Je ni kweli wabunge wanahujumu mradi ya Reli (Dar- Dodoma) kuanza?

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Taarifa za rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara ni kwamba wabunge wengi ikiwa pamoja na waziri wa Fedha schoolmate wangu Mwigulu ni wawekezaji wakubwa kwenye magari. Tatizo wanaogopa safari za treni zikianza biashara zao zitapata wakati mgumu.

Hivyo wanahujumu kucheleweshwa kwa mradi kwa sababu binafsi. Vilevile spika naye ana mabasi sio kosa lakini ni lazima tujue ukwei.

Nasikia wanapiga mpaka simu mabehewa yacheleweshwe kutoka Korea ili tu wapate muda zaidi. Sasa wana mkakati wa kuzuia magari ya zamani yasiwnde Dodoma.
 
Kama wewe ni mwanamme lazima utakuwa na 50% ya vimelea vya kike.

Wanachelewesha kumalizika kwa mradi maana yake ni kwamba mradi utakamilika lakini kwa kuchelewa. Je hayo magari baada ya mradi kukamilika itakuwa wameyauza?
 
Taarifa za rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara ni kwamba wabunge wengi ikiwa pamoja na waziri wa Fedha schoolmate wangu Mwigulu ni wawekezaji wakubwa kwenye magari. Tatizo wanaogopa safari za treni zikianza biashara zao zitapata wakati mgumu. Hivyo wanahujumu kucheleweshwa kwa mradi kwa sababu binafsi. Vilevile spika naye ana mabasi sio kosa lakini ni lazima tujue ukwei. Nasikia wanapiga mpaka simu mabehewa yacheleweshwe kutoka Korea ili tu wapate muda zaidi. Sasa wana mkakati wa kuzuia magari ya zamani yasiwnde Dodoma.

Kampuni ya waturuki kila siku wanagoma wafanyakazi unadhani watajenga kweli ?
 
Taarifa za rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara ni kwamba wabunge wengi ikiwa pamoja na waziri wa Fedha schoolmate wangu Mwigulu ni wawekezaji wakubwa kwenye magari. Tatizo wanaogopa safari za treni zikianza biashara zao zitapata wakati mgumu.

Hivyo wanahujumu kucheleweshwa kwa mradi kwa sababu binafsi. Vilevile spika naye ana mabasi sio kosa lakini ni lazima tujue ukwei.

Nasikia wanapiga mpaka simu mabehewa yacheleweshwe kutoka Korea ili tu wapate muda zaidi. Sasa wana mkakati wa kuzuia magari ya zamani yasiwnde Dodoma.

Naona sasa ni kweli kuna watu ndani ya serikali wanahujumu makusudi
 
Back
Top Bottom