wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Diplock MR

    CHADEMA kukubali kupokea ruzuku na kupeleka wabunge wengine wa viti maalum?

    Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, kipo njiani kupigilia msumari maamuzi ya kuwatimua uanachama akina Mdee na wenzake, Kisha kupeleka wabunge wengine wa viti maalumu bungeni. Pia CHADEMA ipo tayari kupokea ruzuku, ikumbukwe kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata...
  2. Cathelin

    Mbona wabunge wa CCM wanakumbana na aibu kubwa Sana majimboni kwao?

    Hali ni tete kwa wabunge wa CCM wanaoenda majimboni kwao, kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wao. Katika hali ya kushangaza wabunge wa CCM waliopata kura za kihistoria kwa kupata ushindi mkubwa, wanakosa kabisa ata kukusanya watu 50 Wiki iliyopita Prof Mkenda alienda Rombo kufanya mkutano...
  3. J

    Wabunge wa CHADEMA ambao hawajakata rufaa wako hatarini, CHADEMA kusikiliza rufaa 6 tu

    Spika wa bunge la JMT Mh Tulia Ackson alisema anasubiri maamuzi ya Baraza kuu la CHADEMA ili kujua hatma ya wabunge 19 wa chama hicho Habari kutoka makao makuu ya CHADEMA yaliyopo mtaa wa Ufipa zinasema Baraza kuu litasikiliza rufani 6 tu zilizokatwa na kwamba hao wengine 13 maamuzi yanasimama...
  4. kavulata

    Wabunge tuache kufananisha awamu ya Tano na ya Sita, tunakosea sana

    Awamu ya Tano haikuwa awamu ya Sayansi, Sheria na Demokrasia. Ilikuwa ni awamu ya mambo yaende yatake yasitake, utake usitake. Awamu ya Tano iliamini kuwa sayansi, sheria na demokrasia ni nyenzo za kuchelewesha mambo kwa kuongeza ukiritimba. Awamu ya Tano iliendesha nchi kama vile dereva...
  5. John Haramba

    Nape Nnauye kuhusu Bunge Live: Wabunge wakipigana haileti picha nzuri

    Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhusu bunge live, anafafanua: "Spika wa Bunge, Tulia Ackson alisema hili jambo linazungumzika na tutajadiliana na Serikali tuone namna ya kulifanya liende. “Studio ya bunge ndiyo inaamua warushe vipi matangazo najua kwa mfano...
  6. MchunguZI

    Nimemsikia Makamba akijaribu kutisha wabunge kwa kutumia jina la 'Rais Samia' badala ya kueleza udhaifu wake

    Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza. TANESCO iko chini...
  7. S

    Ukiacha ubunge wa Halima Mdee na wenzake, hivi hata wabunge wa CCM ni halali na serikali hii pia ni halali?

    Sometimes tunapohiji uhalali wa kisheria wa ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18, huwa najiuliza ina maana wabunge wa CCM waliopo Bungeni ni halali? Mimi naamini 2020 hatukuwa na uchaguzi, hivyo hata wabunge wa CCM na serikali nzima si vyombo au taasisi halali, kwahiyo kutegemea Spika atasema...
  8. John Haramba

    Spika Tulia Ackson: Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali, aeleza kuhusu kurejea kwa Bunge LIVE!

    Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. leo Februari 14, 2022 ameeleza kuwa Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali: “Uharamu haupo kwasababu hawezi kuwa haramu halafu akawepo mule ndani. Nchi yetu inaendeshwa Kidemokrasia na Kisheria. Jambo moja tu...
  9. John Haramba

    Wabunge walalamikia ongezeko la matumizi ya P2, watu milioni 1.7 wanaishi na VVU

    Wabunge walalamikia ongezeko la matumizi ya P2, watu milioni 1.7 wanaishi na VVU Wabunge wa Tanzania wamesema matumizi ya dawa za dharura za uzazi wa mpango zinazojulikana kwa jina la P2 kuzuia mimba kwa wasichana wenye umri wa miaka 14-24 yanaongezeka. Wabunge katika kamati ya afya walikuwa...
  10. Mwananchi Huru

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza Wabunge wote waelezwe kinachoendelea Ngorongoro

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii iandae semina kwa wabunge wote ili kujenga uelewa wa pamoja kuhusu yanayoendelea katika hifadhi ya Ngorongoro. Mheshimiwa Majaliwa ametoa maagizo hayo leo (Jumatano, Februari 9, 2022) wakati alipochangia taarifa ya Kamati ya...
  11. H

    Miaka hii mitatu itangazwe ni kipindi cha mpito

    Kiuhalisia, wakati wa awamu ya 5 mifumo mingi ya utawala au ilivurugwa au iliuawa kabisa. Moja ya taasisi zilizouawa ni Bunge. Wabunge walipatikana kwa kupitia uchaguzi bandia. Wabunge hawa bandia, wengi wao hawana uwezo na wala hawana baraka za wananchi. Uvurugaji ulianzia kwenye kura za...
  12. jingalao

    Wabunge na Viongozi wanatuhumu wakurugenzi na wakuu wa Idara mara kwa mara!

    #Kaziiendelee Kuna viingozi wa kisiasa ambao mara nyingi huwatuhumu na kuwashtaki wakurugenzi na Wakuu wa Idara mara kwa mara. Wanaweza wakawa na hoja lakini pia wanaweza wakawa ni sehemu ya tatizo kwa maana ya kuwachongea wakuu wa Idara ili wapate urahisi wa kufanya mambo yao kwa interest...
  13. Mchochezi

    Wabunge wakiwa nje ya viwanja vya Bunge

    Unaweza kuwatambua wabunge wetu waliopo pichani?
  14. Replica

    Mgombea uspika aahidi kuongeza posho za wabunge endapo watamchagua

    Mgombea Uspika, Kunje Ngombari Mwiru akijinadi kuwania nafasi ya uspika wa Bunge, amesema vikao vya Bunge vinatakiwa kuwa vichache ili watumie muda mwingi zaidi kuhudumia wananchi lakini ataongeza posho. Pia Kunje amewaahidi wabunge kuwapa magari yenye hadhi ya kupanda milima mirefu kutokana na...
  15. Baraka Mina

    Dkt. Tulia Ackson apitishwa kwa kauli moja na Wabunge wa CCM kugombea uspika

    Kikao cha Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (party caucus) kilichofanyika leo tarehe 31 Januari 2022 chini ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndg. Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Waziri Mkuu wa JMT katika ukumbi wa White House Makao Makuu...
  16. Akili Unazo!

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    MASWALI NA HOJA ZA WADAU KUHUSU SUALA LA VITI MAALUMU TANZANIA Wakuu leo katika kupitia maandishi ya gazeti la mwananchi nimekutana na kichwa cha habari kisemacho Wabunge wa viti maalum ni feki kikatiba hivyo waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu (sera utaratibu wa bunge) Philip Marmo alisema...
  17. mkwapuaji

    Kwanini wabunge wanapaswa kuwa madiwani...

    Mfumo wa kupata mwakilishi wa kibunge Tanzania ni mfumo huru lakini wenye kumnyima mwananchi fursa halisi ya uwakilishi. Hii inajidhihirisha na wingi wa wabunge ambao hugombea ubunge pasi hata a kuifahamu historia ya jimbo lao la uwakilishi Leo nimeona ipo haja ya kubadili mfumo wa kuwapata...
  18. nashicha

    Kama Wabunge wa CCM hawapangiwi, waanze na hili la Dkt. Tulia

    Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka. Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara...
  19. Red Giant

    Loyalty ya wabunge wetu ipo kwa chama au kwa wananchi?

    Kwa sheria zetu mbunge anachaguliwa na wananchi lakini lazima adhaminiwe na chama. Chama kikimuondolea udhamini mbunge, hata kama alichaguliwa na 100% ya wananchi wake, anapoteza haki ya kuwawakilisha. Kama zipo, naomba kujulishwa faida za wagombea kulazimika kudhaminiwa na vyama vya siasa...
  20. YEHODAYA

    2025 wabunge mjiandae majimbo yenu yatakuwa na wachukua fomu zaidi ya 100

    Trend analysis hazidanganyi kugombea uspika tu watu wanakaribia 200 2025 natabiri wabunge waliopo wajiandae kutakuwa na wachukua fomu zaidi ya 100 kutaka kuteuliwa na CCM kuwa wagombea wa jimbo na viti maalum Ugombea urais kupitia CCM Mama Samia naye ajiandae kutakuwa na watia nia zaidi ya...
Back
Top Bottom