wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wamewaombea Wafanyakazi nyongeza ya mishahara siku ya Mei mosi, lakini maombi hayakufika juu

    Leo niliona viongozi wa vyama vya wafanyakazi katika maandalizi yao waliweka viongozi wengi wa dini kuzidi hafla zozote zilizowai fanyika hili hawa viongozi wafikishe maombi kwa Mungu ya maslai bora, mishahara juu kazi iendelee lakini imekuwa tofauti sijui vipi. sijajua kama tatizo liko wapi.
  2. JamiiForums Tanzania Kama Taifa ifikie nyongeza ya mshahara iwe inadaiwa mahakama kuu pale serikali inapowanyima wafanyakazi bila sababu za msingi

    Kwanza kabisa watanzania wanatakiwa kutambua kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara unaostahili kukidhi mahitaji ya msingi. Ibara ya 23(2) imetamka wazi kuwa watanzania wanaofanya kazi wanatakiwa wapate just remuneration. Hivyo kupata mshahara unaostahili ni takwa la kikatiba na ni...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Jenister Mhagama na Damas Ndumbaro hawana upendo kwa wafanyakazi kabisa

    Kwa miaka 6 Jensiter na Ndumbaro wamekuwa wakishikilia portfolios muhimu sana za kuangalia maslahi ya wafanyakazi. Hata hivyo mpaka sasa hamna chcochote cha kujivunia wanachoweza ongea kuhusu wafanyakazi. Jesnister tangu akute ile Wage Order ya mishahara ya watu wa sekta binafsi ya Mwaka 2013...
  4. JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2021 itukumbushe wafanyakazi wa Tanganyika chini ya mkoloni

    MAY DAY TUWAKUMBUKE WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA YA MKOLONI Toka jana nilikuwa nawaza niandike nini kuhusu May Day na Wafanyakazi. Ikawa nimekwama. Siku hizi kuna Kiswahili vijana wanasema, ''mara paa,'' nikaona video ya Paul Makonda anasema kama katika maandamano ya May Day angeona bango la...
  5. JamiiForums Tanzania TUCTA genge la wanyag'anyi lisilo na msaada kwa watumishi wa wafanyakazi. Linatakiwa kupungwa na kufumuliwa upya.

    Hili shirikisho la vyama vya wafanyakazi hapa nchini Tanzania ni wala michango ya wafanyakazi pasipokuwa na msaada wowote kwa wafanyakazi, kwa ujumla ni wanyag'anyi wasio na msaada kwa wafanyakazi. Kwa zaidi ya miaka sita wafanyakaz wanapigwa sound na viongizi wa nchi huku hali na ughali wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Wafanyakazi zimejaa malalamiko na makasiriko dhidi ya serikali, zimejaa uzuni na maumivu

    Hotuba za wafanyakazi zimejaa malalamiko na makasiriko dhidi ya serikali, zimejaa uzuni na maumivu. Wanasoma hotuba Kama hizi kwa mara ya Kwanza toka mwaka 2016 ndoto zakuandika uhalisia wa Watumishi zilipozimwa rasmi. Kwa namna zilivyoandaliwa ni Kama wanamategemeo makubwa na Rais mpya bila...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais ana Mafua? - Nimemsikia anakohoakohoa wakati anahutubia Wafanyakazi

    Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imesikika kama imeathiriwa na Mafua huku akikohoa hapa na pale! Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo. Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania PAYE kwa Wafanyakazi imepunguzwa kutoka 9% hadi 8%. Kodi kwenye marupurupu imeondolewa; hatua hii itaongeza mshahara!

    Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8% Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa. Kazi Iendelee!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

    Asante mama
  10. T

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku Kuu ya wafanyakazi duniani, nchini Tanzania Kauli Mbiu ya Mei Mosi 2021: “Masilahi Bora, Mishahara Juu, Kazi iendelee”

    Heri ya siku kuu ya wafanyakazi! Hii ni siku iliyobeba matumaini makubwa kwa wafanyakazi wote Tanzania. Baada ya kupandisha mishahara kwa mara ya mwisho July 2015 (by Kikwete) ni takribani miaka 6 sasa wafanyakazi wameambulia patupu. Matarajio kutoka kwa Rais: 1. Kuhimiza kufanya kazi kwa...
  11. JamiiForums Tanzania TUHUMA: DED Karatu adaiwa kuwanyanyasa na kutamba kuwafanya chochote Watumishi bila kufanywa chochote

    Huyu ni DED wa wilaya ya Karatu. Anaitwa Waziri Morice. Ananyanyasa sana watumishi wa Serikali katika wilaya yake na anavyowanyanyasa anatamba kuwa anaweza kuwafanya chochote na watumishi hao wasimfanye chochote wala kumpeleka popote. Baadhi ya Mambo ambayo amekuwa akiyafanya: 1. Amekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania TAMISEMI imulikeni wilaya ya Kilindi inachonganisha wafanyakazi na Serikali

    Waziri wa Tamisemi Madam Ummy, kama kuna wilaya inayoleta uchonganishi katika mkoa wa Tanga kati ya wafanyakazi na serikali yao basi ni wakuu wa idara ya wilaya ya Kilindi. 1. Wakuu wa shule wanalazimishwa kutoa pesa kwa kila mihutasari wanayopitisha, yaani lazima utoe kitu kidogo ili muhtsari...
  13. JamiiForums Tanzania Mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao

    Nchi yetu inasifika kwa kuwa na waajiri wasiowaaminifu. Hili mimi mwenyewe nimejionea. Sasa basi, ili kusaidia kukomesha hili tupeane mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao. Weka kazi yoyote, uhasibu, ualimu, mabaa medi, fundi ujenzi, udereva nk. Wizi sio lazima pesa, weka wezi...
  14. JamiiForums Tanzania Ubalozi Marekani watahadharisha raia wake nchini Tanzania kuhusu kimbunga Jobo

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam. Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Katiba inasema Mbunge akifukuzwa uanachama Ubunge wake unakoma, ni nani anawalinda Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA?

    Hakika inashangaza sana kuona baadhi ya Viongozi wetu Walioapa Kuilinda Katiba lakini ndio Wanaikanyaga kwa Makusudi tena Hadharani.Kwa Mujibu wa Katiba tuna aina mbili za Wabunge Wakuchaguliwa na Wakuteuliwa. Na ili uwe Mbunge lazima uwe Mwanachama wa Chama cha Siasa. Moja ya Sababu za kukoma...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Binafsi nimesikitika sana kwa tabia iliyozuka ya Waziri anakuwa na mamlaka ya kutumbua watumishi bila kufuata utaratibu

    Leo katika kipindi cha magazeti yetu asubuhi nilisikia taarifa ya kutumbuliwa watumishi sita wa Mwaruwasa- Morogoro na Mhe. Waziri wa Maji. Binafsi nimesikitika sana kwa tabia iliyozuka ambapo Mhe. Waziri anakuwa na mamlaka ya kutumbua watumishi bila kufuata utaratibu uliowekwa katika Utumishi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Rais Samia ametuandalia futari Wabunge na Wafanyakazi wote wa Bunge siku ya Alhamisi 22/04/2021

    Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge. Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni Chanzo: Eatv Habari Ramadhan Kareem!
  18. JamiiForums Tanzania Hivi CCM bado chama cha wakulima na wafanyakazi? Polepole alikidhalilisha chama

    CCM ilipo asisiwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Ndio maana nembo yake kwenye bendera kuna nyundo kwa wafanyakazi na jembe kwa wakulima. Filosofia ya CCM ni ya kiujamaa pamoja na kuukaribisha uchumi wa biashara huru. Siku hizi ndani ya CCM hakuna Political Theorists wa kuelezea mlengo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo alia na malipo makubwa bodi ya mikopo na serikali kutopandisha mishahara ya wafanyakazi

    Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15% Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Sisi mpinzani wetu siyo vyama vya siasa ni changamoto za Watanzania

    “Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa miaka mitano hawajapanda madaraja, leo ukizungumza kuhusu bodi ya mikopo unaona sheria ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…