Ninaiomba TBS isimamie ubora wa vigae vinavyotengenezwa na viwanda vya wachina hapa nchini

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Wananchi wengi kwa sasa wanatumia vigae vinavyotengenezwa na viwanda vya Wachina hapa nchini lakini jinsi inavyoonekana vigae hivi havina ubora unaohitajika na havidumu kwa muda mrefu tofauti na vigae vinavyotoka Spain, Uturuki na Italy.

Ni vyema sasa Tanzania Bureau of Standards(TBS) kusimamia ubora wa vigae hivi ili wananchi wapate vigae vyenye ubora katika ujenzi wa nyumba zao.
 
Vinadumu kutokana na ela yako kama manufacture Warranty ni one year unatakiwa after a year utoe ukaweke vipya.
 
Kama mavaz tu toka China wameshindwa simamia wataweza hvyo vigae?

Mfanyakaz wa tbs anavaa kadet ya kariakoo ambayo ukifua TU inapauka analalamika na yeye wachina wanauza nguo feki Sasa Kama yeye analalamika mfanyakaz wa tbs je mm nikalalamike wapi?

Bongo professionalism n zeroooo
 
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
aisee
 
Mchina anatengeneza kulingana na nafuu ya bei yako.
Pili mambo ya kufunga ndoa na gari, furniture, sijui tiles ni ya kizamani unaweka miaka 3 unatoa unaweka vingine
 
Back
Top Bottom