wachina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Wachina watembelea makumbusho ya visukuku ya Chengjiang na kujionea muujiza na mvuto wa viumbe wa kale

    Tarehe 28 Juni huko Yuxi mkoani Yunnan China watu waliingia katika Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang ili kuchunguza asili ya maisha na kujionea mwujiza na mvuto wa viumbe wa kale. Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang linahifadhi zaidi...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto asema atawafukuza Wachina akishinda Urais wa Kenya

    Mgombea wa Urais Nchini Kenya, William Ruto ameahidi kuwafukuza Wachina wote wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wazawa, iwapo atashinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, 2022. Amesema kuna Wachina wanaouza mahindi ya kuchoma na simu mtaani nchini humo. "Kuna wachina wanauza...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kujengewa Chuo na Wachina wafundishe Ukommunist kwa Vyama Tawala - China’s political party school in Africa

    Nimeona hiki kichwa cha habari kidogo kikanistua, yaani Nchi ya China ijenge Chuo kwa vyama tawala kufundisha siasa ya uongozi wa kikommunist? Sasa hapa upinzani upo wapi? Democracy si ndiyo inakufa? Ukoloni wa pili? Hivi position ya Afrika kujitawala yenyewe bado ipo? China’s political party...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wahisani Wachina watoa matumaini kwa vijana wanafunzi kwenye makazi ya mabanda nchini Kenya

    Wahisani wachina wanaendelea kuwapa matumaini wanafunzi vijana wanaosoma kwenye shule ya Mcedo Beijing iliyopo kwenye eneo la makazi ya mabandaduni la Mathare mjini Nairobi. Watoto hao wanaotoka kwenye mazingira magumu wamejiunga na shule hiyo kutokana na hisani ya wachina na sasa wanaweza...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika wakiona Wanaijeria wanapiga hatua wanalalamika kuibiwa fursa ila hawalalamiki kuhusu Wahindi, Waarabu, Wachina, n.k?

    Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana. Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
  6. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Unaofanywa na Wachina

    Nikiwa na mamlaka ya kutoa tenda, sitatoa tenda ya ujenzi kwa niaba ya taifa kwa kampuni yoyote ya Kichina. Hata kama pesa zinatoka kwao, nitawaambia warudi nazo kwao. Katika thread hii nitatoa mifano mingi sana ya ujenzi unaofanywa na Wachina ambao unahatarisha maisha ya watu; kwa bahati nzuri...
  7. wazanaki

    JamiiForums Tanzania Kwanini chuki kubwa inapelekwa kwa Wachina japokuwa hawakututawala?

    Wakuu hebu leo tuongelee hili swala. Katika mitandao ya kijamii tunaweza ona anti China movement ni nyingi kuliko anti west movements. Au ni kwa sababu wachina wako simple. Kwanini tuna attack sana wachina japokua wote tunajua historia na tunajua ni nini tulifanyiwa, nani alitufanyia na...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tunaachana na Wachina 'tunajibebisha' kwa Wamarekani ili Waichukue Bagamoyo kama walivyoichukua Kigamboni?

    Kwakuwa mmeamua hivyo siyo mbaya!!!
  9. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Utesaji wa Wachina kwa Waafrika kwa kigezo cha Uwekezaji

    Wawekezaji wa kichina wamekuwa Wakiwatesa sana Wafanyakazi Wao wa kiafrika. . Kwenye hii video inaonesha mchina akimpiga mfanyakazi wake huku akisaidiwa na Mtu mweusi. . Inasemekana mchina na Huyo Msaidizi wake wamekula mvua na mahakama ya Rwanda. . Unyanyasaji Huu uko sehemu kubwa sana barani...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Zifahamu (Siheyuan) nyumba za asili za Wachina

    kwa wale wapenzi wa kungfu movies watakuwa wameona sana hizi nyumba. Hili neno Siheyuan maana yake nyumba iliyojengwa pande nne, ikiwa na courtyard katikati. Nyumba kubwa inakuwa ya baba mwenye nyumba. Nyuma yake nyumba za wasichana. Pembeni, nyumba za watoto wa kiume. kwa mbele ni nyumba za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye operesheni ya mashine bubu za kamari mitaani, Wachina wanahujumu uchumi

    Jana nilipita maeneo ya Kigamboni, nikaingia uchochoroni sehemu moja karibu na msikiti wa Feri upande wa Kigamboni nikaona mashine moja ya Kamari uchochoroni kabisa, katika kibanda kisicho na hadhi hata kidogo, kimefichwa ndanindani. Mchina mmoja akaifungua, akatoa machenji kibao ya shilingi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ninaiomba TBS isimamie ubora wa vigae vinavyotengenezwa na viwanda vya wachina hapa nchini

    Wananchi wengi kwa sasa wanatumia vigae vinavyotengenezwa na viwanda vya Wachina hapa nchini lakini jinsi inavyoonekana vigae hivi havina ubora unaohitajika na havidumu kwa muda mrefu tofauti na vigae vinavyotoka Spain, Uturuki na Italy. Ni vyema sasa Tanzania Bureau of Standards(TBS)...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Imani kubwa ya Wachina kwa Serikali yao imethibitisha nini?

    Shirika kubwa zaidi la mahusiano ya umma duniani la Edelman, hivi karibuni limetoa ripoti ya mwaka 2022 ya “Edelman Trust Barometer”, ikionesha kuwa imani ya Wachina kwa serikali yao imefikia 91%, na kushika nafasi ya kwanza duniani. Katika miaka ya karibuni, nchi za Magharibi zimekuwa...
  14. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Springs city garage (wachina) ya Mwanza, huduma zao ni bora? Kunyoosha bodi ya gari

    Wakuu, salaam. Naomba kujuzwa ubora na ufanisi wa kazi za Springs city garage (Wachina) kwenye unyoshaaji wa bodi ya gari. Jijini Mwanza. Kwa mwenye uzoefu nao, please share nasi hapa. N.B: nahitaji contact number ya springs city garage (wachina) in Mwanza.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Wachina huko kwa wenzetu - Zambia

    Hebu pata muda uone hawa wenzetu walivyoruhusu uwekezaji wa China kustawi huko Zambia
  16. Sijali

    JamiiForums Tanzania Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base)

    Habari zinazotembea hivi sasa ni kuwa punde hivi Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base). Kama ilivyoomba nchi kadhaa ikiwemo UAE, Pakistan, Tajikistan (UAE imekwishawapa). Najua ombi hilo likifika Tanzania kuna wale watakaosema 'lakini...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wachina na bara la Afrika, urafiki gani huo?

    The second colonization of Africa: CHINA'S EVIL PLAN FOR AFRICA By the year 2050, according to the metrics of continental geopolitical ethnography, Africa will become a Chinese continent. African leaders, instead of setting up a "sinking fund" are just happy to revel in their own batty. Fact...
  18. junky

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda China wakanusha vikali kuhusu kupora uwanja wa Ndege Entebbe nchini Uganda

    Wadai ni kelele chache zinazopigwa kuzorotesha mahusiano ya China na Uganda JamiiForums mobile app
  19. badison

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yasalimisha umiliki uwanja wa ndege Entebbe kwa Wachina

    Kwa huzuni kubwa Serikali ya Uganda imeshindwa kulipa deni kiasi cha dola kilioni 207 na kupelekea kutaifishwa uwanja wao wa ndege walioweka bondi. Iwanja wa Entebe sio mali ya Ugamda tena. Wachina wawetwaa uwanja wa ndege wa Uganda hii ni wazi watu weusi uwezo wetu ni mdogo sana. Walianza...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Wachina hebu kuweni serious

    Kwema job seekers wenzangu? Kuna mchina kani-check somewhere, kaniambia nimtumie CV yangu kuna kazi za sales zinahitaji watu, nimemtumia cv yangu fresh,In return akanitumia job description ya kazi husika ndio nikaona huo mshahara anaotaka kunilipa. Ofcoz nina uhitaji wa kazi ila nimemjibu...
Back
Top Bottom