post template
Karibu Tukuhudimie Leo..
Bila kupoteza muda twende kwenye mada Kwa kunukuu moja ya sehem ya barua ya bodi ya ligi;
""Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maOfisa wa mchezo na vyanzo vingine, Kamati ilibaini kuwa klabu ya Simba,
Wakati ikielekea kutumia haki yake iliyoainishwa kwenye kanuni ya 17:45 ya ligi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.