Ningependa watu wajadili hoja hio ya Mh Mbatia kuwa NCCR Mageuzi, haikunufaika na Ukawa bali ilizamishwa na Ukawa? Je, kuna ukweli hapo? Maana sikufahamu Kama NCCR Mageuzi ilikuwa na wabunge 6 kabla ya 2015, na kabaki mmoja tu.
Kwamba aliitoa taasisi ya NCCR Mageuzi kisa Ukawa lkn hakulalamika...