Wabunge na Mawaziri wasomewa tamko la TEC; hakuna aliyeweza kuzuia wala kuhoji uhalali wake. Waungana na waumini kukaa kimya

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Wabunge na mawaziri pamoja na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wamefika katika makanisa mbalimbali NCHINI leo kushuhudia usomwaji kwa waumini maazimio na tamko ya TEC.

Katika hatua hiyo hakuna kiongozi yeyote aliyeripotiwa kupinga badala yake wote wamepiga makofi na kuwaombea maisha marefu walioandaa andiko hilo

Je, waliosema tamko limeandaliwa na Kitima bado wana hoja? Waliosema Kitima kaongeza maneno yake bado wana chakusema? Waliosema kuna Udini bado wanaweza kusimama na kusema? Waliosema ni kwasababu Rais ni dini ile bado wanayo yakutapatapa?
 
Back
Top Bottom