wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wafanyakazi wote wa Serikali watakiwa kupata chanjo, la sivyo wajiuzulu

    Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu. Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha Kibinafsi nchini humo, ZiFM Stereo, kuwa Wafanyakazi wa Umma wana wajibu wa kuwalinda wengine dhidi ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi

    CCM inajidhirisha kwamba ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi na hiyo ni baada ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo kuagiza Serikali kununua mahindi yote zaidi tani 100,000 katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini baada ya bilioni 14 zilizotolewa awali kununua tani 24,000 za mahindi kuisha...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Alpha Homes inahitaji wafanyakazi wawili (Accountant na Civil Technician).

    Alpha Homes ni kampuni inayohusika na ukarabati wa nyumba yenye ofisi zake mtaa wa Ohio (Posta) jijini Dar es Salaam. Ili kufanikisha malengo yetu tunahitaji wafanyakazi wawili ambao ni Accountant na Civil Technician. Sifa za waombaji; 1) Muombaji awe na elimu ya ngazi ya Diploma kwenye fani...
  4. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Labda nifukuze wafanyakazi wangu nikuajiri wewe

    Nikiwa kati kati ya interview nzito, Mara ghafla simu ya HR ikaita, akaipokea huku akisikiliza kwa makini anachokiongea mpiga simu, akamjibu mpiga simu kuwa "labda niwafukuze wafanyakazi wangu nikuajiri wewe" hiyo kauli mpaka leo haijafutika kwenye akili yangu tangu niisikie akijibiwa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi ( staffs) wa NMB bank wanapwaya sana kujua huduma za mwajiri wao

    Habari wadau. Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao. Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa NMB Bank wanapwaya kwenye kuelimisha wateja kuhusu products zao

    Habari wadau. Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao. Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hongera CMA kwa kuendesha kesi na Migogoro Makazini kwa weledi

    Leo tarehe 19 Agosti, 2021 nimeweza kusikiliza kipindi cha CMA - Commission for Mediation and Arbitration kilichorushwa na TBC. Katika mahojiano hayo yaliyoendeshwa na Lusekelege Mpula wa CMA ambae ni Afisa Mfawidhi wa CMA Kanda ya Dar, ameweza kueleza ni jinsi gani CMA imejikita kuhakikisha...
  8. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Riziki ya Bosi Upitia Kwa Wafanyakazi Wake

    Habari zenu wakuu, mnaendeleaje na hali Jamiiforums imekua nikisima cha maarifa mbalimbali kutoka kwa members wake wenye uzoefu katika nyanja kadha wa kadha. Ukitaka ILIMU mbalimbali utapata Biashara, busara, Ndoa,Ulozi na hata kula tunda kimasihara. Leo nimesikia hili jambo mahala, kwangu...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Amazon kurejea ofisini Januari 2022

    Amazon imesema inalenga kuchelewesha kufungua Ofisi zake hadi Januari 03, 2022. Awali, walitarajiwa kurejea Ofisini Septemba 07 lakini hatua hiyo itasogezwa mbele huku masuala yote yanayohusu COVID-19 yakiendelea kuangaliwa kwa karibu. Uamuzi huo umekuja wakati kuna ongezeko la wanaolazwa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa AKM Glitters tunaomba tulipwe haki zetu. Wizara husika mtusaidie

    Kampuni ya Akm Glitters tunaomba mtulipe haki zetu wafanyakazi wenu. Yapata miezi mi 5 na wengine miezi 8 hatuja lipwa mishahara yetu. Tume jaribu mara kwa mara kuomba huongozi taarifa juu ya swala hili ila huongozi upo kimya. Baadhi ya wakuu wa kampun kutoa lugha za kajeri na dharau. Baadhi...
  11. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya Ubaguzi: Wafanyakazi the Guardian walalamika Wahindi kununuliana magari huku wafanyakazi wakilazimishwa kuwa vibarua

    WAFANYAKAZI wa The Guardian ambao baadhi hawajalipwa mshahara wa mwezi wa tano kutokana na matatizo ya kibiashara wameshangazwa na hatua ya meneja mkuu, bwana Srinivas Chintaluri kumnunulia gari ndugu yake Bw Balaji Balasubramaniyan ambaye ni Mkurugenzi wa Teknohama aina ya Toyota Sienta lenye...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hatua ya BOT kuhakikisha riba inayotozwa na mabenki inashuka, inahusu na riba ya mkopo ya wafanyakazi itayotolewa na Mabenki ya Biashara?

    Nimesoma taarifa ya BOT inayoongelea kushusha riba kwa wakopaji katika mabenki ya kibiashara lakini nimeshindwa kuelewa kama punguzo hilo litagusa mikopo inayotolewa na mabenki kwa wafanyakazi Nauliza hivi kwasababu taarifa ya BOT inaongelea punguzo kwa sekta binafs pamoja na sekta ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya wafanyakazi na watumishi iendane na kiwango cha elimu, ugumu wa kazi au kiwango cha kazi anachofanya mhusika

    Elimu ni uwekezaji kama aina nyingine za uwekezaji hivyo muwekezaji anategemea kupata faidia baadae, ila kuta baadhi ya taasisi au mashirika, mtu ana shahada ila analipwa mshahara wa astashahada. Au unakuta sehemu mtu ana elimu ya dalasa la saba ila analipwa mshahara zaidi ya mtu mwenye...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Posta yataka vyama vya wafanyakazi kuhimiza wafanyakazi kutimiza wajibu wao

    Kaimu Postamata Mkuu Macrice Daniel Mbodo amewataka viongozi wa vyama vya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania kushirikiana na uongozi wa Shirika katika kuhakikisha wafanyakazi wanatimiza wajibu wao katika utekelezaji wa malengo ya Shirika. Wito huo umetolewa tarehe 17 Julai, 2021 alipokuwa...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa Magazeti ya Musiba wasema Musiba ni mhuni

    Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu. Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu. Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia...
  16. logan007

    JamiiForums Tanzania Msaada: Makato ya NSSF kwa wafanyakazi wenye basic salary ya Tshs. 300,000

    Habari, Naomba kujuzwa kwa anaejua, je kiasi gani kwa mwenye basic salary 300,000 anakatwa na NSSF?
  17. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Serikali ina taarifa kuwa Mabenki yanapunguza na kufukuza wafanyakazi?

    Waziri anayehusika na kazi anayo habari kuwa mamia ya wafanyakazi katika mabenki mbali mbali hapa nchini wamepoteza ajira kwa kufukuzwa? Walianza Access, Finca na sasa Stanchart na mengine binafsi isipokuwa yanayomilikiwa na serikali. Kibaya zaidi wafanyakazi wanalipwa mafao duni na wengine...
  18. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania FAIDA ZA EAC: Tanzania tunapokea wafanyakazi & wanafunzi wengi zaidi kutoka nchi wanachama kuliko nchi nyingine

    Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 kwa wafanyakazi wa Mashirika ya Kimataifa yaliyoko nchini iratibiwa na nani?

    Baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hasani kuruhusu chanjo ya COVID-19 nchini baada ya kushauriwa na watalaamu wetu, na kwamba mashirika ya kimataifa yalioko hapa nchini yanaruhusiwa kufanya chanjo hiyo kwa wafanyakazi wake. Sasa kitu ambacho sijakielewa/Sikifahamuni kuwa je ni hospitali gani...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania MUCE yawataka Wanafunzi na Wafanyakazi kuchukua tahadhari za Ugonjwa wa COVID-19

    Kutokana na mlipuko wa tatu wa Ugonjwa wa COVID19 kuripotiwa Mataifa Jirani, Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wake kuchukua tahadhari Chuo hicho kimetoa rai ya uvaaji barakoa, unawaji mikono kwa maji tiririka, matumizi ya vitakasa mikono na...
Back
Top Bottom