wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawaonekani majimboni, mko wapi? Au kwetu tu?

    In short namtafuta mbunge wangu Sijawai muona na miezi sasa. Hata vikao vya Jimbo hayupo. Chawa wake siwaoni. Huko kwenu vipi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli wabunge wanahujumu mradi ya Reli (Dar- Dodoma) kuanza?

    Taarifa za rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara ni kwamba wabunge wengi ikiwa pamoja na waziri wa Fedha schoolmate wangu Mwigulu ni wawekezaji wakubwa kwenye magari. Tatizo wanaogopa safari za treni zikianza biashara zao zitapata wakati mgumu. Hivyo wanahujumu kucheleweshwa kwa mradi kwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kinana: 2020 tungeona wabunge wengi wa upinzani wamechaguliwa, ila kulikuwepo changamoto

    22 August 2023 https://m.youtube.com/watch?v=jOoXIZ27tUA Abdulrahman Kinana anasema toka mfumo wa vyama vingi idadi ya wabunge na wawakilishi imekuwa ikipanda na hata uchaguzi wa 2020 idadi ingekuwa kubwa zaidi ya namba za wabunge kutoka vyama vya upinzani ila changamoto mbalimbali ikiwemo...
  4. JamiiForums Tanzania Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

    Haya sasa. Mwisho wa siku mkataba utabakia kuwa wa Samia tu. ==== Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Mhe. Robert Chacha Maboto, amesema hakuuelewa Mkataba wa PD WORLD alipokuwa bungeni.
  5. JamiiForums Tanzania Taifa lione sasa haja ya kuwa na wabunge wasomi wabunge aina ya kibajaji wamepitwa na wakati mfano mzuri huu wa DP WORLD.

    Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina kibajaji na msukuma leo wanaweka wapi sura zao? Elimu hawana lakini wanajitumbukiza kwenye kujadili mambo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge na Mawaziri wasomewa tamko la TEC; hakuna aliyeweza kuzuia wala kuhoji uhalali wake. Waungana na waumini kukaa kimya

    Wabunge na mawaziri pamoja na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wamefika katika makanisa mbalimbali NCHINI leo kushuhudia usomwaji kwa waumini maazimio na tamko ya TEC. Katika hatua hiyo hakuna kiongozi yeyote aliyeripotiwa kupinga badala yake wote wamepiga makofi na kuwaombea maisha...
  7. JamiiForums Tanzania Tuna Bunge kibogoyo, tuwaadhibu wabunge waliopitisha mkataba wa DP World

    Umofia kwenu. Dibaji inasomeka. Bunge na wabunge ambao kimsingi ni wawakilishi na sauti za wananchi wameonesha wazi kutowatetea tena wananchi na limeungana na serikali kuu kuitafuna nchi. Kupitia Mkataba wa DPW tumeona wazi namna Bunge letu linavyojipendekeza kwa watawala badala ya kuisimamia...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge watasema hata viongozi wao wa kiroho wameongwa? Watasema ni CHADEMA? Watasusa kuabudu kwa waliwaoongwa?Zakuambiwa!

    Wapo viongozi wengi wa dini wamepinga adharani kwa sauti na maandishi mkataba wa bandari. Wabunge wetu ni waumini wa viongozi hawa wa dini; lakini pia kielimu hata hawa viongozi wa dini wameenda shule tena kubwa kuliko wabunge walio wengi. Hoja za viongozi wa dini zinafanya watu wajiulize...
  9. JamiiForums Tanzania Taifa lione sasa haja ya kuwa na wabunge wasomi wabunge aina ya kibajaji wamepitwa na wakati mfano mzuri huu wa DP WORLD.

    Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina kibajaji na msukuma leo wanaweka wapi sura zao? Elimu hawana lakini wanajitumbukiza kwenye kujadili mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Je, wabunge wa CCM wenye akili wametishwa kutoa maoni mkataba wa Bandari?

    Habarini nyote, Kuna kila ishara ya wingu la utisho mkubwa dhidi ya wabunge wa CCM wenye akili ambao kwa hakika wanajua fika huo mkataba wa Bandari ni utopolo na umangungo mtupu. Na nadhani awamu hii huo utisho ni mithili ya mkondo wa maji ajali ya meli ya titanic. Hadi wabunge makini...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wapendekeza Umri wa Kustaafu upunguzwe ili Vijana waajiriwe

    Kamati ya Bunge ya Kazi na Ajira imeanza kuandaa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi inayotaka Umri wa Kustaafu upunguzwe kutoka Miaka 60 ya sasa hadi 55 ili kuwapa nafasi Vijana waajiriwe. Mwaka 2009, Serikali ilipandisha Umri wa Kustaafu baada ya kuelemewa na Mafao ya Watumishi...
  12. JamiiForums Tanzania Rais, Waziri na Wabunge hawawezi kuacha hizo kazi wakafanya kama tunazofanya sisi?

    Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu. Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao Hivi ni...
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT. WABUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi wametoa shilingi Milioni 6 Kwaajili ya kusaidia Maendeleo ya Chama na Jumuiya ya UWT ili kuhakikisha Chama na Jumuiya ya UWT zinaendelea kuimalika. Wabunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee Kinana ataka Wabunge waongezewe mshahara

    Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa. Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli bado tunawahitaji wabunge?

    Leo usiku nilikuwa najisomea namna ya kufanya biashara ya photography studio. Nilijisomea maelekezo mengi mtandaoni. Mabeberu wametoa maelezo ya kutosha jinsi gani unaweza ukafanya hiyo biashara na ukafanikiwa. Katika vitu vya kuzingatia walivyotaja ni kuhusu vibali vyote vya kisheria kutoka...
  16. JamiiForums Tanzania Tuko mitaani na Wabunge wa CCM waliomaliza Vikao vya Bunge Dodoma ila hawataki kuongelea Mkataba wa DP World

    Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini. Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao, yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisa. Ila CCM Mkoa na Wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo. Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira...
  17. JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

    Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamevuka mto kichawi kwa kuruka na ungo, harafu wanarudi nyuma kujenga daraja!!

    Mkataba staili ya MANGUNGO unawasuta!! Dhamiri zinawasuta!! Wanakula lakini hawashibi!! wanacheka lakini hawana furaha!!! KISA: Watanzania wamewagundua walivyoridhia mkataba wa kuuza bandari zetu kwa bei ya bure tena kinyume kabisa na sheria zetu zilizopo!! Sasa wanajipanga kurekebisha sheria...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya bandari kubinafisishwa kwa miaka 100, ninamuomba radhi chifu Mangungo

    NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO ____________________ Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA nao kwa kuingia Mkataba wa Ulaghai na Dr. Carl Peters wa Ujerumani ambao ndio uliidhinisha mwanzo wa...
  20. JamiiForums Tanzania Mdee na Wabunge wenzake 18 kuchuana na CHADEMA leo tena Mahakamani

    Kesi Kesi hiyo leo inatarajiwa kuendelea tena baada ya kusimama kwa miezi miwili, tangu Mei 17, mwaka huu. Siku hiyo kesi hiyo haikuendelea Kwa kuwa Jaji Cyprian Mkeha anayeiskilizwa hakuwepo, kwani alikuwa kwenye semina ya majaji ndipo ikapangwa kuendelea leo. Wabunge hao akiwemo Halima Mdee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…